Search results

  1. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    Nashukuru kwa support. Hope it will be useful to you.
  2. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @Tatu You bring up a very good point. My title might be misleading but for those who wants to share shipping container from Tanzania or other third world country to western and Asian countries, they can use the site as well without any problem.
  3. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @LAT Container litaenda as one cargo.
  4. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @Amoeba Swali zuri. Kama umenisoma vizuri, huu mtandao ni kwa ajili ya kuwaunganisha watu wanaotaka ku-share container space ili watume bidhaa zao. Suala la kampuni gani itasafirisha, insurance, lini litasafirishwa, nani atalikomboa mara litakapofika hivyo vyote ni kazi ya mtumaji/watumaji...
  5. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @tankibovu Asante sana. Ili ujue idea is a "Go" or "No-Go" lazima uifanyie kazi (action). Usijali sana ku-fail kwani during that process utajifunza mambo mengi sana. Kwa hiyo changamoto yangu kwako ni "take action now." Kuhusu suala la East Africa, ni idea nzuri sana na unaweza kutumia both...
  6. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @Ribosome Nashukuru sana. Kama ulivyosema, matatizo mengi tunaweza kutatua sisi wenyewe wananchi. Kwa upande wa serikali, wanatakiwa kuweka "Mazingira" ambayo yanamuwezesha mwananchi kutimiza malengo yake ya kujiendeleza. Wajasiriamali wanakwama kutokana na mazingira ambayo hayatoi uhuru katika...
  7. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @Pakawa Swali zuri. Huu mtandao ni mahususi kwa bidhaa zinazosafirishwa kwa meli na dhumuni hasa ni ku-share container space ili kuepuka gharama kubwa za kusafirisha hizo bidhaa kwa reja reja. Sio lazima waagizaji wote wawe sehemu moja. Mfano wewe upo Marekani unataka kusafirisha bidhaa zako...
  8. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @LAT Yes, but this way is more power to consumer. @C.T.U Fafanua swali lako zaidi ila dhumuni kubwa ni ku-break the old tradition. No need to check with them.
  9. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    @ C.T.U Kwa mfano unataka ku-ship bidhaa zako kutoka nchi X kuja Tanzania lakini hizo bidhaa zako haziwezi kujaza container la futi 20 au 40. Kama ukiamua ku-ship kwa reja reja utalipia hela nyingi zaidi kuliko ku-ship container zima mwenyewe. Kwa kutumia huu mtandao, unaweza kukaribisha watu...
  10. G

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    Kwa wale wote wanaoagiza bidhaa kutoka nje kwa kutumia njia ya meli, sasa unaweza ku-share container kwa kutumia mtandao mpya nilioufungua February. Kama kawaida, njia nzuri ya kujikwamua katika matatizo tunayoyakabili kila siku ni kutafuta solution yake. Nikiwa mmoja wa wapenzi wa JF has...
  11. G

    Tuwathamini, Tuwaendeleze. One individual can make a Difference

    Wazo zuri sana kuwatangaza na kuwaendeleza wavumbuzi na wafabiashara wetu wa ndani. Shida kubwa ni pale SERIKALI YETU inapataka watu waagize mpaka vibiriti, sukari, maboga, machungwa, maembe, nk wakati vinaweza kuzalishwa hapa hapa nchini kwetu. Once mtu anapogundua kitu na kuweza kutumika, the...
  12. G

    unahitaji wazo la biashara ? soma hapa.

    Wazo zuri sana RG. Nafikiri inabidi ulifanyie kazi hata kama huna mtaji kwa sasa hivi. Unaweza kuanza kuandika Master Plan ya business nzima wakati huu. Survey maeneo ambayo unaweza weka biashara katika route tofauti, jinsi ambavyo biashara itaendesheshwa, n.k. Kuhusu wafanyakazi, unaweza...
Back
Top Bottom