Search results

  1. J

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Unahitaji kutumia akili na kuwa mzalendo!
  2. J

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Hii ndiyo siri ya jeshi imara duniani ni lazima wanajeshi wake wawe tayari kwa vitendo kulinda amani ya nchi,na kushiriki katika misheni za amani duniani,najivunia jeshi langu jwtz kwa kazi nzuri wanayoifanya congo na kwa kujiweka tayari kwa vitendo na ujasiri wa kivita kwa ajiri ya kuilinda...
  3. J

    Membe na Lowassa waungana kuelekea urais 2015...

    Katika hali ambayo si yakutengemea kwa wana C.C.M,hususani viongozi wa ngazi za juu za chama hicho tawala nchini wamejikuta wakiwa wamengawanyika sana katika masuala yanayohusu uchaguzi wa umoja wa vijana UVCCM,hii inatokana na waziri wa mambo ya nje na mwana C.C.M kutoka jimbo la tama...
  4. J

    Muasisi wa CCJ kugombea makamu mwenyekiti UvCCM!

    Naomba nimulize aliyeleta thread hii kama anajua anachokiongea na wakati tulionao kwa sasa kwanza si rahisi kutokuamini kuwa wewe si mwama CCM, lakini jambo la msingi kwa sisi tunaombea ukuaji wa demokrasia nchini ni kwamba tasisi zinazobeba hatima ya demokrasia nchini ikiwemo zile za vyama vya...
  5. J

    Tahliso na uzinduzi wa wa website tahliso

    Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU, Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu. source,mimi mwenyewe!
  6. J

    CCM hawakamatiki wala Hawashikiki

    yari wewe akili yako imebakwa vizuri sana na kiutamu,hongera na enjoy ya moto
  7. J

    Polisi watimua mbio kujinusuru na vijana wa CHADEMA

    jamani,kweli ccm imekufa,wasipokuwa makini tunakoelekea viongozi wa ccm wote watatembea kwa escot ya polisi vinginevyo tutawafanya vibaya
  8. J

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    kaoge motoni,mpuuzi mkubwa wewe,tatizo ni akili zako zilizochanganyikana na matope,mtumwa wa mafisadi,naona tayari wamebaka vizuri akili zako.
  9. J

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    mshenzi mubwa wewe maisha ya watu ni zaidi ya siasa ,pia yawezekana wewe ni mkimbizi au huna akili timamu kwa hitimisho la kipuuzi kama hili,ondoa pua yako kwenye mtandao na ukakae kwenye vijiwe vya kahawa,baba yako angekuwa robo ya sitta/mwakyembe ungekuwa na akili timamu.
  10. J

    Risala ya wananchi wa Kyela Kwa Mbunge wao Dr. Harrison G. Mwakyembe

    wewe ndo mshenzi mubwa,hizo bahasha za mafisadi zimebaka akili yako kiasi hicho,wewe wa kyela wapi,kafie huko mtumwa wa mafisadi,mumbwa mwitu we usiyefaa hata kwa ulizi wa nyumba
  11. J

    Dk. Mwakyembe aitahadharisha CCM

    hongera kwa posti nzuri,mwakyembe ni mkweli,na wanao sema mnafiki ni wale walikula unga wa ndele kwa bahasha za fisadi,ametimiza ahadi zake
  12. J

    Lowassa, Sitta, Kilango wapata pigo kubwa!!!!

    ARUMERU alikuwapo fisadi LOWASA na ndiyo maana wananchi wakatoa somo kuwa hataki Tanzania yenye mafisadi,mzee sitta anaipenda CDM ndiyo maana alikataa kuiba kura kama walivyopanga magamba,mzee ni msafi sana.
  13. J

    Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

    hakuna cha siri wala nini acha ushabiki wa kifisadi na kijima
  14. J

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    huyu lowasa wamshauri vizuri wanaomzunguka kuwa afanye mambo mengine suala la urais aachane nalo huyu si msafi na bado hajatubu dhambi zake kwa watanzania kwa kuiruka hatua hii itamtesa maisha yake yote.
  15. J

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    weka pembeni ushabiki wa urais kwa EL hata kama bahasha zake zinakufikia,haya ni mambo ya imani katoliki,Lowasa hataupata urais kwa giliba hata siku moja kama anavyofanya,kwanza siku ili alitaka kucheza mchezo wa kulazimisha kupiga picha na kardinali pengo,ili muweke JFkama ishara ya kukubalika...
  16. J

    Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

    uliuona huo mwaliko kama ,uliuona ulikuwa unasemaje,umetumwa na LOWASA kumtetea dhidi ya kanisa au
  17. J

    Sitta autamani Urais 2015

    bora huyu anayepambana na fisadi kubwa hapa nchini,tunamtaka mtu aliyena ujasili kama wa sitta hata kama si sitta kwa jina ila awe mtu mwenye uthubutu kama sitta na vinginevyo,hata hivyo hata kama si slaa ila tunamtaka mtu mwenye uthubutu kama slaa,unafikria kazi iko wapi,sisi kama taifa...
  18. J

    Sitta autamani Urais 2015

    unatumiwa vibaya na hao mafisadi,tumia akili kutadhimini mambo,vinginevyo mitizamo yako itakuozea kichwani bila kupata wa kuinunua,muulize baba yako amelifanyia nini taifa letu ukilinganisha na mzee sitta,kwanza yawezekana hajausaidia hata mtaa mnaoishi,unapata wapi wewe ujasiri wa kuukana...
  19. J

    Sitta autamani Urais 2015

    wewe ndo umetumwa kuukana ukweli kuhusu mzee sitta,ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyetumikia serikali bila kashfs yoyote ,hizo unazoleta niza kuokoteleza majalalani
  20. J

    Sitta autamani Urais 2015

    wewe ndo huna akili timamu bila sitta vita ya ufidadi ingejulikana kama leo,siyo sitta aliyezima mjadala wa ufisadi bali ni bunge la jamhuri,hivyo unataka kumanisha sitta alikuwa na nguvu kuliko bunge lenye watu zaidi ya 300,soma mambo na uyaelewe,soma nafasi ya spika bungeni na nguvu ya bunge...
Back
Top Bottom