Search results

  1. kitalolo

    Nauza Viwanja Arusha

    Kama kuna mtu anataka kiwanja Arusha tuwasiliane.nina viwanja sita nauza vina hati miliki. Maeneo ni zamani kukiitwa olkerian sasa imeingizwa kata ya moshono baada ya Arusha kuwa jiji, mwanzoni eneo hili lilikuwa Arumeru. Ukubwa kuanzia square mita 800 na kuendelea Bei kuanzia milioni kumi...
  2. kitalolo

    Arusha na sisi tumo

    Kama ni martaa tu ya kuongozea gari basi hata Arusha yamo sema sasa haijulika ni wakati gani mwenda kwa migii atapita na niwakati gani gari linatakiwa kupita kama hapo wakuu wa usalama barabarani nijuzuni.
  3. kitalolo

    Bujibuji akinyolewa na mzizi kmavu

    ni baada ya kuokoka na kuachana na urasta ----
  4. kitalolo

    Wanatafuta nini hawa??

    kwani imepotelea kwenye pajamas?/
  5. kitalolo

    Hii inaitwa kimbiza mwizi kimya kimya

    Duh hii ni soo kama hutaki kwenda polisi watoto wa mjini wanakuchapa fimbo za kwenye masaburi
  6. kitalolo

    Alex Masawe akamatwa na interpol

    Ni huko Afrika ya kusini, alikuwa akiishi ndani ya boti. Kurudishwa nchini wakati wowote kuunganiswa kwenye kesi na papa msofe, pamona na keshi nyingen.
  7. kitalolo

    E bwana ndio

    Hii figa ni bomba si utani jamani hakuna manyama uzembe hapo
  8. kitalolo

    Cgeki mbuzi mzee anavyojitetea

    Mbuzi Mzee acha vituko
  9. kitalolo

    Zinduna hapa mlikuwa manafanyaje??

    Zinduna na mwa j mnataka kusema siku hizi mna..!!!
  10. kitalolo

    Ya maana wanapuuzia upuuzi wanashabikia

    CHEKI MWENYEWE HAPA Traditional African gay wedding a first - YouTube!
  11. kitalolo

    Afya mchanganyiko

    BAADHI YA FAIDA ZA MAZOEZI YA KUVUTA PUMZI... - YouTube
  12. kitalolo

    Afungwa kwa kumnyonya ulimi mwanafunzi

    na Walter Mguluchuma, Mpanda MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mpanda imemuhukumu Kassim Lugendo (41) mkazi wa Kijiji cha Kambanga kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumnyonya ulimi msichana mwenye umri wa miaka 13, mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Msingi...
  13. kitalolo

    Dkt. KIKWETE ULIMAANISHA HIZI??

    16 AN-NUUR JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013 Gazeti hili hutolewa na Islamic Propagation Centre S.L.P. 55105 na kupigwa chapa na Business Printers Limited, S.L.P. 78495 Dar es Salaam. AN-NUUR 16 JAMADUL AWWAL 1434, IJUMAA MACHI 22-28, 2013 Usikose nakala yako ya AN-NUUR...
  14. kitalolo

    Hii handshake ni woga au protokali

    JK: "We ndio unaniita mimi dhaifu" Nyika: " ha ha ha mzee nilikuwa nakutania tu"
  15. kitalolo

    Ja - kaya hivi punde ametangaza Baraza jipya la waizi likiwa na sura mpya wakati baadhi ya waizi w

    MWIZI MKUU KA PINDA 1. WAIZI KWENYE OFISI YA RAIS MWIZI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu wa wizi) Ndugu hasira, Mwizi wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora wa waizi) ndugu Mchicha, Mwizi wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI wa wizi) Komba ni mnyama 2. WAIZI WA OFISI YA...
  16. kitalolo

    Utambulisho

    Ni kama anasema
  17. kitalolo

    Kama kitalolo ningekuwa star

    Na kama ningekuwa na mkwanja kachaa ningekuhonga hii kitu hata usipokea simu yangu powa tu kwani nkyokii?
  18. kitalolo

    rahisi akihojiwa na waandisha wa habari

    mwandishi: muheshimiwa umaweza kutuambia kwanini nchi yako ni maskini? rahisi: hata mimh nashangaa na sijuh kwanini nchi yangu ni maskini. mwandishi: je mh. unaweza kutuambia kwanini vijana wa kidato cha nne wamefeli sana mwaka huu. rahisi: unaniuliza hilo swali kwani mimi waziri wa elimu...
  19. kitalolo

    Katika kuondoa utata wa nani mwenye haki ya kuchinja

    Itabidi wanyama wajichinje wenyewe?
  20. kitalolo

    Je yanga kushtakiwa?

    Ni kwa kuwauwa maafande
Back
Top Bottom