Search results

  1. Y

    Iweje Wazanzibar ki kasheria hawaruhusiwi kumiliki silaha wauwe padri kwa silaha?

    Anaendelea kusema jambo hili limechngia kuwepo kwa matukio machache ya ujambazi wa kutumia silaha jambo ambalo linatoa faraja kwa visiwa hivyo Hata hivyo alisema Serkli imepokea maoni ya mbunge juu ya kuangalia uwezekano wa kuruhusu raia wema kumiliki silaha za kujilinda wao na mali zao,ingawa...
  2. Y

    Iweje Wazanzibar ki kasheria hawaruhusiwi kumiliki silaha wauwe padri kwa silaha?

    "SILAHA ZANZIBAR HUTOKA BARA" Silaha zinazotumika kwa ajili ya ujamabazi kwa upande wa Zanzibar zinatoka bara bunge limeelezwa jana Kauli hiyo imetolewa na naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Pereira Ame Silima ambaye alisema licha ya kuwa zipo dalili tosha kuwa Wazanzibar kuonyesha...
  3. Y

    Msaada watalaam wa katiba na sheria+ wajuaji

    Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo KUFURU TUME YA KATIBA o Kila mjumbe analipwa million Tsh 294 o Waziri Chikawe asema hizo ni "Vijisenti" wanazolipwa o hofu yatwala kama posho nono hazito wapofusha o Jaji Warioba na Profesa Baregu wapata kigugumizi source jambo...
  4. Y

    Msaada watalaam wa katiba na sheria+ wajuaji

    Nimesoma katika gazeti la jambo leo la nyuma kidogo
  5. Y

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Mwisho nawambia ndugu zangu wa kasiskazin,kasikzin peke yake haiwezi kupanga na kumtoa Rais wa Tanzania bila ya kuwa na saport toka kanda nyingne au watanzania wote haito wezekana na haitowezekana na mwenye kijidangnya kwa hiili na asubili kuiona Chadema ikiiendelea kuitwa chama cha Upinzania...
  6. Y

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Chadema mpka hapo ilipo ina michango ya watu wengi na kusimama kwake sio nguvu za mtu mmoja au kundi frani ni nguvu za pamoja kama taasisi kauli ya kiongozi mkubwa akama huyui ndani ya chama kutoa kauli kama hii na akijua mfukuto ulioko ndni ya chama ni dhahili kwanza anawavunja moyo wengn lakin...
  7. Y

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa katibu Mkuu wake ,Dk.Slaa atapewa fulsa ya kuwania nafsi ya Urais mwaka 2015 Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe alitangaza hatua ya hiyo jana (29/12/2012) alipo kuwa akihutubia mkutano wa hadara katika uwanja wa mpira,Mjini...
  8. Y

    Kwa wale wapenda dada poa!!

    Kwa michngo hii kweli nimegudua wateja wako wengi wa dada poa
  9. Y

    Mmh utanzania wa amani na upendo uko wapi watnzania?

    Zamni watu waliheshim sana maiti na kuiogopa Eti watu mara hii mtu/watu wakipata ajari na kufa hatua ya kwanza ni searching mpka maiti wnakwiba mpka hata wanadiliki kukata vidole kama vimevaa Gold iliyogandana Jamni Utanzania gni huu,uhuru na amni imeenda wapi?
  10. Y

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    kwa kweri mimi ni mgeni sana katika upandee huu wa madini lakin kwa waloniambia ni red Ruby
  11. Y

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    semiki ndo wapi hapo?
  12. Y

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    Geof unaweza kufunguka kidogo kwa bei kwa ujumla wake kama sio siri Ruby kwa kila gram 1
  13. Y

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    Ahsante sana george
  14. Y

    Msaada: Ufahamu kuhusu madini

    Hi! Ndugu wana jamvi hili Naomba nitoeni kwenye kashimo haka, hivi ni madini gani Duniani yenye gharama kubwa. Ni madini gani yana bei kubwa yanayopatikana Tanzania Madini aina ya Ruby ni madini ya aina gani na je gharama yake ikoje kwa gram moja? Msisahu kuniambia wapi kwa Dar maduka ya...
  15. Y

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    Nyie watanzania mmeshindwa kuandamana kwa sababu ya matatizo yenu pesa za umma zinaibiwa mko kimya,maisha yanapanda yakisababishwa na usimamizi mbovu wa watu wachache mlio wachagua nyinyi na walio chini ya mamlaka ya wananchi kuwawajibisha mmekaa kimya loe waislm wanaandaman kwa sababu zao...
  16. Y

    Wapigaji around you soma hii email nimetumiwa!!

    Wizi tu hu mpka leo hujajua?
  17. Y

    Help

    mchemsho sijakuelewa unamanisha nini
  18. Y

    Help

    Huwa natamni sana kuwa mwanajeshi ila sijui nianzie wapi? 25 old economics graduate
Back
Top Bottom