Search results

  1. Ericus Kimasha

    Waziri wa Nishati na Madini kupatikana leo? Mangu kupelekwa Kilimanjaro?

    Turufu yangu naiweka kwa Mwana-JF mwenye kismati, Kigwangala kupewa Wizara
  2. Ericus Kimasha

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Mambo yashaanza kunoga hapa. Shahidi aliishtaki JamiiForum. Kaambiwa aonyeshe cheti cha usajili yakanamtoka macho
  3. Ericus Kimasha

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Tundu Lissu, Mtwobyesa, Ishebakaki, na wengine. Jumla wako saba au nane
  4. Ericus Kimasha

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Hadi hapa naona Afisa Mpelelezi kaishakosea jina la mtu waliyehitaji jina lake. JF hakuna Fuhra_JF au mtu anaitwa Expert Member.
  5. Ericus Kimasha

    Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Amina Mshana Jr. Wenye imani ziwe za mababu au Mungu, tusiache kuombea ushindi.
  6. Ericus Kimasha

    Athumani Ally Maumba aliyetikisa miaka ya 1980s kwa kulawiti wanafunzi yupo wapi?

    Utakuwa umesahau ile Rap ya kwanza kuwika Tanzania. Kama sijasahau iliimbwa na Mzanzibar kwa jina Jabir. Ilikuwa na kibwagizo "Sitapenda wengi kama Maumba" Ilikuwa hit moja kali sana zaidi ya vigogo wa dunia enzi hizo Chaka Demus & Shaba Ranks
  7. Ericus Kimasha

    Hivi ndivyo hofu zinavyotugharimu kwenye safari ya ujasiriamali

    Nimefurahi kukusoma tena Chasha Ulipotelea wapi Mkuu? Asante kwa somo zuri
  8. Ericus Kimasha

    Uwanja wa Michezo au Uwanja wa Vita?

    Hii hali na maandalizi ya askari katika uwanja wa Taifa yanatoa tafsiri tata. Haieleweki ni washabiki wataangalia mchezo wa mpira au vita kati ya majeshi yetu na adui asiyejulikana. Maandalizi ya majeshi yanaonekana kuwa ya juu zaidi kuliko hata timu zilizopangiwa kucheza mechi leo...
  9. Ericus Kimasha

    Ushauri kwa Rais Magufuli: Nchi inaenda kubaya, mchukue Prof. Mwandosya kuwa mshauri wako

    Kula [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] Mie nilitaka kumuuliza vipi je kama mshauriwa ndiye anawashauri washauri wake? Hapo unadhani ushauri wa washauri utafanyiwa kazi na washauri watakuwa na maana yoyote?
  10. Ericus Kimasha

    Machinga waondoshwa kwa nguvu Mwanza mjini eneo la Makoroboi

    Nilichokiandika tarehe 7 Disemba, 2016 kwenye Rais Awaruhusu Waendesha Bodaboda Pia Wasibughudhiwe! kinatokea kama nilivyokitarajia:
  11. Ericus Kimasha

    Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    List of shame was purely composed and announced on political background. Mambo ya kisiasa si sawa na mambo ya Kiutawala. Ya kisiasa yanajibiwa na kumalizwa kisiasa. Waliotajwa kwenye list of shame walitakiwa wawajibike kisiasa au wajisafishe. Hakuna aliyetakiwa afike Kituo cha Polisi...
  12. Ericus Kimasha

    Nyaraka za siri za Mgawe kufungwa hizi hapa

    Wazo makini kwa wakati muafaka. cc: Maxence Melo
  13. Ericus Kimasha

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Kasome post ya kwanza kama unatumia simu. Na kama watumia PC rudi juu kabisa update I & II
  14. Ericus Kimasha

    Gazeti la Jambo Leo linapatikana bure likiwa na headline "Huyu ni Manji mnayemzungumzia?"

    Unawezaje kununua baiskeli yako mwenyewe unayoimiliki na kuiendesha?
  15. Ericus Kimasha

    DR Congo opposition leader, Etienne Tshisekedi dies aged 84

    Habari zilizotufikia hivi punde na kuthibitishwa na vyanzo vya FikraPevu.com, zinasema kwamba Kiongozi wa Upinzani nchini DRC amefariki dunia. Timu yetu inaendelea na ufuatiliaji wa taarifa za kina. Tutaendelea kukuhabarisha mara tu habari zaidi juu ya chanzo cha kifo zitakapotufikia. Na...
  16. Ericus Kimasha

    Zamu ya Wananchi Kupasua Majipu Imewadia!

    fugees, Acha kutisha watu. JF imejipambanua kama mahala salama kwa watanzania kuwasiliana na kuwasilisha kero zao. Sidhani kama utakuwa umesahau haraka kiasi hicho juu ya kesi zinazomkabili Mkurugenzi wa Jamii Media kwa sababu tu alikulinda wewe na mimi watumiaji wa JF kwa kukataa kutoa taarifa...
  17. Ericus Kimasha

    Protokali: Kwanini Rais wa Uturuki, Erdogan alipokelewa na Waziri Mkuu badala ya Rais Magufuli?

    Kama hivyo ndivyo, basi nadhani Dk. Magufuli anakuwa Rais wa Kwanza baada ya Nyerere kuhofia usalama wake katika mji mkuu wa nchi mapema zaidi katika mihula ya utawala!
  18. Ericus Kimasha

    Picha: Mazishi ya Regia Mtema Ifakara

    Leo tunapoadhimisha miaka mitano toka ututoke Dada Regia Mtema, nakuombea Mungu akupokee katika makao yake ya milele na ukajumuike na watakatifu wote waliotangulia. Sisi pia tunaomba wakati wetu utakapofika utukute katika hali ya usafi wa moyo na utayari wa kutwaliwa. Raha ya milele umpe ee...
  19. Ericus Kimasha

    Sirro: Marufuku kuuza mapanga, mishale kwenye foleni

    Siyo vibaya kukumbushana kuwa hiyo marufuku ni kama majira ya mwaka...iliwahi kupigwa, imepigwa na bila kukosea utabiri itapigwa tena upya siku za mbeleni. Polisi yapiga marufuku kuuza visu, sime, mapanga barabarani ili kupunguza matukio ya watu kujiua
Back
Top Bottom