Search results

  1. K

    Tukiri kuwa Jeshi la polisi sasa limeshindwa

    HALI TETE ARUSHA. Hofu yatanda kwani sehemu za starehe kwachafukwa. Nadhani tujihadhari na ndugu zetu majirani siajabu wanataka kutuharibia biashara ya Utalii. Jamen tuombeeni ITERAHAMWE IMEANZA
  2. K

    Zitto Kable Live - Jenerali on Monday

    ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ZITTO KABLE, Harafu na serukamba???????????? ccm damu rafiki wa Lowasa hapo kigoma mjini walichemka kwa serukamba hana mpya huyo.
  3. K

    Kafulila atishia: Nikishindwa kesi nitahamia chama kingine

    Kigoma wana mashine 2 mbili zitto kabwe na kafulila kichwa hicho hakiwezi kutoweka walamawese hawabahatishi.huoni NCCR imejikita zaidi kigoma? ni baada ya mafisadi kuteua wagombea ambao ni mafisadi then wananchi wakaamua kuweka wanafunzi. Wala mawese na Migebuka ni balaa hawadanganyiki.ila...
  4. K

    Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

    Masculability + metability= Good success .Kila siku nawaasa wanasiasa wote DICTION" ni tatizo hawajui wanatamka vitu gani,wapi,wakati gani,mbele ya nani na kwa nini? Nasari alichemka mie mwenyewe nilikuwepo mpaka nikainama pale nilipo ila mzee wa anga alipopanda jukwaani ilibidi asawazishe...
  5. K

    Waziri Mkuu Pinda asikitishwa hoja ya Watanzania Maskini,

    Mbowe swali alilouliza limewapa jibu sahihi watanzania wachache ambao bado wanangangnia kijani kibichi.siyo siri mzee wa papo kwa papo hakuamini make yeye ni mzee wa kutoa kauli bila utekelezaji ama kweli tanzania tuna wabunge na viongozi wa majukwaani. sitasahau tusi alilotutukana LUSINDE...
  6. K

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Lazima zittoo imuume kwani hata yeye nimjahidina. harafu mzee mtei ameona tume hiyo mbona mabalozi,wakuu wa mikoa,wakurugenzi,makatibu,majaji hasemi? ukweli ndo huo ila vilevile waislamu ni wengi tanzania kuliko wakristo kitakwimu ila kielimu wakristo wamesoma. fanya tafti hiyo waislamu...
  7. K

    Kugombea ubunge kwa sababu tu ya umaarufu

    Ama kweli bunge la tanzania,hata mie nimejiuliza sijapata picha kabisa.inakuwaje watunga sera jamani? sheria nyingi huwa zinapitishwa na wabunge wasiozidi 5 hivi kweli ni haki? kweli elimu kwa wabunge inatakiwa
Back
Top Bottom