Kwa wale wenzangu wanaopenda make up tuongelee products ambazo unatumia,tips na routines.
Ni product gani ambayo unapenda sana kuliko zote mfano me napenda bronzer .
Mahitaji
Muhogo uliomenywa Na kukatwa vipambe ukubwa kiasi
Mafuta
Chumvi Na pilipili kavu twanga pamoja
Namna ya kutaarisha
Chemsha muhogo wako Na maji hadi uwive Na kua laini (angalia usivurugike)
Mwaga maji uliochemshia
Katika karai weka mafuta jikoni hadi yapate moto
Weka...
**********Mahitaji ***********
Brokoli kiasi
Carrot 1 kubwa
Kitunguu 1 kikubwa
Kitunguu saumu chembe 5 katakata ndogo au twanga
Nyanya (tomatoes) 2 kubwa
Pilipili mboga nusu (unaweza changanya za rangi utakazo)
Uzile (cumin)nusu kijiko cha chai
Limau 1
*******Namna ya kutaarisha...
Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako
Mahitaji
Microwave safe bowl
Limau 1
Maji nusu kikombe
Kitambaa safi
Namna ya kusafisha
Weka maji katika bakuli na kamulia limau lako
Weka ndani ya microwave na washa kwa dakika 4
Ndani ya microwave kutafanya mvuke na vyakula...
Habari zenu wapishi wote natumai mko salama
Ningependa tujumuike pamoja katika kujifunza mapishi mbalimbali kupitia ukurasa wangu wa Instagram ambao nimefungua siku chache zilozipota..
Ukurasa ni: farkhina_zahraan_kitchen
Shukrani sana
Nawapenda wote
Cc Mentor Watu8 Heaven on Earth...
Mahitaji
Ndizi zilozowiva (mkono wa tembo au mzuzu) 4-5
Hiliki nusu kijiko cha chai
Sukari 1 tablespoon (sio lazima)
Tui bubu kiasi
Tui jepesi kiasi
Custard kijiko kimoja cha kulia
Namna ya kutaarisha
Osha vizuri ndizi na zikate sehemu nne
Toa moyo (ule mstari wa kati ya ndizi)...
1.Samaki wa kipande 1/2 kg
2.Mchele 1/2 kg
3.Vitunguu maji 2
4.Carrot 1 kubwa ikwaruze
5.Mdalasini 1 teaspoon
6.Bizari ya pilau 1/2 tablespoon
7.Nyanya ya kopo
Kitunguu saumu na tangawizi 1 teaspoon kila Kimoja
Chumvi kiasi
Namna ya kutaarisha
1.Kaanga kitunguu maji hadi kiwe...
Wengi wetu tumezoea nyanya chungu za nazi,biringanya pia likipikwa na nazi huwa na ladha nzuri pia.
Mahitaji:
Biringanya kata dogo dogo wek katika maji ya baridi (hii husaidia biringani kutobadilika rangi sana na kua jeusi)
1.Nyanya
2.Kitunguu saumu na maji kiasi vitwange na chumvi.
3.Tui...
Mahitaji:
1.Mchele nusu kilo.
2.Kuku 1 kata vipande vipande...mroweke na tangawizi na chumvi.
3.Carrot 1 ikwangue.
4.Green peas/njegere kiasi.
5.Kitunguu kikubwa kimoja.
6.Mchanganyiko wa spices upendazo.
7.Kotmir au persley ukipenda.
8.Mafuta ya kupikia.
Namna ya kutaarisha:
Weka...
Habari zenu.
Unaweza kupika chakula kizuri tu na kuzingatia kila hatua ila kisiwe na ladha tamu zaidi au kiwe kimepooza.
Tumia pilipili manga iliotwanga dakika 10 kabla ya kuepua chakula chako.
Kwa upande wa spicea nyengine ili zitokoleze vizuri katika chakula mfano wa spices hizo ni bizari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.