Search results

  1. K

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    10 bn+ mafisadi vyote vimesajiriwa rasmi CDM, mchaga na pesa kweli usiunge naye undugu nimeamini ..ni zaidi ya maajabu ya Mussa haya
  2. K

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Hata shetani wa kwake ni Lowassa
  3. K

    CHADEMA/UKAWA wamtambulishe Lowassa Mikoani

    Ambulance please!
  4. K

    Azam Tv kuweni macho

    tunaamini kwa kuanza na DTV walau mnaelekea kule sie wateja wenu tunakotegemea mtupeleke ...nimefurahi kuiona chaneli hii kwenye king'amuzi chenu ila tuwekeeni na Tbc2 ili tumalize kazi
  5. K

    Naibu spika Ndugai adai waziri mkuu Pinda hana sifa za uraisi

    Pinda hafai hata kuongoza nyumba5 kama waziri mkuu ameshindwa hata na mgogoro wa madiwani wa Bkb sasa huyu urais nchi si itamezwa na mamba ..kusema kweli CCM kama hasimami Magufuri basi mmebaki weupe mno
  6. K

    Soka: Utumwa mamboleo, historia ikijirudia

    kuna point ila sielewi ama ndo aina ile ile ya minyororo ya Fifa kwa waafrika ama nini,kwanini Uefa ina timu4 za ligi wakati Afrika ni timu moja tu? na kwanini shirikisho ni timu 2 kwao wakati sie tunaruhusiwa 1 tu wakati Afrika ni bara kubwa kuliko Ulaya ...wanasoka wa kiafrika ni muhimu sana...
  7. K

    Geor Davie ni nani?

    itakuwa ni vigumu sana kwa tajiri kuuona achilia mbali kuuingia mlango wa ufalme wa mbinguni.. hongera mchungaji kwa kuwafanya wajinga kuwa makondoo yako wakidhania mbinguni ni sawa na kwenda sokoni
  8. K

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    ni kweli wakuu japo kwa kundi ulilolilenga kamwe hawatakubali wala ila hiyo ndo hari harisi,mwanamke si degree na hili ni jambo muhimu kuliko yote kama kweli unataka kuoa 'mke' na kufurahia ndoa yako,ukiwaona wengi wanatamani kuolewa lakini hata dating hawaijuhi,badala ya kumfanya kijana avutiwe...
  9. K

    Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

    Huwa nashangaa kuona hata maprofesa wa kiafrika wanashindwa kabisa kusema ukweli kwamba wazungu ni sumu kwetu waafrika,wanampenda tembo kuliko kuliko wewe kwasababu ww huna cha kunufaisha kama tembo anayewapa pembe, ngozi na kwato
  10. K

    CCM Mbeya waanza kutimuana, viongozi kadhaa watimuliwa

    makubwa,na bado mpaka wauane
  11. K

    Kanga Moko: tunalipeleka wapi Taifa? Maadili yetu? Watoto wetu?

    maisha bora kwa kila mtanzania ndo hayo,na Tz bila ukimwi inawezekana kabisa kabisa
  12. K

    Pinda abadili upepo wa CCM urais 2015

    huyo mpinda wa kwenu ccm ila sie wananchi chini ya ukawa tunaye wa kwetu siku nyingi
  13. K

    Azam Tv kuweni macho

    ishu siyo pesa kwasababu hata ikiwa 15000 bado uwezo wa kulipa upo kama tu mnakubaliana na ushauri wetu na kama kweli mnapenda kuwa karibu na wateja wenu ...kwahiyo haina haja ya kuwa wakali kama mnaweza tupeni kama haiwezekaniki kabisa mnasema pia,siyo mbaya
  14. K

    Azam Tv kuweni macho

    we mbona msumbufu sana tena?
  15. K

    Natafuta demu aliye free wa kuwa tunapata wote flavour

    Miaka 21-26 kama upo free hauna mme unapenda kuliwazwa na kustahareheka nipm. Vigezo ni msichana tu kabila lolote, rangi yoyote, dini yoyote karibu we dada.
  16. K

    Hii Kamati ya Vijana wapenda Amani inafadhiliwa na nani?

    Wachumba tu hawa wataishia kutumiwa na kisha kutupwa chooni kama zile karatasi za kuchambia
  17. K

    Walimu wachapwa viboko na wazazi

    Waalimu wa Tz tuna matatizo ya kifikra,hebu jiulize ww kama mtu mzima achilia mbali mwalimu hata kama ni msukuma mkokoteni ama muuza karanga unawezaje ukakubali binadamu mwenzio akakugonga bakora? Tena wamekufata kwako? Kweli? Kwanini isiwe vita hata kama wao wana bakora kwanini ww usichukue...
  18. K

    Msaada wenu wataalamu

    Ninaomba wataalamu wanaojua ukitaka kuijua samsung orijino unafanyaje make kuna mtu hapa anataka kunipiga changa la macho
  19. K

    Wilfred Muganyizi Rwakatare ''Engaju" anasubiriwa kwa hamu Bukoba!

    Engaju,Entare yeirungu..! Rwakatare umekuwa nguzo hapa mkoani na sasa karibu tena tuikomboe Kagera yetu.. we miss you!
  20. K

    Natafuta kazi ya ualimu

    Mimi ni graduate 2009 UDSM,natafuta kwa mikoa ya Mwnza na Mara kwa masomo ya Language (A-L) na English (O-L) & GS
Back
Top Bottom