Search results

  1. M

    Mkanganyiko wa Maadili ya Madaktari wakati wa Migomo

    nimeamka asubuhi na mapema na kuwasiliana na baadhi ya rafiki zangu ma dr. nikiwauliza hayo tuliyoyaona jana nini maana yake? wengi wao hawana jibu lililonyooka coz wote wanasema TUMEWASIRITI WENZETU na wao wameamua kuuza heshima yao na kuidhalilisha taaluma kwa sababu ya NJAA. Binafsi...
  2. M

    Msaada wa CV

    kaka nenda ka google zipo nyingi tu utapata. then watu wengine bana wasiposema upuuzi wao wa jokes siku hiyo hawatalala, kama una msaada u beta kip silence.
  3. M

    Huu tunaomfanyia Dr Ulimboka ni unafiki, ujinga na upumbafu uliokithiri!

    mkuu kati ya wtz wenye chembe ya ukweli na wewe upo! kimsingi tatizo kubwa linalokwamisha juhudi za maendeleo ktk nchi yetu ni UMASIKINI WA AKILI huo unaouita upumbavu, unafiki na ujinga uliokithiri! siku zote tumeishia kuandika maneno mengi, kujidai kwa lugha za madaha na kujiona wajuaji wa...
  4. M

    Tukijaribu hili hatutafika?

    Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wanamziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya nchi. watazame wahandisi wetu watazame madaktari wetu watazame wachumi wetu watazame wanasheria...
  5. M

    Tukijaribu hili hatutafika?

    Wana jamii nimekuwa nikiwaza jambo hii la kila influencial figure, wasomi, waganga wa kienyeji, wananziki n.k kutaka kuwa wanasiasa katika nchi yetu, hali inayopelekea kuzorotesha maendeleo ya nchi. watazame ma ingeneeear wetu watazame ma daktari wetu watazame wa chumi wetu watazame wana...
  6. M

    msaada wa mawazo.

    jamani wana jamii sina hofu kwa msaada ntakaoupata kupitia forum hii wa kimawazo ili niondokane na changamoto inayonikabili kwa sasa. kwa kifupi iko hivi mm ni mwejeji wa mkoaX, nina ndugu wawili ambao bado wako shule za sekondari, nina mzazi mmoja tu (mama) ambaye anaishi kwenye dimbwi kubwa la...
  7. M

    kwa wakazi wa moshi tu! NATAFUTA KAZI YA KUJITOLEA

    jamani kwa mkazi wa moshi anayejishugulisha au anayefanya kazi kwenye organization yeyote inayojishugulisha na ustawi wa afya ya jamii aidha katika kutoa elimu au kufanya research naomba anipe taarifa ya wapi walipo ili niweze kufka sehemu husika na kuona kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya...
  8. M

    Umeme wakatika, tunaomba updates za Hotuba ya Wizara ya Afya

    jamani huku kwetu tanesco wamekata umeme so we cant accsess tbc! atakaye pata hotuba ya wizara ya afya kambi ya upinzani aturushie jamvini
  9. M

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    tukionekana wagumu wa kuelewa pia tumeendelea kuwa wepesi wa kusahau. Napenda kuuliza, ule mchakato wa wa kumuingiza rais Kikwete madarakani 2005 - kauli mbiu ya ccm ilikua "maisha bora kwa kila Mtanzania". Ninachokiona mimi umasikini unaotukabiri, sisi wana nchi tunaozunguka migodi ya madini...
  10. M

    natafuta kazi

    twenty eight
  11. M

    Taaruma ninayo nimekosa fulsa naombeni msaada

    kutokana na mgomo wa ma daktari nchini na uhamuzi wa serikari kusitisha leseni za madaktari wapatao takribani 300 na baadhi yao wameanza kuondoka nchini ili kutafuta mahala wanakosamini taaruma hii mwenzeni naomba mtu atakayensaidia kupata fulsa hapa nchini katka kazi isiyo ya utabibu lakni...
  12. M

    natafuta kazi

    ndugu zangu wanajamii mimi ni graduate wa udaktari katika chuo chetu cha muhimbili . kufuatia kile kinachoeendelea katka sekta ya afya wito wangu wa kufanya udaktari nchini umepotea plz naombeni mnisaidie kupata nafasi ya kazi itokanayo na taaruma yangu tofauti na kazi ya kutibu
  13. M

    Tsh 3,500,000 Kwa Daktari wa Watanzania ni aibu!

    baada ya kusoma makara yako nimeshindwa kujizuia kwa machozi! juisho ya yote wengi ukweli wanauona achana na hao wengine wanaofikiri kwa kutumia makalio, nalipenda pendekezo la nn kifanyike? ukweli ni kwamba baada ya mateso kuzidi juu ya wana wa izrael huko utumwani misri mungu alikisikia kilio...
  14. M

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    by living soul " KAMA MUNGU AISHIVYO, HAKI YAKE NA IHAMUE.
  15. M

    WAZO LA LEO na Kutekwa kwa Dk. Ulimboka

    jamani mm sielewe mbona watanzania tunapenda kuzungumza sana? hoja zenye mashiko mnazo ila tukitangaza maandamano kupinga serikari ya kifedhuri hamjitokezi. hivi wokovu wa nchi hii utaletwa na wamisri waliolala kwenye uwanja wa taharir squire? chondechonde kesho tujitokeze uwanja wa jangwani...
  16. M

    NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

    ukweli ni kwamba mlita mfumo wa kufikri kwake umepooza hana tofauti na kindergaten reasoning capacity. anaitaji kupewa brain wash out coz mtazamo wake hauna mashiko.
  17. M

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    Nacho amini HAKUNA UKOMBOZI BILA SADAKA. hapa haikwepeki both gvt and drs they have to resolve the crisis. coz cont delaying tha isue mahafa ni makubwa. MUNGU WANGU TUONYESHE NJIA.
  18. M

    Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    mtoto wa mkulima hana jinsi ya kujitetea katika hili kwani kauli zake zinamtokea puani. ushauri wangu ameonesha udhaifu wake na serikali yake legevu kwani wanaamini kuwa matumizi ya nguvu kwenye vita vya intelectual ni suruhisho. tunaomba waje na mkakati wenye mashiko ktk mgogoro wa ma dr tz...
  19. M

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    tumeonewa vya kutosha, tumedharauliwa vya kutosha, tumenyanyaswa vya kutosha sisi ma dr. wa tz na wananchi kwa ujumla , nadhani ktk hili tusipoandamana kuuondoa uongozi wa kinazi wa serikari ya tz mawe yatapaza sauti na historia itatushitaki kizazi hiki. URIMBOKA mungu wetu akuponye kwa damu ya...
  20. M

    Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

    ukishangaa ya musa utaona ya filaun! hivi kweli niambieni nini uhusiano wa muungano na kuchomwa kwa makanisa znz? naachoweza kusema wakristo tuombee amani znz coz vita yetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na usultani wa pepo wabaya wanaofanya uhaini znz.
Back
Top Bottom