Search results

  1. K

    Kamanda Godbless Lema na wanachama na viongozi wapya wa chadema London.

    Kwa uzoefu wangu majina kama Lukosi ni kama watu wa Iringa vile, sasa sijaelewa hapo, una maana wanatoka mkoa mmoja hao watu walioko UK au wanatoka mkoa mmoja na bwana Lema, unaweza kufafanua kidogo?
  2. K

    Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

    Mkuu, kumbukumbu zangu zinanionesha,serikali ya dhaifu ilianza kulalamikiwa kuwa kuna ombwe la uongozi mara tu baada ya Low watch kung'olewa na bunge, yeye ndo alikuwa mtendaji mkuu wa mambo yote na mwasisi wa vyote including shule zile za Yebo yebo na wale walimu wa Voda fasta ilikuwa ni vision...
  3. K

    Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Punda afe mzigo wa tajiri ufike?

    Malawi ni kanchi kadogo sana, nadhani ukubwa wake ni kama mkoa wa Mwanza, ukiiweka na Geita kabla haijapewa mkoa, issue yangu ni hii, hivi wanajeshi wetu sasa hivi, bado wanaouzalendo huo wa kuipigania nchi yao kama enzi za Iddi Amin Dada? maana'ke wanajua hata kama watatoa damu zao, kula...
  4. K

    Khatima ya Zanzibar na Mustakbali wa Muungano

    Hizi discusion za haka kamkoa kweli mi zina nibore kweli, kila siku kelele tu, mbona mikoa mingine haipigi kelele? kamepewa rais, jaji wao, tena kama marais 3 halafu wote wakisha stafu tu mafao wanachukua huku bara, si kaende tu, kila siku maneno vitendo zero.Aaaaah
  5. K

    Madaktari leo kujadili sakata la Ulimboka

    Sasa ndo nimeelewa kwani serikali ililifungia gazeti kwa muda usiojulikana, Dr akisema tu kilicho mtokea utasikia wanalifungulia gazeti hasa kama kile kilicho andikwa na Mwanahalisi kitafanana na atakachokisema Dr. nchi ya maajabu hii.
  6. K

    Cv Rorya MP ( Lakairo)

    Watanabe, hujamwelewa mtoa uzi, anasemaaa, "Angalia na huyu? miswada hii inayoletwa kwa kiingereza anaambulia kitu?" hiyo ndio issue kubwa kaka/dada, kuna vitu vimepitishwa huko kwenye bunge hili la bi Kiroboto hadi vinatia kichefu chefu, issue ya Katiba, mswaada ya mafao ya uzeeni, wote tumeona...
  7. K

    Kuna watu tunaimani na mwanahalisi kuliko hata serikali yetu

    Haya majina yenu mengine bana, we unaitwa father of all lakini matendo yako na mtazamo wako wala havifanani na jina lako, kwanini hata usingejiita Zero brain?
  8. K

    Ndoto ya shetani kwa walokole ni ndoto ya CCM kwa CHADEMA, hii yenu kwangu ni zaidi...

    Nimerudia mara kadhaa nione hiyo ndoto ya shetani kwa mlokole na ndoto ya ccm kwa CDM sijaona, inawezekana ulikuwa una post kwenye majamvi tofauti, unaweza kuja kivingine?
  9. K

    Kwa NSSF yangu Kukataliwa na Serikali bila Ridhaa yangu SIUNGI MKONO CCM na Serikali YAKE

    Mkuu, mbona umechelewa sana kufanya maamuzi ya kukichukia hiki chama? ungeg=fanya maamuzi siku nyingi huenda Dr wa ukweli saa hizi angekuwa state house, ona sasa kuchelewa kwako we na wengine tumeyapata haya, anyway, Watanzania wenzangu, hivi magamba watushike sehemu gani ndo tujue hawatupendi?
  10. K

    Hali tete mgodi wa Bulyanhulu (Kahama)

    Wafanyakazi wanamgomea mwajiri kwasababu rais wako hata ungemwambia nini wewe Mtanzania huwa haelewi, ila mzungu akija na kumwomba chochote huyu rais wako hufanya, kwahiyo jamaa wamogoma kwa vile wanajua Mzungu anaouwezo wa kuongoa na raisi wako na atatekeleza kilucho umbwa na Mzungu. Kwa...
  11. K

    Walimu waahidi makubwa - Lazima kitaeleweka

    Ngoja niwaeleze walimu nguvu yenu mlionayo while you don't know; mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikuwa nasoma secondary, i mean "O" level, nakumbuka kwenye uchaguzi wa rais na ubunge (rais tulikuwa tunapambanishwa na kivuri, mliokuwepo enzi hizo mnakumbuka), bwana Josephat Mungai alipambana na bwana...
  12. K

    Mgodi wa Barrick (Bulyanhulu) wafungwa; kisa NSSF na PPF, wafanyakazi wako tayari kupoteza kazi!

    Huku ndio sekta binafsi bwana, kwa taarifa yenu, huyo mama Irene ameisha toa tamko tayari na kusema watu wa migodini hii sheria haiwahusu so wataendelea na utaratibu wa zamani kama kawa, for your infor, hawa watu wa migodini wameisha badiri sheria za mafao mara nyingi tu, Wao wakiacha kazi wala...
  13. K

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    Dar, toka Tunduma hadi Dar, chakula Ilula au Kitonga au Ruaha mbuyuni bila kuchimba dawa hapo, mmm, sijui, then toka Arusha hadi Dar, chakula Mombo then hadi Dar, sijamaliza, safaro kutoka Mwanza hadi Dar, chakula cha mchana Singida, then baada ya hapo Dar, aaaah, sipati picha hakika, anyway...
  14. K

    Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

    Mi nataka tu kujua,Saed Kubenea naye amealikwa? Kwasababu mi najua wamefungia gazeti lake but he is free to continue with his jobs, na je ataruhusu maswali? maana'ek huyu jamaa ni mwoga sana kwa maswali, huwa simsikilizi tena but kwakua ataongea na Wahariri then i think nta tune ka TV kangu ili...
  15. K

    Mzee Hassan Nassor Moyo: Kauli yake juu ya Muungano na hatma ya Uanachama wake ndani ya CCM

    Huu mkoa wa Zanzibar naona nao umezidi kelele, mbona wa mkoa wa Mwanza na kwingine kama Iringa, Mbeya wapo kimy tu, tunakalea kila siku lakini haka choki kudeka na kulalamika, aaaah, kama kamekua si kaende kakajitegemee bwana, kasehemu kenyewe kadogo, wilaya ya Mufindi kubwa!!!!
  16. K

    J.K., Laigwenan Lowassa ni mtu muhimu kwako, asikudanganye mtu

    Hapo kwenye bold na red, angalia mkubwa, watakuja wenyewe na kusema, huyu alikuwa anawachukia Waislam ndo maana alipinga ule mkataba wa Wamisri!
  17. K

    UHURU lataja majina ya Kamati ya Nishati na Madini iliyovunjwa

    Haaa, kaka, we kama mimi, mi sikumbuki mara ya mwisho nimeliona mwaka gani? hvi hata kwenye radio huwa linasomwa kweli hili, hivi huwa linauzwa Tsh ngapi?
  18. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Namna ya kumjua rais mzuri kwa maana ya utendaji ni hii hapa ukiwalinganisha hawa 2:- Hivi kwanini Zitto husifiwa sana na watu ambao huwa na mapenzi makubwa na magamba? angalia uchaguzi wa 2009, watu waliotaka sana awe mwenyekiti wa CDM wengi wao walikuwa ni wale wenye maslahi na magamba, here...
  19. K

    Malecela apigilia msumari kashfa ya ufisadi bungeni

    Heee, haya ni maneno ya buldozzer au mwingine? kwani huyu mzee naye si anakale ka kashafa ka stand ya Dodoma? na alikapata haka ka kashfa wakati akiwa mbunge, au ndo ya Nyani halioni .....! Kuhusu issue ya nape, Tundu ametaja majina ya wana magamba, kama naye anayo majina ya CDM, si naye ataje...
  20. K

    Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

    Huwa sielewi, sijui tumelogwa? mbona hawa watu wakiisha toka kwenye system ndo huwa na mawazo mazuri? Nakumbuka Sumaye naye sikumoja aliwahi kusema, taifa haliwezi kuendela kama hatuuzi vitu nje ya nchi, kama tunanunua zaidi bila uuza then hatutakuwa na fedha za kigeni, aliendelea zaidi kwa...
Back
Top Bottom