Search results

  1. M

    TANESCO MORO

    Tanesco Morogoro mnakera sana ni siku ya nne sasa mmekuwa mkikata umeme na kuwasha mnavyojisikia nyie nyakati za usiku na wala hamtoi taarifa kama kuna tatizo na mbaya zaidi mkipigiwa simu kitengo cha Dharura hampokei simu zaidi ya kukata ili muonekane mpo busy hii ina kera sana au ndio mpango...
  2. M

    Live Azam2:EID komedi gala

    Sema tena
  3. M

    Wafanyakazi wa mgombea wa CCM wazingira ofisi

    Injineer usiejijua hahahahaha
  4. M

    Wafanyakazi wa mgombea wa CCM wazingira ofisi

    Acha kuropoka ww great thinker huwa haropoki kama ufanyavyo ww usie na akili wala adabu
  5. M

    Wafanyakazi wa mgombea wa CCM wazingira ofisi

    Huo ni uzushi na uzandiki mkubwa sana,na pia mtu huyu mchafuaji hafai ktk jamii,kama umekuta tukio kwanini usipige picha?kama kweli wewe ni mwanahabari uliyesomea?Kuwa na maadili ya kiuanahabari acha ukanjanja then askari huwapo kila siku asubuhi ofisini kwa ajili ya parade na kutawanywa...
  6. M

    Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

    Jamani hivi hii ishu ni kweli?Naomba sana MKAPA akae kimya kama hajasikia:Kulumbana na mtu tena toka ndani ya ukoo wa marehemu akikutuhumu kumuua nduguye si busara hata kidogo hii move yaweza kuishia pabaya.MKAPA kuwa mwanaume kabisa potezea hii ishu japo ukweli dogo kakutandika bonge la...
  7. M

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Wananchi wa kirumba ndo wanajua wamchague nani kuwa diwani wao lakini ni kwamba CDM waache kudanganya wananchi wa kirumba na tz kwa jumla bt why KIWIA amemtukana mpiga kura wake wa kirumba jana usiku na amepigwa makofi jana usiku hajasema? ndo aje aseme uongo kuhusu mgombea UDIWANI wa CCM kata...
  8. M

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Napenda kuwajulisha wananchi wote/ umma kwamba JACKSON ROBERT hajakamatwa popote wala hana tatizo lolote, yupo okey lakini tujue kwamba siasa za matusi na kupakana matope hazina msingi wowote, ila tujue kwamba kuwandanya wananchi sio kitu kizuri, HIGHNESS SAMSON KIWAI mbuge wa ilemela ametoa...
  9. M

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    BY MATAPISHI Ndugu zangu nawaomba sana tuwe wakweli mbele za mungu na nafsi zetu wenyewe, tusipende kuwa waongo na kuundanganya umma/ wananchi , ndugu Jackson Robert ( masamaki) hajakamatwa popote yupo mjini na anajipanga kwa kampeni leo kama kawaida lakini watu ( CHADEMA) wamekosa kazi ya...
  10. M

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    Si kweli maana kuna watu wanataka kuudanganya umma wa Watanzani
  11. M

    Mgombea Udiwani wa CCM mbaroni kwa kugawa pombe usiku

    jamani ee tuspotoshwe na watu wasiotaka maendeleo hizi tuhuma si za kweli hata kidogo,ndo maana hata alie positi hii habari hakuweza kuikamilisha kwa undani,hii inatokana na siasa majitaka ambazo ni za kumchafua mtu, mgombea udiwani wa ccm kata ya kirumba bw.jackson masamaki hayuko mbaroni na...
Back
Top Bottom