Search results

  1. Fred Wk

    Umoja wa Ulaya wanataka kuandika upya sheria za Tanzania?

    Acha uongo mkuu,, hoja zilizotolewa ni nyingi,, kwavile hujui lugha tu mkuu poleee
  2. Fred Wk

    Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha Uchaguzi TLS

    Nadhani hapo unatwanga majikwenye kinu tu jamaa atakua ana Bashite
  3. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama umeziona si uziweke hapa na sisi tu coppy au asubuh asubuh tu ushapombeka,, ngoja maguful akuone wewe
  4. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haaa pole sana Trigeminal, ukishaanza kubet ujue ushakua muathirika wa hiyo kitu kuacha ni ngumu sana yaani, ni sawa na bangi ikishakukolea kichwan hata uambiwe vipi huelew somo.... Ila wakati wako wa kupiga hela upo usichoke,, siku ukipiga utarudisha pesa yako yote, na utafurah... Mi leo...
  5. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Maseke ni Bahati Lo@dinV Haahahaaaaaaaaa,
  6. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaaaa, nitatuma saiv saiv nakula raha hukyu,, nikurudi home baadae nitapiga picha huo mkeka muone,,
  7. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana, hata mimi nilipofika betting, nilibashir palepale, mawazo ya mechi nilizotokanazo home nilijikuta sikuyaweka, ni kama zali tu yaan,
  8. Fred Wk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukiwa na maseke utakua unapiga hela kila mara,, tatizo watu hawana maseke,, mi jana nimempiga mzungu supabets 2,653,000 niliweka zangu timu 8 tu kisha nikaweka mzigo wa 30,000.
  9. Fred Wk

    Dada uliyekuwa ukinunua vitabu 4 Nakumat please ni-pm

    Huyu jamaa ni KALUMANZILA kwakwel,,
  10. Fred Wk

    Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Magufuli wakati anapiga pushup jukwaani, muulize juma nyoso alimfanyia nini..... Haaahaahaa
  11. Fred Wk

    Mkutano wa CHADEMA wa kuchangia kampeni za Uchaguzi - Sept 21, 2015

    Nitakuwepo sehemu husika, safi sana!,,
  12. Fred Wk

    Kikwete: Picha za mafuriko ya UKAWA ni za kutengeneza

    Nadhani uzee unamuendea vibaya, sasa ana matatizo ya macho
  13. Fred Wk

    Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

    Isipokua gazeti la Uhuru tu, hilo gazeni lina gundu silinunui tena, lakibinafsi sana, sijui kama wanauza magazeti tena wale, wataendelea kupata hasara kila Siku..
  14. Fred Wk

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawa Tutashinda Uchaguzi mkuu mwaka huu 2015 hatutaiba kura.
  15. Fred Wk

    Lowassa akutana na Maalim Seif kwa faragha Dsm

    Jamani, naomba kujua kwa anayefaham, je, kesho kutakua na mkutano Wa Ukawa pale uwanja Wa taifa kumtambulisha mh. Lowasa au hakuna, kama upo kweli nataka nianze maandaliz mapema.
  16. Fred Wk

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Sijui kala maharage ya ccm yule, Leprofeseli jingaa kabisa
  17. Fred Wk

    Napenda kumtahadharisha mh. Rais kikwete

    Eti aonekane ana confidence, na wakati kashajua kabisa hapa nchi imeshachukuliwa tayar na upinzani, sipati picha siku anamkabidhi mh. Edo nchi, sijui kikwete atakua na hali gani
  18. Fred Wk

    Baada ya kumaliza kuandikisha, mashine za BVR zinaenda wapi?

    Walioandikishwa kwa mkoa Wa dar jumla wapo wangapi kwa anayefaham tafadhali
  19. Fred Wk

    Napenda kumtahadharisha mh. Rais kikwete

    Pia ni ushamba na udhaif Wa hali ya juu sana, Mh. Rais kikwete kumpigia kampeni mgombea Wa kutoka chama chake, na maneno ya kejeli kiasi hicho, ni aibu sana,, nimebahatika kuliona hili kwa nchi ya Tanzania tu, nchi zingine sijaona,, Rais hatakiwi kupendelea upande wowote ule,,, huu ni ushamba...
Back
Top Bottom