Search results

  1. O

    2015 Wenje akagombee Rorya na Adam Chagulani agombee Nyamagana

    mawazo mazuri lakini tupime mazuri ya wenje uchaguzi ujao.lakini mimi ni mzaliwa wa rorya nimekaa sana rorya,ila wenje ameonesha njia ila kwa wananchi wengi wa rorya hafamiki sana.kama wana rorya wakimkubali ni vema.ila kwangu mimi nngefurahia sana kama mabere marando angegombea 2015 kwa sababu...
  2. O

    Mbona waziri sita anajichanganya?

    Tutafurahi sana endapo waziri sita ataacha kuchefua watanzania. Ni vigumu kusikia kila siku anahubiri kuhusu ufisadi ndani ya ccm.Sita angejua kwamba hawezi kuleta mabadiliko yeye na marafiki zake Mwakyembe na Mwandosya akiwa ndani ya chama mfu.Lazima Sita akubali kwamba wa Tanzania wameamka na...
Back
Top Bottom