Search results

  1. M

    Kumetokea changamoto ya Polisi kupita mitaani kwenye Vibanda umiza vinavyoonesha Mipira na Bar kukukamata washabiki wa mpira kuanzia saa 6 usiku

    Kumetokea changamoto ya Polisi kupita mitaani kwenye Vibanda umiza vinavyoonesha Mipira na Bar kukukamata washabiki wa mpira kuanzia saa 6 usiku hivyo kuleta usumbufu kwa mashabiki wa soka, Sasa kesho Timu ya Taifa inacheza kuanzia saa 5 usiku mpaka saa 7.30 Usiku tunaomba Serikali kupitia kwa...
  2. M

    Wapinzani wa CCM hawajui maana ya uongozi wa kidikteta au kiimla

    Viongozi wa upinzani nchini Tanzania hawajui maana ya uongozi wa kidikteta au ki imla. Je Serikali ya Kidikteta inaweza kufanya haya kwa ustawi wa maendeleo ya Taifa la Tanzania 1. Kupiga vita vya haki mafisadi na mianya ya rushwa 2. kujenga reli ya kisasa ya SGR 3.kuboresha miundombinu ya...
  3. M

    Mganga mfawidhi: Mtoto aliyechapwa akafariki alikuwa na majeraha mengine

    Tatizo la Wizara ya Afya kuweka Waganga wafawidhi wa Hospitali za Rufaa ambao hawajui hata procedure za upasuaji, kufanya uchunguzi huyo mganga mfawidhi hajui hata taratibu za kufanyia uchunguzi mwili. Wizara ingeanza kwanza kuchunguza capacity ya Mganga mfawidhi katika ktk kutekeleza majukumu...
  4. M

    Imani ya ushirikina unavyotawala 90% ya uchimbaji dhahabu

    MARUDIO LUNDO LA TRIP 8 ZA MCHANGA WA TIPA LINASOMA DHAHABU (AU) 2.65 PPM, COPPER (CU) 44.66 PPM LIKIPELEKWA PLANT KWA AJILI YA KUOZESHWA DHAHABU INAWEZA KUPATIKANA GRAM NGAPI?????????????// MSAADA
  5. M

    Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

    MARUDIO LUNDO LA TRIP 8 ZA MCHANGA WA TIPA LINASOMA DHAHABU (AU) 2.65 PPM, COPPER (CU) 44.66 PPM LIKIPELEKWA PLANT KWA AJILI YA KUOZESHWA DHAHABU INAWEZA KUPATIKANA GRAM NGAPI?????????????// MSAADA
  6. M

    Wabunge wa CHADEMA wangejiuzulu ili kuonesha msisitizo

    Hawana Uzalendo huo hawa walafi wa posho
  7. M

    Mwigulu Nchemba asema vyama vya upinzani ni adui mwingine wa taifa awahusisha na matukio ya utekaji na uvunjifu wa amani

    Hasa haya Machadema ni mahalifu tu nasasa tunayadhibiti ipasavyo mpaka vitamko vyao viewe vinatolewa chooni
  8. M

    Mwigulu Nchemba ashindwa kutaja sheria inayowapa mamlaka Polisi kushikilia mtuhumiwa zaidi ya 24hrs

    M Unataka Sheria ya nini kama wewe ni mhalifu utawekwa tu Lupango mpaka Dola itakapoona vinginevvyo kama unabisha kesho jitokeze hadharani kuvunja sheria uone MKono wa dola utakavyokushughulia na hapo utatumbua ni sheria gani inakushikilia
  9. M

    Freeman Mbowe,the iron man in Tanzania

    Iron man or Lady?? kawekwa ndani Wema watanzania wakaandamana Mbowe kakaa segerea hakuna cha maandamano nimeanza kuona wafuasi wa chadema wameanza kuwa na uelewa mkubwa kwa kumpuuza Mbowe hadi kula sikukuu lupango
  10. M

    Freeman Mbowe,the iron man in Tanzania

    Kwa matamko mnapenda kujipa moyo awamu hii akitoa hata kitamko cha kibwegebwege kuchochea vurugu na uasi akiwa DSM anapigwa centro 5 days then 10 days Segerea akitoka lazima akajifiche mgombani huko machame
  11. M

    Freeman Mbowe,the iron man in Tanzania

    Iron Man Katoka Gerezani analialia mwanaume wa kweli asingekuwa analilia dhamana
  12. M

    Jenerali Ulimwengu: Ukiniuliza makao makuu ya nchi ni wapi nitakwambia ni Dodoma na Dar

    w wivu tu umewajaa mlisema haiwezekani tukaweza kuhamia DODOMA SASA TUMEWEZA Mmebaki na propaganda mfu tu. Makao Makuu ya Wizara zote na watendaji Wakuu wa hizo wizara wanafanya kazi DODOMA
  13. M

    Mpumzisheni Mpendwa Rais wetu Dr. Magufuli na ratiba zenu kwani mnamchosha sana

    Tulitembea kuomba kura usiku na mchana sasa ni wakati wetu wa kutekeleza na kukagua shughuli za Maendeleo Site hivyo Rais Anazo Nguvu na Mungu anamlinda Kwelikweli. Tuliposema Hapakazi tu hamkuelewa nini Rais anachapa kazi mwacheni atimize wajibu wake
  14. M

    Nini madhara ya kutosomwa bajeti mbadala bungeni?

    Rais Magufuli anachapa Kazi na Kuleta Maendeleo kwa Taifa kwa Kasi sana hii imefawanya Wapinzani hasa Chadema kukosa maneno ya kuandika katika Hotuba zao Bungeni kwani hawana cha kuikososa Serikali ya Rais wetu Magufuli. Rais Magufuli anatekeleza tu huwezi kukosoa Ø Ujenzi wa Reli ya Kisasa Ø...
  15. M

    Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

    Kumpigania Rais Magufuli na CCM ni Imani ambayo haihitajia Malipo.
  16. M

    Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

    Kumpigania Rais Magufuli na CCM ni Imani ambayo haihitajia Malipo.
Back
Top Bottom