Search results

  1. senzoside

    Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  2. senzoside

    Ushauri juu ya kozi ya Kodi (Taxation)

    Habari wadau, Ningependa kufahamu mtu anayesoma kozi TAXATION anaweza kufanya kazi sehemu zipi? Na kati ya kozi ya TAXATION na PROCUREMENT ni ikozi ipi yenye soko zaidi
  3. senzoside

    Ni simu gani nzuri nayoweza kununua kwa bajeti ya 150,000/=

    Poleni na mapambano ya kila siku, naomba mapendekezo ya simu nzuri ya smart ninayoweza kununua kwa budget ya 150,000/=
  4. senzoside

    Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

    Habari za wakati huu wanajanvi, Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F Je anaweza kusoma kozi gani ya afya? Ahsanteni
  5. senzoside

    Mwenye experience na majani haya ya kupunguza uzito

    Kuna haya majani yanaitwa "Catherine tea" yanasemekana yanapunguza uzito na unene kwa haraka sana nani alishawahi kuyatumia? Na je yana madhara yeyote kiafya AKSANTE
  6. senzoside

    TABLET NZURI NI IPI?

    Habari za wakati huu ningependa kuuliza Tablet nzuri ni zipi nimeomba ushauri huu kwasababu niliwa nataka ninunue
  7. senzoside

    Mimba kutunga nje ya kizazi

    Shida inakuwaga ni nini mimba kutunga nje ya kizazi?
  8. senzoside

    Madhara ya mikanda ya kupunguza tumbo kwa wadada

    Habari ya mda huu ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa kuwa kuna madhara gani ya kufunga mikanda ile ya kupunguza tumbo kwa wadada
  9. senzoside

    Madhara ya mikanda

    Habari ya mda huu ndugu zangu nilikuwa naomba kujuzwa kuwa kuna madhara gani ya kufunga mikanda ile ya kupunguza tumbo kwa wadada
  10. senzoside

    Tofauti kati ya android na iOS

    Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na IOS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na ios haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi
  11. senzoside

    Huawei asend y300

    Ningependa kujua kuwa simu tajwa hapo juu mpya dukani ni shilingi ngapi? Na vipi kuhusu performance yake.
  12. senzoside

    Kwa walimu wa masomo ya arts

    Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
  13. senzoside

    Mbona siku hizi siwasikii mmesiz kweli

    Wiki zilizopita iliibuka mijadala mingi ooooh ajira za waalimu zimesitishwa, ooooh walimu wa arts hawataajiriwa, oooh ajira za waalimu ni mpaka mwaka mpya wa fedha, oooh serikali haina fedha kuajiri walimu wapya hela yote imeenda kwenye bunge la katiba. Mbona siku hizi siwasikii au wanaowatuma...
  14. senzoside

    Ushauri na msaada jamani

    Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina hela taslimu shilingi milioni 20 kama mtaji niifanyie biashara gani itakayoweza kunilipa vizuri...
  15. senzoside

    Ushauri na msaada wa biashara nzuri ya kufanya

    Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina hela taslimu shilingi milioni 20 kama mtaji niifanyie biashara gani itakayoweza kunilipa vizuri...
  16. senzoside

    Msaada jamani

    nimenunua simu aina ya iphone 4S ya kichina yenye line moja anayejua namna ya kuinstol software za wasapp na instalgram asanteni
  17. senzoside

    Msaada na ushauri jamani

    Habari za muda huu wandugu Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina hela taslimu shilingi milioni 20 kama mtaji niifanyie biashara gani itakayoweza kunilipa vizuri...
  18. senzoside

    Salamu

    Habari wanajamii forum
Back
Top Bottom