Search results

  1. B

    ubadhirifu wa fedha Chuo cha mipango DODOMA (IRDP)

    :msela::msela::msela: hataki wigi? au mnamsingizia! Huyu zilihona mbona ndiye nambaone kwa vimwana? anawachambua wafanyakazi wake kama karanga! Hili liko bayana! sio siri hadi vitoto vya under 20yrs. Muulizeni Ngeze! Nikweli kabisa. ajira za chuo hiki ni kizunguzungu kuna watu...
  2. B

    Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

    Tangu lini polisi wa bongo akawa great thinker. Karibia wote ni form 4 failures. Ametokaje mahabusu na kwenda kuangalia maiti,je alipewa taarifa kuwa watapanda meli? na kwanini wasingewakamata kabla ya kupanda meli wakati wakiwa DSM? nani aliyemweleza kuwa ktk ile meli waliokufa mojawapo ni...
  3. B

    Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

    Kuna siri au mkakati gani katika sheria hii? kwanini wabunge wajipendelee kwa kulipwa mafao yao mara baada ya kustaaafu? kwanini wasisubiri hadi miaka 55 au 60 kama wengine? Jana tu magazeti yaliandika kwamba serikali imekopa pesa nyingi sana katika mifuko hii ya jamii na imeshindwa kurejesha...
  4. B

    Vijisenti vya chenge vitarudishwa nchi lini?

    Chenji ya rada inerudishwa. Nauliza vijisenti vya chenge vitarudishwa lini?
  5. B

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    DAMU YA ILIMBOKA IWE CHACHU NA AMIRA YA MGOMO WA MADAKTARI!:redface:
  6. B

    Msanii Roma Mkatoliki anatumiwa na CHADEMA ktk majukwaa ya burudani kuiponda serikali

    yaani we zoba kweli kweli. inaonekana hufuatilii kampeni za CCM. Captain Komba wa wenzie akina Juma nature huwa husikii? Tafiti na fikiri kabla kuandika huku JF.
  7. B

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Peeeeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooosssssssssssssssssssssssssssss!!
  8. B

    Ushauri wa bure kwa form six waliomaliza na wanaotarajia kujiunga vyuoni kuhusiana na UDOM

    Kuna jamaa zangu wanasoma UDOM MA za development studies na Human resouces, wanajuta kwanini walikwenda kusoma UDOM. Wanasema kwanza wanafundishwa na walimu wenye master na sio Doctors, hawana experience- not professional hawajawahi hata kuwa consultants kwenye hizo fields yaani ni weupe peeee...
  9. B

    Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

    Ng'oa magugu shamba liwe safi. tusilee ujinga kama magamba. ni gharama sana. Samaki mkunje angali mbichi!
  10. B

    CHADEMA yawa gumzo Mtwara

    usife moyo endelea kuwapika. M4c is coming! Peeeeeeeeeeeeeeeeeeepoooooooooooooooooooosssssssssssssssssssss!
  11. B

    CHADEMA yawa gumzo Mtwara

    usife moyo endelea kuwapika. M4c is coming! Peeeeeeeeeeeeeeeeeeepoooooooooooooooooooosssssssssssssssssssss!
  12. B

    Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    KWA WALE AMBAO HAWAKUSOMA UDSM awe na first class kutoka katika vyuo HIVYO. isipokuwa kwa wale waliosoma UDSM; wanaume wawe na GPA ISIYOPUNGUA 3.5 na wanawake wawe na GPA ya 3.3 Wana JF hii inapeleka ujumbe gani kwa vyuo vingine?
  13. B

    Hali itakuwaje mtaani wakifukuzwa maaskari wenye vyeti visivyokuwa vyao?

    Hii cha mtoto bado uozo haujawekwa wazi! watakapoingia wizara ya elimu walimu wa shule ya msingi na sekondari watanaswa kibao, manesi huko usipime ni kundi kubwa sana, wataalam wa kilimo ngazi ya certificate na diploma acha kabisa. masecretary pia wapo kibao tena hadi ofisi nyeti kama mawizara...
  14. B

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    Wapo katika mchakato wa ajira zilizotangazwa hivi karibuni zikiwamo za Makatibu kata, wahadhiri- Mwl JK nyerere, CBE, Chuo cha Miponago Dodoma. Kinachoendelea huko ni vimemeo na undugu tu! tusibiri matokeo!
  15. B

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    DOKITA DAKITARI _Huo ni mgawa mawazo! umma utakuadhibu muda si mrefu! Pumbafu sana wewe!
  16. B

    Ni makosa makubwa kushinikiza Serikali - Dk Benson Bana

    Hawa ndoi yanao ishauri CCM na kujenga hisia za woga kwa umma.Mtu kama huyu ni wa kumpuuza na kmbeza. by the way makada wa CCM pale political science dept UDSM wapo kibao! SHAME ON HIM!:shetani:
  17. B

    Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

    bravooooooooooooooooo. Jeuri ya kikwete itakwisha kama si sasa julai watobaki kabisa!
  18. B

    Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

    watanzania tuliendea kufikiria kaka wewe hakika hatutafikia maendeleo endelevu. Maendeleo ni ghrama na mara nyine hugharimu maisha ya watu. Wanyongwe hadi kufa sio kufungwa tu!
  19. B

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    Stinking! Salma alilala wapi? Mbona aamelipwa sawa na mumewe? Nauliza hawalali pamoja?
  20. B

    Kanumba: Sipigi kura, 2015 nitagombea ubunge

    [Kumbe Kanumba alikuwa amechukua kadi ya chadema na alikuwa amepanga kugombea Shinyanga mjini kwa tiketi ya Chadema. Chadema tumempoteza mmoja wetu. RIP] hakika hapa tungekuwa na mwakilishi makini bungeni????????? Tafakari!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom