Search results

  1. H

    Msaada - Wapi Naweza Kupata Kipimo Cha Uhakika Kwa Tatizo la Vidonda Vya Tumbo au Uchunguzi wa Tumbo

    Nashukuru kwa taarifa@mkombozi, unaweza kufahamu gharama zake kwa muhimbili na kinapatikana kitego gani; muhimbili unaweza kwenda bila kupewa rufaa? Nitashukuru kama una taarifa zaidi.
  2. H

    Msaada - Wapi Naweza Kupata Kipimo Cha Uhakika Kwa Tatizo la Vidonda Vya Tumbo au Uchunguzi wa Tumbo

    Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar. Nasikia kuna kipimo unaingizwa mrija ambayo unakuwa na kamera na kufanya uchunguzi wa Tumbo hasa kunapokuwa na...
  3. H

    Tecno N7 vs Samsung Galaxy S's ipi bora?

    Tecno wako poa sana, nimetumia galaxy s nikiwa na techno n5; kwa kweli samsung wanazidi kwenye camera, lakini tecno wanazidi kwenye uwezo wa batry japokuwa zote zinatumia os android. Kwa kweli samsung galaxy s inaboa sana kwenye charge.
  4. H

    Magufuli: Wanaogoma wapaki Malori yao Nyumbani na wasiyaweke barabarani

    Nampongeza Magufuli kwa kauli hii, watza tunapenda super profit na hatuendeshi biashara kitaaluma; walipaswa kutafuta njia mpadala ya kupunguza operation cost, kusafirisha mzigo kuna midle mans zaidi ya watatu, kukata tiketi ya basi ndio usiseme yaani basi la kwenda morogoro kwa nauli ya sh 5000...
  5. H

    Leonardo Da-Vinci

    Hata nami nimebahatika kusoma kitabu cha Da-Vinci Code na mwisho ana-conclude kwa tahadhari kwamba kila mtu anuhuru wa kufikiri au kuchambua zaidi katika jambo lolote; uchambuzi wake umebase kwenye mambo ya kufikirika zaidi.
  6. H

    Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

    Rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali na elimu yake ni Degree ya pili (masters). Kipato chake ni kama mil. 1.5 kwa mwezi. Wanaishi maisha ya kawaida ya mtanzania mwenye kipato cha kati, kwani wana gari 1 aina ya Verossa kwa ajili ya usafiri na wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hapa mjini Arusha...
  7. H

    Kibaba baba - Makomandoo

    Naomba mwenye nyimbo ya kibaba baba ya makomandoo aniwekee hapa, natanguliza shukrani.
  8. H

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    Mkuu MAKINYA kweli kabisa jeshi letu la polisi halina msaada sana kwa wananchi kwa sasa, unaweza kupata namba za ofisi za sumatra hapa http://www.sumatra.or.tz/index.php/contact-us/list-of-addresses
  9. H

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    Nilifanikiwa kuwasilina na SUMATRA - MBEYA na wametoa ushirikiano wa hali ya juu, kwani waliwasiliana na Manager wa HOOD - Mbeya naye alichukua uamuzi wa kunitafuta ambapo kwa sasa nilisharudi Dodoma, alitaka kufahamu kilichojiri na baadae aliniomba msamaha na kuwa tayari kunirejeshea gharama...
  10. H

    Mwanamke wa makelele mi sioi

    Hapo kwenye red, Una tatizo wewe.......!
  11. H

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    Nasikitika kwamba mpaka siku naondoka Mbeya, tarehe 09.08.13 polisi hawajafanikiwa kuwasiliana nami kama walivyahidi; siku moja kabla ya kuondoka nilikwenda kituoni na kuuliza juu ya kinachoendelea na askari aliyepo hapo alinitaka kuwasiliana na OSS, niliwasilina nae na kunieleza kwamba nimpe...
  12. H

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    Nakushukuru Mkoroshokigoli, nitatuma email hood; bali nashindwa kuelewa kwanini kwa muda mrefu tunashindwa kupata kampuni la usafirishaji lenye huduma za uhakika na endelevu; kwani makampuni mengi hutoa huduma nzuri kwa muda mfupi haswa mabasi yanapokuwa mapya.
  13. H

    Huduma ya usafiri - unyanyasaji wa abiria

    YAH: UNYANYASAJI WA ABIRIA Nimekuwa nikisafiri na mabasi yaendao mikoani na mara kwa mara nimekuwa nikishuhudia unyanyasaji wa abiria kwa namna moja au nyingine kutoka kwa wahudumu wa mabasi hayo, pamoja na lugha chafu; kwa sasa kumekuwa na tabia kwamba makondakta ndiyo wenye mamlaka juu ya...
  14. H

    Anahitajika - electrical and mechanical technician

    Anahitajika electrical na mechanical techinician; nafasi ya upendeleo kwa waliosoma DIT. Wasiliana nami: 0714460528
  15. H

    Mafuta ya ubuyu hatari kwa afya

    OBAMA kaona fursa.......!!!, sasa ubuyu utaanza kupelekwa USA halafu yataletwa mafuta TZ.....!!!? Aliyetuloga.....alishakufa....!!!?, wanasayansi au wataalamu wetu huona madhara katika bidhaa za ndani tu...? Hakuna kitu kisichokuwa na madhara....., bali katika kuleta maendeleo, wataalamu...
  16. H

    Wakubwa nipeni deal, la sivyo nakimbia jiji

    Hilo sio tatizo lako, bali unahitaji kujenga tabia ya ujasiriamali (entrepreneur mind).
  17. H

    Wakubwa nipeni deal, la sivyo nakimbia jiji

    Watanzania wanavyokosa haki zao kwa kutokujua sheria na wewe unasema ni mwanasheria, umeweza vipi kutumia taaluma yako katika kuwasaidia watanzania. Tatizo wengi hutanguliza maslahi yao kwanza, ndio maana unazunguka au unakaa bila kazi. Huwa nashindwa kuelewa mtu anaposema hana kazi ndani ya...
  18. H

    Tabia ya Mume inanitesa

    Kero za muda mrefu ndani ya ndoa, ambazo zimekosa suluhisho husababisha hili; kuna wanawake huwa hawajali na kujihesabia haki, hivyo hata mume anaposhauri au kueleza jambo kama ni kero huwa hawajali; mwisho wake wanaume wengi sio wepesi wa kuongea mara kwa mara na badala yake anabaki kuishi...
  19. H

    Utalii wa ndani - kuhusu Mwanza....?

    Nashukuru bali hii website nafkiri imepitwa na wakati sana, hebu angalia place to go - places to go
  20. H

    Ninaachana na A-Level naenda D.I.T kusoma Diploma in Mining Engineering, Inalipa?

    USIJARIBU IKIWA UNA MALENGO YA KUENDELEA NA MASOMO (KUPATA DEGREE) Binafsi nilichukua uamuzi kama unaotaka wewe kuchukua mwaka 1999, japokuwa sikupata marks nzuri za kunifanya kupata nafasi ya kidato cha 5 kwa shule za serikali (wakati huo) mzazi wangu alikuwa tayari kunipeleka private school...
Back
Top Bottom