Search results

  1. K

    Mbowe na wewe ni TISS au?

    Mkuu, Mbowe yuko Tiss tena mkongwe kabisa
  2. K

    Nguvu na Kelele zote za Watanzania Roma Umeshindwa kusema Ukweli?

    Therefore unakubali alichoongea ilikuwa uongo mtupu.
  3. K

    Tetesi: RAS Singida atoa notice ya kuwafukuza kazi watumishi zaidi ya 20 kwa kufoji vyeti

    Kwahiyo "Lemutuz" nae wa kuupuzwa na kutoaminiwa?
  4. K

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Ndiyo unaamini hivo? Kwamba kuhoji ukweli wa trend ya Makonda kitaaluma ni kupingana Serikali?
  5. K

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Inachekesha.tid amekiri mwenyewe anatumia mbona hawajampeleka kortini badala yake kafanywa balozi
  6. K

    Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

    Au shida ilikuwa kabila yake?
  7. K

    Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

    TE="FaizaFoxy, post: 18895771, member: 43551"]Maneno mazito sana hayo. Hata wewe umekubali?
  8. K

    Mwigulu Nchemba, kiranja wa Mawaziri wanaomuogopa Magufuli

    Upi huo mkuu kwenye barabara
  9. K

    Je, waislamu walikosea kumtuhumu Ndalichako?

    Yuko sahihi mkuu Mahanju..elimu ilikuwa inachezewa sana wacha wabane
  10. K

    Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

    Mkuuu ile barua yake ya kujiudhuru unayo? Tuwekeee kwa rahisi ya rejea tafadhali
  11. K

    Mkuu wa wilaya Geita Mjini kufikishwa Mahakamani. Ni baada ya kuwadhalilisha wanawake wa Geita

    Umeona ushahidi wowote toka kwa mtoa thread kama kweli yalisemwa haya? What if ni tango pori?
  12. K

    Immigration imeishiwa Vitabu vya Passport, hata ukihonga Laki 5 hupati kitu!!!

    Ni kweli wakuu,, jamaa wanasema hawana vitabu, nimelipia tangu May 2016 risiti ninayo mpaka itachakaaa hakuna passport,*****!!
  13. K

    Yutong/zongtong/Higer and scania buses

    Hiyo Ratco kimeo sana bora hata Tash ana mabasi mazuri, luxury ya tash tsh 15000/= seat leather tupu, ratco 18000 lkn uchuro mtupu mfano basi yake T.561 CAZ, wizi mtupu
  14. K

    Yutong/zongtong/Higer and scania buses

    mkuuu iliyoua pale ilikuwa ni Shabiby, na alikuwa anafuata moto wa kiswele enzi zile ndo yakamkuta yale!!!
  15. K

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    kiukweli wamefanikiwa sana,,mpaka kulitoa jeshi la wananchi eti kufanya usafi mitaani,,lets see sasa kama hiyo kesho kweli wataendelea na usafi
Back
Top Bottom