Search results

  1. Da vinci jr

    Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

    How does a tweet from a Kenyan blogger become of any importance here? The only thing I'm picking up here is that this is a Raila Vs Uhuru issue
  2. Da vinci jr

    Mkutano wa AU: Ni kwanini Magufuli hajaruhusu Mkalimani aongee?

    Hivi kweli huoni kuwa hiyo video iko trimmed kuondoa sehemu za translation?
  3. Da vinci jr

    Vodacom kukubali kutoa ushahidi dhidi ya Lema ni dharau kubwa kwa watanzania

    Unadhani mitandao mingine haitoagi?
  4. Da vinci jr

    Vodacom kukubali kutoa ushahidi dhidi ya Lema ni dharau kubwa kwa watanzania

    Mitandao ya simu haija anza leo kutoa taarifa za wateja wao pindi vyombo vya usalama vinapo wataka wafanye hivyo. Si voda tu, hata tigo na airtel watatoa tu..
  5. Da vinci jr

    Kama mambo ya udukuzi yamefanyika Marekani! je,kwa Tanzania ilishindikanika kweli?

    Watadukua nini? Sisi bado hata hatu tumii computer kiasi cha kusema mtu ata dukua.. Bongo bado makaratasi mengi. Labda wadukue wino
  6. Da vinci jr

    Revealed: Government development projects are underfunded

    With this situation ukimwaga miela mingi ya maendeleo tutaibonya tu.. Magu sio mjinga
  7. Da vinci jr

    Lema na ndoto hizi dhidi ya Rais, sheria ifanye kazi, tumemchoka

    Embu tabiri na wewe basi tuone..
  8. Da vinci jr

    Mzee Mbeki na mzee Mkapa walipo mchana live Kagame

    Hahahahahahaha. Umetisha sana
  9. Da vinci jr

    Tuzo ya Forbes ni Uongo, wapotoshaji wakamatwe na kufikishwa mahakamani

    Hata huja fanya utafiti wa vigezo vilivyo tumika unakuja kulia lia huku. Hakikisha unakielewa kitu vizuri kabla hujalalamika..
  10. Da vinci jr

    Kuhusu Ndege na Reli, Magufuli ungeenda Ethiopia badala ya Rwanda

    Sio kwamba serikali haijui kuhusu ndege na reli. Kwenda Rwanda ni strategy tu ya kupata support kubwa kwenye EAC. Ondoa hilo jina maana haulitendei haki. Tyrion angeligundua hili mapema sana..
  11. Da vinci jr

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Majariwa ndo nani tena??
  12. Da vinci jr

    Nimehudhuria mkutano wa ukanda kuhusu mkataba wa EPA, Tanzania tumeonesha njia

    Pale tume fanya maamuzi kama wana Africa mashariki. Hata kama TZ ilisha jiridhisha kuhusu Epa. Ni lazima turudi nyuma tujiridhishe pamoja kama wana EAC.
  13. Da vinci jr

    Mh Rais, achia pesa tunakufa njaa mitaani huku

    Umefanya kazi ukakosa hela???
  14. Da vinci jr

    Je, ni halali Kiongozi mwenye dhamana kubwa ndani ya Bunge na nchi kuvaa nguo kama hii?

    Amevaa kulingana na tukio. Si nyie kwenye swimming pool mnavaa jinsi. Gym mnavaa kadeti na mpirani mnavaa kanga..
  15. Da vinci jr

    Magufuli: Kuna mtu tumemkamata anataka kubadili 1.7Billion na kukimbia nchi

    Jibu swali au pita hivi. Kuna ugumu gani hapo??
  16. Da vinci jr

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Kwahiyo kumuita raisi "Bwege" ni kumpa ushauri??? Jamaa inafaa afinywe tu. Ukimtukana raisi ni sawa na umetukana watanzania wote waliomchagua.
  17. Da vinci jr

    Anne Kilango kupangiwa kazi nzuri zaidi ya ukuu wa mkoa

    Nice move. Hiyo ni sawa na kumfukuza nchini.
  18. Da vinci jr

    Yupo wapi Makongoro Nyerere kada wa CCM?

    Ina maana mpaka leo huja Gundua kuwa Nyerere wote wana good sense of humor. Hapo nyie mlio zoea mtukio ndo mta tafsiri vingine. Ila me I see typical nyerere in those words.
  19. Da vinci jr

    Uchambuzi: Rais Magufuli hakuwa sahihi kuvaa nguo za kijeshi, vinginevyo.....

    Ulipo sema C in Chief kuvaa gwanda ni sawa na Diamond kuvaa gwanda nimekuona tigo sana.. hahahaha kweli Elimu Elimu Elimu
Back
Top Bottom