Search results

  1. Muhubiri

    Morning topic

    Hata bila kuchubuka unapata UKIMWI,
  2. Muhubiri

    Msaada: Mtoto wangu ana doa usoni chini ya jicho

    Hapo kwanza umetumia dawa ya aina moja tu! Pili, hilo doa naona halina madhara, ila badala ya kutumia madawa nakushauri umpeleke kwa daktari wa ngozi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Muhubiri

    Mdogo wangu alitoa laki tano kumuona prophet Frank Wa shiloh international ministry ili apokee miujiza

    Ukiwa mjinga lazima upigwe, ujinga ni garama! Hawataki kusoma biblia, hawamtaki Mungu ila wanataka baraka yake, nasema wapigwe hadi akili iwakae vizuri
  4. Muhubiri

    Nifanyeje maji yatoke sikioni?

    Ametoa maelekezo ya wapi anaweza kupata msaada, na sio Tangazo, na msaada aliomwelekeza ni wa kitaalamu, naheshimu mawazo ya wengine kwa kua yametokana na uzoefu wao, ila ni kubahatisha na unaweza usijue kuna uharibifu gani unaweza tokea kutokana na usalama mdogo wa njia husika ktk kutatua...
  5. Muhubiri

    Dawa ya UTI sugu kwa anayejua

    Kapimeni wote UTI ili ikithibitika mtumie dawa wote, unaweza kuta ni fungus, ndio maana ukipima huoni kitu! Mkipima wote hata km ni fungus mbaweza ambiwa mkienda sehemu ya uhakika! Pia: 1.Kunywa dawa bila kupima ni hatari, unaweza kupata usugu wa dawa. 2.Unaweza pata tiba isiyosahihi ukapata...
  6. Muhubiri

    Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

    Kwa kawaida ndoa hufungwa kanisani kwa kijana wa kiume, ila katika hili km wasipokubalina ktk hili ni dalili sio tu wao watapata shida ila watawachanganya hata watoto wao, ikiwa MUNGU atawabarikia na uzao
  7. Muhubiri

    I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    Huu ni unyanyapaa, ungekuwa na maambukizi, usingependa kusikia ulichokiandika, why kuishi kwa tumaini kuna kuja pia kwa kutiwa moyo wa kusonga mbele, mara nyingine tunahitaji watu wa kutuambia ili ari na tumaini liinuke zaidi.
  8. Muhubiri

    I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    Pole sana! Kwa sasa nikutie moyo tu,you have HIV not AIDS, kwa hiyo cha msingi 1. Jitahidi kutumia dawa km ipasavyo bila kukosa 2.Be POSITIVE about LIFE and people, kuwa na HIV sio mwisho wa ndoto zako au maisha, kuna watu walizaliwa na maambukizi, nimewaona wakiwa watoto na sasa hivi ni watu...
  9. Muhubiri

    Hali ya Dar es Salaam kwa sasa

    Wakishirikiana tutaenda kwa kasi zaidi, vyama na uchama ukae pembeni, maslahi ya wananchi kwanza
  10. Muhubiri

    Hali ya Dar es Salaam kwa sasa

    Habari wakuu! Naomba awali ya yote nitamke ya kuwa sina maslahi binafsi na sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote. Binafsi, nachukua hatua hii kuupongeza uongozi wa mkoa wa Dar, kwa jinsi mabadiliko na maendeleo yanayoonekana. Mathalani: 1.Huku kwetu TABATA tatizo la maji linaanza kuwa ni...
  11. Muhubiri

    Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

    Niliwahi kufanya kazi mahali pamoja, walikuja kutest, dada alikuwa positive, dada negative, kaka akasema anaendelea na wakafunga ndoa, na nikaalikwa wanaishi maisha ya furaha na wanawatoto
  12. Muhubiri

    Mfanyakazi (msaidizi wa nyumbani) ana busara kuliko mke wangu

    Shida ipo kwako na sio mkewe, Mume ni kichwa cha nyumba, ni kiongozi, umemwacha mkeo aongoze familia hapo shida lazima itokee. Ukijitambua nafasi yako na ukakaa ktk nafasi yako hata huyo mke atatulia. Ni hatari sana gari ikiendeshwa na UTINGO badara ya DEREVA, hiyo safari itakuwa km ndoa yako.
  13. Muhubiri

    Morogoro: Watu wasiojulikana wavamia ofisi ya CHADEMA na kuondoka na msaidizi wa ofisi, haijulikani alikopelekwa

    Shame on you! Unaushahidi wa hili unaloliongea, au unaongea ongea tu kwa sababu unamdomo! Ulichokiandika hakina ushahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Muhubiri

    Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Kwa idadi ya yale matundu sio silaha ya kawaida, hii huhitaji akili nyingi na utaalamu mkubwa kutambua ile ni silaha ya kivita ndio ilitumika Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Muhubiri

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Hili lilitokea kwa Mh.Tundu Antipas Lissu, limefanya tuyajue mengi, kujitoa kwake kwa watu wengi tena bila kutaka kulipwa fedha! Hakika Mungu aliyeyaokoa maisha yake, aendelee kumpa uzima! He is a HERO Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Muhubiri

    Nyama za pua

    Ni sawa kabisa, sio wote hirudia, na hapo kuepuka hizo perfume ni kwa ajili ya kumuepusha na allergy Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Muhubiri

    Nyama za pua

    Huyu sio nyama za pua huyu ni allergy, cha msingi epuka hiyo/hizo perfume utakuwa umemsaidia kwa sababu hakuna tiba duniani ya kumaliza tatizo la allergy Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Muhubiri

    Nyama za pua

    Kuna kiwango kikifika huwezi kuepuka, huwa zinaweza kurudi lakini ni kwa wagonjwa wachache Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Muhubiri

    Nyama za pua

    Pole sana! Nakushauri nenda hospitali, Hiyo itakuwa ni "Adenoid Hypertrophy" .Hospital km Muhimbili, Regency, Agakhan, Mikocheni na Tumaink zina madakatari waliona uwezo wa kumfanyia operesheni kwa uhakika km upo Dar, kama upo mwanza ni Bugando tu, Kilimanjaro ni KCMC. Hizi ni baadhi ya...
  20. Muhubiri

    Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

    MWIMBAJI wa nyimbo za INJILI na SIO MSANII wa nyimbo za injili Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom