Search results

  1. F

    Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Bongo yoso mjomba,Binafsi nipo tayar kupita mbele uletwe ule mtihan niliojibu mm tusahihishe kw majibu yao tuone km hiyo 33 waliitoa wapi,actually nimeona vijana weng mtaani hawajaridhishwa na outcome hii ila hakuna cha kufanya kw Tz hii.
  2. F

    Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Yani ni zaidi ya ushenzi aseee! Ila mama kazengua sana kuwarudishia awa jamaa jukumu la kuajili,Ni mwendo wa vimemo tu sa hv!
  3. F

    Je, ni kweli TRA wameshaita watu kwenye ORAL INTERVIEW?

    Siamini km aya matokeo yana uhalisia,ule mtihan maswali 3 nayajua nje ndani achana na ile multiple choice yao sikosi ata majibu 2 ya kweli kati ya 8...Matokeo sasa yanakuja nina 33 [emoji3][emoji3][emoji3]
  4. F

    Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

    Nakazia kuleni matikiti na mihogo mibichi ninyi.
  5. F

    RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

    Ila huyu jamaa anapiga kazi buana, kinachonifariji ni jinsi anavyohamisha machinga bila virungu wala fujo.
  6. F

    Mashindano ya Drafti kitaifa

    Kuna jamaa wanamuita OWEN yani draft limemfanya akawa chizi hivi tunavoongea kawa chizi kabisa yani anaokota makopo,naskia madaktari walimshauri hasicheze tena ila wapi,Huyu jamaa analijua ili dude sio mchezo,Na uchizi alionao ila hawamfungi...Namuonaga mitaa ya Extenal kule
  7. F

    Mashindano ya Drafti kitaifa

    Mzee Manyanya sehem gani,napendaga sana huu mchezo niwe mtazamaji lakini
  8. F

    Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

    Kijana acha ujinga narudia acha ujinga nasisitiza acha ujinga,Piga chini huyo manzi full stop.
  9. F

    Kampuni binafsi zinaporomoka kwa kasi

    Nimeckeka kifara sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. F

    Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

    Kunywa Soda baridi mzee upunguze Dick measurement contest Msalimie uhuru Kenyatta mwanbie aache kupambana na Ruto live live.
  11. F

    Ajira Kuwait

    Wasipokuelewa hapa,achana nao
  12. F

    UDSM hii mmewakatisha na kupunguza ari ya kufanya kazi kwa hao vijana wenu

    "Mdogo wako" atakuwa ni wewe mwenyewe ila sielewi kwanini hutaki kuwa wazi. Anyway mwambie "mdogo wako" hasiogope maisha kupanga ni kuchagua,akiona pesa ni ndogo aache kazi afanye kitu kingine. "Mdogo wako" lazma atambue kitu kinaitwa kirithika,akiamua akubali kuanza kidogo kidogo mpk...
  13. F

    Ajira Kuwait

    Nawaonya HUSITHUBUTU,narudia HUSITHUBUTU,nasisitiza HUSITHUBUTU,nakazia HUSITHUBUTU kwenda huko bila kuunganishwa na mtu unayemjua wewe mwenyewe Jpili njema ila msisahu ilo neno lenya herufi kubwa.
  14. F

    Foleni kubwa Morogoro road

    Faida ya kutokuwa na gari...
  15. F

    Maamuzi magumu

    Hukuwa na haja ya kuja huku kuanzisha nyuzi mbalimbali ili upate ndagu,wee tembea tu utawapata au ndo ile unataka relief ya moyo Inaonekana unaleta ujeuri na umejaa kiburi,Mungu akukazie kamba tena zaid ya hivi unavopitia ili ushike adabu ipasavyo.Na waganga utakao wapata wakupige pesa tu na...
  16. F

    Maamuzi magumu

    Unajiona unashida na unahisi umesahaulika sio? Bado hujaishi wewe,ayo mambo ya kufukuzwa,kukosa kazi,kushinda njaa ni rasharasha tu,tupo wengi tunaopitia makuu kuliko wewe...Ukiona HUWEZI kabisa,jiue mwenyewe kuliko kuuwa wengine wasio na hatia ili ww uishi vizuri... Nikwambie tu nimeshafukuzwa...
Back
Top Bottom