Search results

  1. Head teacher

    Vifurushi vya Makampuni ya Simu ni Wizi Mtupu

    Tusaidiane Wakuu, Unajiunga kifurushi cha 24hours unampigia mtu unaongea naye dakika 2. Baada ya hapo unatingwa na kazi za mchana, unarudi jioni nyumbani umechoka unakula chakula cha jioni, unaangalia taarifa ya habari ITV unaenda kulala, unaamka asubuhi unataka kumpigia boss umtaarifu daladala...
  2. Head teacher

    Nahitaji gari Rav4 old model, bajeti 5m

    Mwenye nayo anipm tufanye deal
  3. Head teacher

    Lowassa ni mgombea bora wa urais

    Huu mchakato wa katiba umetusaidia watanzania wengi nikiwemo mimi kuwafahamu kwa undani wagombea urais watarajiwa km: Wassira, Migiro, Lukuvi, Membe, Sita, Mwigulu, Lowasa, Makamba, nk.... Jambo nililogundua kuna watu kati ya hawa hawana uvumilivu, wanakereketwa wakati wote, wapo too reactive...
  4. Head teacher

    TV za Kenya ni za Kizalendo

    Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live...
  5. Head teacher

    Nani Zaid? Mpina, Lisu, Lema...!

    Ukiniuliza nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015 nitasema ama Mpina, au Lisu,au Lema. Nawatazama viongozi hawa vijana kama alama ya mabadiliko kwa ustawi wa taifa letu. Viongozi hawa wapo wazi na wala hawana chembe ya unafiki. Ujasiri wao ndani na nje yabunge naweza kuiita ni asilia...
  6. Head teacher

    Ushirikiano wa CHADEMA na CUF...

    Naupongeza ushirikiano wa CUF na CDM bungeni katika kuupinga mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya 2013. Endapo ushirikiano huu utadumu Tanzania itapata katiba mpya nzuri, si kama CCM wanavyotaka kutuburuza. Si kitambo kirefu tutashuhudia mamlaka kamili ya Zanzibar na Tanganyika huru.
  7. Head teacher

    Msifanye Makosa Kujaribu Nguvu Yetu- Netenyahu

    Waziri mkuu wa Israel amewaonya washirika wa Syria kwamba wasifanye makosa kujaribu nguvu za jeshi la ulinzi la Israel. Netenyahu ametoa onyo hilo kufuatia vitisho vya Iran na Hizbollah kushambulia Israeli iwapo Marekani itaiadhibu Serikali ya Syria kwa matumizi ya Makombora ya Sumu dhidi ya...
  8. Head teacher

    Milioni 6 dhidi ya milioni 40+..Tutapata Katiba Mpya Kweli...?!

    Baada ya kupitishwa na Bunge la Katiba (ambalo limejaa CCM) rasimu ya katiba itapelekwa kwa wananchi ili waipigie kura ya KUIKUBALI au KUIKATAA. Natumaini kwa wingi wa WATANZANIA (milioni 40+) dhidi ya CCM (milioni 6), ni wazi WATANZANIA wataikataa RASIMU ambayo itakuwa imechakachuliwa sana na...
  9. Head teacher

    Fikiria nje ya Box kuhusu Ugaidi wa Zanzibar na Tanganyika

    Mtakumbuka wakati Uamsho wanadai dola huru ya Zanzibar, kulitokea matukio mengi ya kuchoma moto makanisa,kujeruhi watumishi wa Mungu, na mauaji ya padre mmoja. Hivi karibuni Shehe Ponda alipowapa elimu ya uraia wazanzibari CCM Zanzibar wakamwita mchochezi na haujaisha mwezi tumeshuhudia ugaidi...
  10. Head teacher

    Wassira na Mwigulu, Mwaka Mmoja umepita..

    Kwako Wassira na Mwigulu. Tunawakumbusha kuwa mwaka mmoja mlioahidi kuiangamiza chadema umepita. Sisi wana CCM tuliwaamini ndo maana tukawachagua mtumikie katika uongozi wa juu wa Chama. Tunaomba mtoe ripoti ya kushindwa kwa mikakati yenu ya kuingamiza chadema kwa kutumia udini, ukabila, ugaidi...
  11. Head teacher

    Naomba Ushauri:Namna ya Kuhamisha Kesi

    Kuna ndugu yangu anasota mahabusu, tulishindwa kumwekea dhamana Mahakama ya mwanzo baada ya hakimu kuweka masharti magumu ya dhamana. Tuna mashaka na mwenendo wa kesi ya ndugu yetu katika mahakama hii, polisi wanakandamiza dhamana isitolewe kirahisi. Hivyo basi tuna mpango wa kuhamisha kesi...
  12. Head teacher

    CRDB wameniibia Zaidi ya Tsh 200,000

    Tarehe 23/07/2013 niliamisha sh 300,000 kutoka M-Pesa kwenda Akaunti yangu ya CRDB. M-pesa, katika muda huowa kuhamisha, walinithibitishia kuwa hela yangu imeenda CRDB katika akaunti yangu.Cha kustaajabisha, mpaka hivi leo tarehe 28/07/2013 ni Shilingi laki moja (100,000) tu imeingia , na...
  13. Head teacher

    Tuanzishe Chama Cha TANU

    Wakuu nina wazo la kuanzisha chama cha TANU ambacho kinatambulika katika katiba ya Tanganyika. Tunahitaji wanachama kila mkoa ili chama chetu kisajiliwe na Tendwa. TANU kitatumika sambamba na katiba ya Tanganyika katika kupata rais wa Tanganyika. Kumbukeni KATIBA ya Tanganyika ni ya chama...
  14. Head teacher

    Tume ya Uchaguzi Tangazeni Tarehe ya Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika

    Kwa kuwa katiba ya Tanganyika ipo Tunaomba Tume ya Uchaguzi itangaze tarehe ya Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika kupitia chama cha TANU ili kwa kutumtumia rais huyo tufanye mabadiliko ya katiba ya Tanganyika iendane na katiba ya Tanzania. Rais huyo adumu kwenye urais kwa kipindi cha miaka miwili tu...
  15. Head teacher

    Tunataka Serikali Mbili-Wazanzibar

    Kwa mshangao mkubwa leo nimeshuhudia katika taarifa ya habari channel 10 eti Wazanzibar wanapendekeza serikali mbili ziendelee. Nadhani walikuwa wanawapima Watanganyika wakidhani sisi tunahusudu Muungano wa mauzauza na Zanzibar. Itakuwa wameona kuna hasara nyingi kuliko faida kwa wao kujitia...
  16. Head teacher

    Hivi Tunaandika Katiba ya Tanzania au Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015...!

    Mimi sielewi na nimechanganyikiwa. ....Moja ya hadidu rejea walizopewa Tume ni Kuhusu Muundo wa Muungano. Watanzania wengi wametoa maoni ya serikali tatu. Sasa CCM ni nani hata wawapangie wajumbe wa mabaraza ya katiba wapendekeze serikali mbili, eti kwa sababu katiba ya CCM inataka mbili.Huu ni...
  17. Head teacher

    Nitagombea Urais 2015 Kupitia CUF

    Wanajamvi nimeona nitangaze nia yangu mapema ya kugombea urais 2015 kupitia CUF.Nitamwomba Mh.Prof. I.H.Lipumba aniunge mkono. Nina dhamira ya kweli na nia ya kuwatumikia watanzania kupitia chama changu cha CUF. Naomba mniunge mkono...!
  18. Head teacher

    Kwa nini Tusiwe na Serikali Moja.....!

    Siku moja nilikuwa nafundisha kuhusu Muungano wetu katika shule moja ya sekondari. Niliwafafanulia jinsi Nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara zilivyoungana na kuunda nchi moja "Tanzania" yenye serikali mbili. Serikali ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania. Mwanafunzi Mmoja akaniuliza kwanini...
  19. Head teacher

    Udini wa CUF ni Homework kwa Tendwa,Polisi,Serikali,Bunge.. .

    Ukimya wa vyombo nilivyovitaja hapo juu kuhusu uchochezi wa kidini uliofanya waziwazi na Mwenyekiti na Mgombea mzoefu wa urais wa CUF na baadae kiongozi mwingine mwandamizi wa CUF, ni homework ngumu kuifanya ikizingatiwa CUF ni mshirika wa CCM katika Serikali na wakati wa kampeni za urais. Mimi...
  20. Head teacher

    ...Haya...Turudi Kuwasaka Walipuaji wa Mabomu Arusha

    Jitihada za kuwasaka magaidi waliolipua mabomu kanisani na kwenye mkutano wa chadema ilifunikwa kwa muda na ugeni wa Obama hapa nchini. Tunashukuru Mungu amekuja salama na kuondoka salama. Sasa baada ya ugeni mzito ni muda muafaka wa kuanika kikundi cha kigaidi kinacholipua mabomu Tanzania kwa...
Back
Top Bottom