Search results

  1. Wilson Joseph

    Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    The stoning of Soraya
  2. Wilson Joseph

    Kipi bora kati ya uishi na mtu usiyempenda lakini unapata kila kitu, au unayempenda lakini hawezi kupa huduma zote?

    Ni hulka ya binadamu kukinai,Hata umpe vitu gani kuna siku ata kinai na atatafuta anakopenda huku akiwa ndani kwako ,Hakuna binadamu anaweza usaliti moyo wake
  3. Wilson Joseph

    Kwanini umpe mwanamke hela?

    Ukweli pesa kwa girl friend ni njia ya kurahisisha kupata ngono huku mwanamke akiamini anapendwa ,Pesa ingekua solution mahusiano mengi ya wenye hizo pesa yasinge vurugika, Pesa ya mwanaume ni halal kwa mke na watoto na hapo ndipo tunatakiwa kuwajibika kwa MACHOZI NA DAMU
  4. Wilson Joseph

    Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

    Hakuna ubaya unaishia kwa wema ,Hakuna mafanikio bila akili na bidii
  5. Wilson Joseph

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Unaweza kua sawa kwa mawazo yako ila KWANGU MUNGU YUPO ANAISHI,NAMTUMIKIA NAMUISHI NAAMINI ATARUDI KWA MARA YA PILI KUWAHUKUMU WALIO WAZIMA NA WAFU ,NAAMINI JEHANAMU IPO KWA WAKOSAJI NAAMINI IPO MBINGU KWA WALIO JIKANA NA KUACHA DHAMBI, NAAMINI KATIKA MSALABA. NAMNGOJA KWA SABURI KUU
  6. Wilson Joseph

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Tatizo lako lilianzia hapa, Nna uhakika hata mama na baba yako hawakuishi pamoja hivyo bado una hasira na kukosa malezi pande mbili na umeona Mungu ndio wa kulaumiwa kwa hayo umepitia
  7. Wilson Joseph

    Tenzi za rohoni

    Tufani ijapovuma ,
  8. Wilson Joseph

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mama yangu enzi za uhai wake alipiga picha na dada na mdogo wangu kwa nyakati tofauti, Sikuwahi piga nae na dada yangu mkubwa pia hapiga nae ,Hadi leo hii Mama na wale ndugu alipiga nao picha wamefariki tupo hai mimi na dada mkubwa
  9. Wilson Joseph

    Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Mi sio mwana sheria, ila kwa mtazamo wako na ujuvi wako unafikiri Fei angeshinda hii kesi? Hata angekua katokea upande wa pili asinge shinda ,Hii ni Tz mkuu
  10. Wilson Joseph

    Ndoa VS Usioe grand finale!

    Ukiweza kuishi kwa mama na baba hadi uzee usioe,Babako na mamako wasizeeke au wasife usioe,
  11. Wilson Joseph

    Tuelezane mambo ambayo ulidhani ni muhimu katika umri fulani ila sasa unaona hayana maana

    Miasha ni dhana pana inachanganya mnoo, Hua nikiwa sina pesa najisemea nikipata pesa ntafanya vile au hivi,nikipata pesa nafanya vile moyo wangu unataka ila bado NAKOSA UKAMILIFU halisi wa furaha niiwazayo,Ila angalau katika Mungu naona kuna utulivu na amani flani hasa katika KUTOA KWA WENGINE
  12. Wilson Joseph

    Ushauri unahitajika kwa dada yetu

    Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba
  13. Wilson Joseph

    Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Kufahamu zinatoka lini, wapi bila connection pia ni changed sana Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  14. Wilson Joseph

    Ualimu umenipa mtaji,

    Hongera sana kwa uthubutu na ushuhuda mzuri ndugu Mwalimu, Tushirikishe sasa matumizi ya muda wako na usimamizi wa mradi wako Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  15. Wilson Joseph

    Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Mnaharibu biashara za wenzenu mjue na sio vizuri mkuu Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  16. Wilson Joseph

    Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Kuna namna pia nimeona muunganiko unagoma Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  17. Wilson Joseph

    Usawa: Naibu spika ni mkristo wa Bara, spika awe mwislamu wa Zanzibar

    Ili afanye nn Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
  18. Wilson Joseph

    Onyo wanaume walevi punguzeni pombe siku hizi watu wengi wanaingilia kinyume na mazingira

    Hapo ndipo ambapo hua najiuliza sana sisi wanaume akili zetu zikoje?? Tunaweza mlala kichaa,Vikongwe,watoto wadogo, Walemavuu kote huko hatutosheki tunaanza tafunana sisi kwa sisi[emoji1787][emoji17][emoji17][emoji17]
  19. Wilson Joseph

    (1) (a) Maisha tunayoishi ni matokeo ya mavuno tuliyoyapanda 78% na (b) BAHATI 22%

    HAKIKA SANAAA HAPO KWENYE MALIPO YA NATURAL ,BABA YANGU ALIFANYA MAMBO FULANI KWA WAKATI WAKE HAYAKUA MAZURI NILIOMBA SANA DUA NISIYAPITIE NA MUNGU ALINISAIDIA ILA NILITELEZA KIDOGO TU NIMEFANYA YALE BABA ALIFANYA MARA 6 YAKE[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Back
Top Bottom