Search results

  1. M

    Victor Bout na JWTZ, Meremeta na DRC, Mwanza na Mapanki: Connecting the dots!

    Inawezekana tunajipa mimani tunaijua nchi yetu kumbe hatujui chochote!
  2. M

    Kwa nini JWTZ wanaweweseka?

    Kwahiyo we ulitaka wakae kwakua bomu linaangalia huyu mwanajeshi halitamuua? That was a wise choice to run and save your life,kukimbia sio woga pia ni silaha na inasaidia sana kama unajua kuitumia vizuri. Weldone makamanda kama we ungekua hata koplo ungesimama???
  3. M

    Sintofahamu baina ya JK na Kagame; Tanzania tuwe makini na suluhu tuitakayo!

    Haya yote yanakuja kwani inaonesha kuna mahali tumejikwaa, kutojipanga vizuri kiuchumi sasa tunadharaulika. Sisi ndo nchi kubwa katika Afrika Mashariki. Kwanini tunyanyasike hivi?
  4. M

    Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    Katika vyoote nilivyosoma hapa nimesikitishwa na hiyo mbinu ya usalama wa taifa kujifanya sijui uhamiaji ili kupata data za wazazi wake kama damu na nywele ili kupima DNA! Sidhani kama usalama wetu wa taifa umekosa mbinu kiasi ukaombe "damu na nywele"... Ina maana hao ndugu wa Shehe Ponda...
  5. M

    Issue ya Kikwete, Kagame, Rwanda na Tanzania: Ushauri wangu

    Pia inawezekana kuwa hili nali limo.
  6. M

    Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Puppy ili tuweze kuongeza uelewa wetu inabidi tujifunze mambo makubwa kama hayo
  7. M

    Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Bora kuumia kwa kujua ukweli kuliko kujifariji kwa uongo.
  8. M

    Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Domhome is this to say that it was already planed? as you gave the evidence from Quran? What is the significant of that number "11"??? What is inside that number???
  9. M

    Kumjuwa na kumsoma mwanamke sura yake

    Nimependa maelezo yako japo sijajua umeyajenga katika msingi gani?
  10. M

    Kitendawili cha September 11(9/11,9-11,911)

    Leo ikiwa ni miaka zaidi ya kumi tangu litokee tukio lililoiacha dunia kwenye kitendawili kikubwa mpaka sasa cha kutokujua nini jibu lake baada ya majengo mawili World Trade Centers comlex "kugongwa" ne ndege kwenye jiji la New York, USA. Mpaka sasa mengi yamesemwa kuhusu chanzo cha matukio...
  11. M

    Spetsnaz

    Hawa walikua ni special force ya Russia,je bado wapo mpaka sasa au walikufa na jamuhuri ya kisovieti? Naomba msaada kwa anaefahamu kwa undani kuhusu hawa jamaa.
  12. M

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    Mhh,tatizo wengi wetu huku kijijini hatuyajui haya na hata tukiyajua hatuwezi kuyapembua kikubwa elimu inahitajika sana.
  13. M

    Biashara ya madawa ya kulevya.

    Lakini Wamunzengo kweli tukiendelea kukaa kimya jamii yetu tutakua tunaipeleka wapi?
  14. M

    Jambo la Muhimu

    Acha waje ili wapeleke habari kwa huyo Joyce.
  15. M

    Mrijuana and Illuminati - The Marijuana Conspiracy

    Duh,haya asante kwa darasa.
  16. M

    Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

    Naleo ndo hukumu imetolewa,Mahalu na Grace hawana hatia...Kweli kuna haja ya kuwa na sheria au tutumie hisia tu?
  17. M

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Hii sio mara ya kwanza kwa nchi ya Malawi kudai ziwa Nyasa ni mali yao. Inasemekana mara ya kwanza aliyekuwa nyuma ya mpango huo wakati huo nchi hiyo ikiwa chini ya rais wao Dr Hastings Kamuzu Banda walikua ni makaburu. Sasa inasemekana kuna mkono wa hawa "wajomba zetu" wanaosaidia kuchangia...
  18. M

    Biashara ya madawa ya kulevya.

    Kwa mtazamo wa kawaida, madawa ya kulevya ni kitu kinachopigwa vita sana. lakini kiuhalisia haiko hivyo. Kwani watu wanauza madawa haya peupe bila woga wala wasiwasi. Nani yuko nyuma ya biashara hii?ananguvu kiasi gani mpaka imekua halali kiasi hiki?Ukitembelea maeneo ya kawe ukwamani vijana...
  19. M

    Sensa na vitambulisho vya urai

    Nadhani ipo haja vyote kufanyika kama wachangiaji wengine walivyosema hapo juu. Tatizo nadhani ni mfumo unaotumika katika kufanikisha vyote viwili. Mfano vitambulisho vua utaifa ni adhabu kuamka saa 9 usiku kama kile kipindi cha maduka ya ushirika kuwahi foleni.
Back
Top Bottom