Search results

  1. Z

    NECTA acheni dharau, walipeni wasimamizi pesa zao za usimamizi wa mtihani

    Jamani mbona unapotosha umma, kazi ya NECTA ni kutunga mitihani, kusambaza, kusahihisha na kutoa matokeo, wanao lipa wasimamizi wa mitihani ni Mamlaka nyingine na sio NECTA. Get your facts kabla kuandika kitu.
  2. Z

    Hansard za Bunge: CHADEMA ilipinga kuanzishwa bodi ya mikopo

    Mianya ya ukwepaji kodi itakoma. Fedha inayotolewa kama Mkopo pia itatumika. Hivyo badala ya kukopeshwa, Serikali inalipa kila kitu wewe ni kusoma tu. Kama iliwezekana enzi nchi ikitegemea mazao ya kilimo tu, nini tatizo hivi sasa tukiwa na madini, gas na mafuta, vivutio vya utalii, bahari...
  3. Z

    Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki

    Mbona hujiulizi Dowans na symbion ni nani aliingia mkataba? Lowasa alishiriki? kama sivyo basi jua mwenye Richmond alibaki baada ya EL kujitoa UPM. Kamata mwizi man.
  4. Z

    CCM inahitaji muujiza kushinda uchaguzi

    Umati uliojitikeza ktk jiji la Mby ni ishara nyingine tosha kwa watani zetu CCM kukubali yaishe. Ni kukimbiwa na makada wake ni kielelezo tu cha kukubali matokeo. Mwaka 2015 si 1995 kwani ukawa wana mtandao ambao hauwezi kulinganishwa hata kidogo na enzi hizo. 2015 Vijana wameamka wana vichinjio...
  5. Z

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Ni mwaka wa shida kwa maccm.
  6. Z

    Serikali iingilie kati: Madudu katika Matokeo Kidato cha Sita 2014 yanatisha

    Zingatia yafuatayo kabla ya kujenga hoja yako ya kulaumu NECTA kuwa imepanga madaraja bila kuwa na weledi wa kutosha. Pointi za Mtihani wa ACSEE zimepangwa kama ifuatavyo:- Division 1 ni kuanzia 3-7, Division 2 kuanzia 8- 9, Division 3 kuanzia 10-13, Division 4 Mtahiniwa anatakiwa angalau awe...
  7. Z

    KIGWANGALLA apendekeza Rais Asitishe Bunge Maalum la Katiba ili Kukubaliana Kuhusu Muundo Muungano!

    Pamoja na kuwa mara nyingi sikubaliani na misimamo yako, kwa hili nimeona mantiki na busara yako. Ndg zako wanaccm wengi na viongozi wake wanalichukulia kiurahisi kuwa wametengeneza mtandao wa kutumia bunge maalum la katiba kubadili jambo la msingi kama la muundo wa serikali tatu. Wape ushauri...
  8. Z

    Ujenzi wa Bomba la Gesi Watanzania Tumeshaingizwa Mkenge kama kawaida yetu

    Ndg yangu kwani huo umeme ukizalishwa Mtwara na umeme ukaingizwa kwenye gridi ya taifa ni Dhambi? Na je kati ya mpango wa kusafirisha gesi hadi Dar na kisha kuzalisha umeme au kuzalisha umeme Mtwara bila kuingia gharama za kujenga bomba la kuisafirishia kwa akiri ya kawaida tu, mpango upi ni...
  9. Z

    Gazeti letu pendwa Mwanahalisi lingeweka hewani majina ya wenye fedha Uswisi

    Kwanza naanza kwa masikitiko kwani hadi sasa hajujapata kwa uhakika majina ya watu wenye fedha Uswisi. Hii inanikumbusha ushuja na ushupavu wa gazeti letu pendwa Mwanahalisi kabla halijahujumiwa na serikali, mambo haya ya mafisadi yangekuwa si kificho. Wananchi tushikamane kuondoa serikali...
  10. Z

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Takwimu ya idadi ya wanachama anayotumia Nape ina mapungufu makubwa kwani ktk idadi hiyo anayotaja kuna wanachama waliingizwa na wagombea wa kura za maoni ili kupata waungaji mkono wao (wagombea kulipia kadi watu) ambao kimsingi ni wanachama maslahi tu. Vile vile wanachama wengine si hai tena na...
  11. Z

    Mvuto wa CHADEMA kwa wananchi utaiangamiza CCM-Dk Bana

    Siku za CCM zinahesabika, ushahidi ni uozo ktk matumizi ya serikali na kushindwa kuchukua hatua. Fisadi hawezi kumchukulia fisadi mwenzake hatua. Heko CDM watanzania wengi wapo nyuma yako: Tumaini jipya.
Back
Top Bottom