Search results

  1. N

    Serikali inapowakatili raia wake kodi za kuingiza magari: Nini kifanyike?

    you should also take time and visit www.tra.go.tz and there is a calculator to show you how the above mentioned 80% has been reached.
  2. N

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    tuwaombee. lazima kukubali kuwa kuna wenzetu ndani ya chama (CCM) wamechoka!
  3. N

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sasa linatawala nchi

    N ionavyo mimi kitendo alichokifanya Katibu Mkuu Kiongozi Bwana Philemon Luhanjo ni dharau. Ni dharau kwa Waziri Mkuu; Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni; ambaye kwa uchungu mkubwa, akiwa na dhamira safi uamuzi wake ulikuwa kumtimua kazi Bw. Jairo hata kama alikuwa na nia...
  4. N

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Kama kwa mwaka mzima wa maandalizi ya bajeti alishindwa kufikia kiwango ndo wiki tatu? nadhani wizara iwekwe chini ya uangalizi maalum na serikali ijipange upya...
  5. N

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    But Wizara kutoa pesa za Kulobby haianzi na jairo peke yake. huo ni mchezo wa wizara lukuki. kila taasisi chini ya wizara lazima ichangie hako kabajeti... let alone kumchangia waziri mafuta akienda jimboni, utadhani anakwenda na treni akiendesha mwenyewe...... na katibu mkuu hafanyi peke yake...
  6. N

    msaada wa ku-download moviez

    you can also download and install torrent piratebay where you can download not only latest movies but also series...
  7. N

    Boss kwa kiswahili tumwiteje?

    Boss kwa kiswahili anaitwa Bwana Mkubwa au Bi Mkubwa....... au kwa kifupi kabisa Mkuu......
  8. N

    Chadema watoka nje hotuba ya Rais kulifungua Bunge....

    Wabunge wa CHADEMa kwa umoja wao wametoka nje ya bunge mara Rais alipoanza kulihutubia bunge. Walikuwa watulivu toka mwanzo, kuingia kwa Speaker na Rais, Sala ya kulifungua bunge na hata kumsikiliza Spika akisemea umuhimu wa Rais kama sehemu ya bunge, lakini Rais alipokaribishwa, within the very...
  9. N

    Elections 2010 Balile na Dr Slaa...

    Hivi yule mwingine yuleeeeeeee wa uchaguzi wa 2005 ambaye sasa ni mdomo wa jengo jeupe alitokea hapo hapo habari corporation au alitokea wapi? nadhani dogo naye pengine ndo strategy ya kutoka....
  10. N

    Elections 2010 Kikwete Alivyoanguka Jangwani

    Swaumu hapana. kwa kuwa naamini Daku analopata Rais si la mchezo. anaweza kukaa na njaa wiki moja. Sukari nayo ni out. Wataalamu wanasema hadi ifikie kukolapse ni muda mrefu sana na pia si rahisi kwa well taken care kama Rais. Wengine wanadhani ni Skadi la yahya alisahau sehemu kumbe kaweka...
  11. N

    Elections 2010 Kikwete Alivyoanguka Jangwani

    Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa kuwa kiungwana aliwaahidi watz kuwa watakuwa makini na afya ya Rais baada ya tukio la Mwanza na kwa...
  12. N

    Elections 2010 Balile na Dr Slaa...

    Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama Balile, ambaye ana kadigrii ka uzamili bado hana upeo wa kujua kuna maisha binafsi ya mtu, ambayo...
  13. N

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    jamani mwenye hii clip airushe.....
  14. N

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    na nadhani kisingizio kisiwe SWAUMU, we won't buy that.... naamini swaumu ya Rais ni tofauti na SWAUMU za siye wengine kwa kuwa DAKU laku ni zito kidogo..... and now I can seriously see the danger of having unpopular running mate...... God bless lakini tuendako ni giza...... Mungu atusaidie
  15. N

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Infact ni mara ya nne toka aanze rasmi mbio za urais. awali ilikuwa ni ile ya 2005, then zimewahi kutokea mbili hapa katika katika. Ni vema sasa tuambie Rais wetu anaumwa nini? Ansbert Ngurumo aliwahi kuandika: Rais wetu si dhaifu kama wananchi wake ambao wengi wanalalala au kushinda njaa...
  16. N

    Luteni Kikwete?

    its true mpaka anatoka katika active service alikuwa Luten Colonel. Kuhusu kutumia, don't you see the impression? nchi inaongozwa na mwanajeshi? you don't need kuwaambia wasiojua. otherwise, it would just be ok kutumia kama kina luteni makamba na wengineo wastaafu.....
  17. N

    Oil Link Filling Station: Short Version

    As you requested, this is the short version: I would like to draw your attention on Oil Link Filling Station, at the adjacent of Mwenge Road and Shekilango around Africa Sana opposite the Ambiance Club. I went there last Sunday for petrol. After the guy filled the car infront of me, it...
Back
Top Bottom