Search results

  1. NONGWA

    Fursa za Mji wa Kigoma

    Wadau naomba kujua ni fursa gani zipo za kibiashara kwa nyanja zote katika Mkoa wa Kigoma. Mimi natokea Dar na kwenda Kigoma kwa shughuri za kikazi tu wadau naomba kujua.
  2. NONGWA

    Msaada kwa mwenye uzoefu na interview za Tanroads

    Naomba msaada kujua ni aina gani ya maswali yanaulizwa kwenye interview za Tanroads hasa kwa nafasi za SHIFT INCHARGE. Asanteni
  3. NONGWA

    Biashara ya Magodolo QFL, TANFOAM na GSM

    Habari wana jamvi naomba msaada kwa walio na uzoefu katika biashara hii ya magodoro faida zake na biashara yake ikoje. Pia naomba kujua namna bora ya kuwa wakala katika makampuni hayo tajwa na vipi kuhusu mtaji wa kuanzia. Mi niko hapa DSM nataka kuanza hii biashara. Nitashukuru mkinipa mwanga...
  4. NONGWA

    kisheria baada ya ndoa mwanamke yampasa kutumia jina gani la mwanaume??

    Wanasheria nawadau wengine naomba kuelezwa vizuri baada ya kuowa ni miaka miwili sasa lakini tunavutana na mke wangu kutumia jina langu la ukoo anapenda kutumia jina langu la kwanza kuliko la pili. sasa naomba kueleweshwa mnapokuwa mume na mke kwa mfano naitwa JOHN NONGWA mke wangu anataka aitwe...
  5. NONGWA

    Richard Kasesela: Taifa limekumbwa na matatizo mazito ya ndoa

    Taifa letu kwa ujumla limekumbwa na matatizo mazito ya wanandoa ambapo yamesababisha vilio na manung'uniko ndani ya nyumba hususani kwa kina mama hivyo wazee wakanisa na mabaraza ya wazee shughulikieni masuala ya ndoa na iwe ndio shughuli yenu kubwa katika kulijenga Taifa letu kwa ujumla...
  6. NONGWA

    Napata wakati mgumu kwenda kufanya kazi shirika hili ambalo sijalisikia hata kwenye kutoa mgao kwa Rais leo

    Jamani leo nilikuwa nafwatilia utoaji wa mgao kwa haya mashirika yetu Tanzania hasa haya ya kibiashara kuna shirika moja nimeitwa kwa ajili ya interview lakini sijawasikia kutoa gawio hivo linanipa wasiwasi linaweza kuwa linajiendesha kwa hasara yaani hata milioni moja wameshindwa kumpelekea...
  7. NONGWA

    Msaada juu ya hii GPA

    GPA ya 2.5 kama tujuavyo ni PASS grade sasa je muhitimu wa chuo akipata grade hii anaweza kuendelea na masomo ya masters kama ndio ni chuo gani aombe. pia ina madhara gani katika maisha yake ya kutafuta ajila ushauri tafadhari.....
  8. NONGWA

    Toyota IST inauzwa bei 9.5m

    Wana JF, Leo naleta kwenu biashara, nina Toyota IST ya mwaka 2002 namba zake ni CBD inauzwa 9.5m imetembea km 86,670 tu tena hapa hapa Dar es salaam. Yaani kuja ofisini na kupaki nyumbani (Oysterbay to Posta). Karibuni kwa mahitaji ya kuiona piga namba 0753 201849 au 0716 135959
  9. NONGWA

    Kiwanja kinahitajika

    Habari wadau wa JF nahitaji kununua kiwanja kiwe na ukubwa wa kuanzia 25 x 25 hadi 40 x 40 maeneo ni kimara,mbezi hadi kibamba pia kikiwa maeneo ya goba au salasala kitafaa.mwenye taarifa kuhusu hilo ani PM.KWA SASA NIMECHOKA KUITWA BABA MWENYE GARI NATAKA KUITWA BABA MWENYE...
  10. NONGWA

    Vituko vya mlevi na mkewe

    Mlevi katuma meseji kwa mke wake; "Darling nipo bar napata mbili tatu,nitaludi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo,ukiona kimya tafadhari soma tena hii meseji". mke wake akakaa dakika hamsini kimya,kaisoma tena meseji inamwambia Nitarudi nyumbani ndani ya dakika hamsini zijazo ukiona...
  11. NONGWA

    Kweli nimsamehe huyu binti?

    Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi wangu mimi kwamba namwandikia meseji za mapenzi huyo binti,nilivuta pumzi na kumsikiliza...
  12. NONGWA

    Kila kitu humu

    Ni hayo tu,tuijenge nchi yetu,mawazo endelevu,fikra za kimaendeleo,naomba kuingia jukwaa la watu makini.
Back
Top Bottom