Search results

  1. NONGWA

    Fursa za Mji wa Kigoma

    Wadau naomba kujua ni fursa gani zipo za kibiashara kwa nyanja zote katika Mkoa wa Kigoma. Mimi natokea Dar na kwenda Kigoma kwa shughuri za kikazi tu wadau naomba kujua.
  2. NONGWA

    Msaada kwa mwenye uzoefu na interview za Tanroads

    Naomba msaada kujua ni aina gani ya maswali yanaulizwa kwenye interview za Tanroads hasa kwa nafasi za SHIFT INCHARGE. Asanteni
  3. NONGWA

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    wakuu hivi ikitokeaga umetumiwa email ya aptitude test na hukuiona on time so hujafanya unaweza kuwaandikia email kuomba wakutumie tena au inakuwaje?
  4. NONGWA

    Wapi nawezapata Mchele Bora?

    Magunia 50 maanaake ni tani 5. fanya kila tani moja ni 1.5 M. bado usafili kwa kila tani moja ni 150k. Ushuru ni 30k kwa tani 1.Haya karibu Mbeya upate super mchele.
  5. NONGWA

    Biashara ya Magodolo QFL, TANFOAM na GSM

    Ni uchumi wa bando mgumu au? Mbona JF kumekuwa na tabia za kichoyo sana daah na usikute mnaupita uzi hivi hivi. Haya "SEE YOU AT THE TOP"
  6. NONGWA

    Biashara ya Magodolo QFL, TANFOAM na GSM

    Habari wana jamvi naomba msaada kwa walio na uzoefu katika biashara hii ya magodoro faida zake na biashara yake ikoje. Pia naomba kujua namna bora ya kuwa wakala katika makampuni hayo tajwa na vipi kuhusu mtaji wa kuanzia. Mi niko hapa DSM nataka kuanza hii biashara. Nitashukuru mkinipa mwanga...
  7. NONGWA

    Msaada kufungua duka la nafaka Jumla na Reja reja

    Nunua mchele kutoka mbeya na mpanda ule wa kamsamba. Usichanganye mchele wa kutoka mikoa mingine ili u win soko la mchele safi yaani ule grade 1. Nunua mahindi kutoka mbeya na ruvuma na kwingineko kusanya yakutosha weka stoo bei ikiwa nzuri uza. Biashara ya nafaka au chakula ni biashara...
  8. NONGWA

    New Habari 2006 Ltd washindwa kufikia muafaka na wafanyakazi 51 katika Tume ya Usuluhishi wa migogoro kazini (CMA)

    Mh Bashe hili ni Dude limekuganda mheshimiwa embu fanya Uwalipe hawa ndugu stahiki zao pambana muheshimiwa hili lisikupe Doa la uongozi wako katika nchi chonde chonde fanya hima. Ikiwa shida ni kwa Rostam Aziz aisee ongea nae vizuri huyo ndugu alipe aisee hawa watu mi nawafahamu vizuri nimekuwa...
  9. NONGWA

    Bashe lipa wafanyakazi wako

    Bashe huyu huyu anae ruka ruka kwenye tv akiwaponda makatibu wastaafu na waraka wao?? Aisee huyu jamaa ni mburura sijapata ona kelele zake za kuosema serikali na mambo ya uchumi kumbe ka kampuni tu kanamshinda kuendesha na uchumi wake wa makaratasi? Acha masihara Bashe Hussein lipa mishahara ya...
  10. NONGWA

    kisheria baada ya ndoa mwanamke yampasa kutumia jina gani la mwanaume??

    Wanasheria nawadau wengine naomba kuelezwa vizuri baada ya kuowa ni miaka miwili sasa lakini tunavutana na mke wangu kutumia jina langu la ukoo anapenda kutumia jina langu la kwanza kuliko la pili. sasa naomba kueleweshwa mnapokuwa mume na mke kwa mfano naitwa JOHN NONGWA mke wangu anataka aitwe...
  11. NONGWA

    Kwa wale waliofanikiwa kufaulu oral utumishi

    Duuh kidogo umenipa moyo wa kuendelea kusubili nilipiga Oral ya MKURABITA mpaka leo hawajatoa jina la mshindi ila wako vizuri jamaa hawapepesi macho.
  12. NONGWA

    Msaada: Nipo Ubungo bus terminal, nahitaji kwenda ofisi za TBC Tazara

    tembea uje hadi hapa wanaita riverside au songas panda magari yanayoenda mbagala au temeke shuka kituo kinaitwa Tazara
  13. NONGWA

    Sitosahau siku ambayo tulifika Mbeya saa saba mchana. Njia nzima nilitubu dhambi zangu

    babu hii ni kweli kabisa dar mpaka mbeya magari yalikuwa yanaingia saa 9 hadi saa 10 kwa zile enzi hizo ndio luxury yaani kama Embakassy,Tawaqal, daaa na KISWELE injini nyuma nazani hiyo iliyoweka record yakuingia saa 7 ni kiswele babu yaani enzi hizo tupo shule tunashindana kuchora magari tu ya...
  14. NONGWA

    MAONI: Gerald Hando, George Bantu na Gardner G Habash, ndani ya Jahazi!!!

    [emoji443] Mbinguni hakuna Bia!!!!!!!!![emoji443] Ndipo hapa sasa Tunakunywa Biaaaa!!!!!! [emoji443]Hata siku ukiondoka piaaaaa!!![emoji443] Rafiki zako Tutakunywa zako Biaaaaaaaa!!![emoji443]JHAZIIIIIIII......piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....R.I.P Brother E. Kibonde...
  15. NONGWA

    Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    Hahahaaa ticha alikuwa anafinya yule balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  16. NONGWA

    Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    Hizo sio sifa za St Francis kufanya vema. Any way asante kwa kunikumbusha mwalimu wangu wa Chemistry mwl Rand enzi za Tution meta secondary. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. NONGWA

    Prof. Issah Shivji: Bosi wa CAG ni Katiba, Ndugai anapotoka

    CAG, CJ, AJ. These are a Constitutional post. Hapo utaona kila mmoja yupo kwa mujibu wa katiba na ana muhimili wake. CAG muhimili wake ni serikali kuu. CJ na AJ ni Mahakama then SPIKA wa Bunge muhimili wake ni BUNGE. kwa maana hiyo CAG yupo kwa mujibu wa katiba ya nchi na nafasi yake ipo...
  18. NONGWA

    Simu yangu imepigwa kwa watu usiku, pasipo piga mimi, na nilikuwa nimelala! Huu uchawi au?

    Hili si la kupuuzia wenye mtandao husika waseme nini kimetokea watavunja ndoa za watu. Mimi naamka asubuhi wife ananiuliza uliamka asubuhi ukanipigia simu? Haa nikamwambia hapana na simu yangu haina hata call dial kwenda kwake lakini yeye ana missed call kutoka kwangu. Plizzz Tigo huu sio wakati...
  19. NONGWA

    Hivi Chris Mauki, huwa analipa kodi kias gani kwa TRA kwa huduma ya ushauri anayoitoa ?

    Huo ni wivu wa kike jombaa. Pambana na hali yako. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom