Search results

  1. D

    Tovuti ya Tanzania Investment Centre............haiko hewani!

    wuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiii ni kweli nimejaribu hata mimi hakuna kitu kaputi na zile safari zote za baba Riz na Ole Naiko kusuka wawekezaji, Kweli tunachunwa ngozi twaona hivi hivi, TIC u are the most useless centre in 2012, kazi yao kugawa raslimali zetu na kuwapa fursa zaidi wageni huku...
  2. D

  3. D

    Which is the most expensive place in tanzania?

    Lindi is one of the poorest region in Tanzania
  4. D

    Huduma zisizorizishwa na Benki yetu ya makabwela NMB

    NMB Benki hovyo sijawahi ona Tangua nianze kutumia huduma za Mabenki......mfumo we fedha nchini pia mbovu na hulazimisha watu kusongamana Benki huku huduma za Benki zikitolewa kwa mazoea na si ubora, Mpesa, Easy Money, Tigo Pesa, Airtel Oyeeeeeeeeeeeeeeee! mnasaidia kuwatowa wenge hawa Mabenji
  5. D

  6. D

    Joyce Mhavile ashauriwe

    Ili kumsaidia Mhavile ~ dawa ni kumtafutia BWANA tu, kasi ya fikra na maamuzi ya mwanamke yeyote bora huchukuliwa kwa haraka sana na moto mkubwa na radiator ikipata moto lazima ipoozwe kwanza... bwana tu na atarudi kwenye mstari sahihi,
  7. D

    Video ya kulishwa sumu: Je yule mwanasiasa wetu alipitia mapito kama haya?

    god does not exist guys ~ Huu ni usani wa kidini mtupu, waizi wote ~ isipokuwa tu, Dini inawasaidia wale wenye akili chafu kutokufanya maovu kwa kuwa ogofya, napenda amani na ustaarabu ila hakuga kitu kama mungu, yesu wala muhamed, hayo yote ni usani mtupu
  8. D

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Mh Adam Malima anatuzuga Hakuibiwa na mtu yeyote ~ Alipiga tungi na kimada alichokichukua kikatokomea na vyake, habari ndo hiyo! Pete kaibiwa kaziva, whiskey hizo alipiga na kimada mjanja akamuotea
Back
Top Bottom