Search results

  1. Ted2012

    Hii "rushwa" kwa viongozi wa kidini isiwafanye wanyamaze,uhuru wa kuabudu na kuomba umeanza kutishiwa

    Hivi viongozi wa dini ndio wamewaweka serikali madarakani? Mchague wakulaumu! Mpiga kura alichagua kiongozi wake. Kiongozi amepewa madaraka na watu na sio dini. Nadhani viongozi wa dini tunawashambulia bila sababu. Wana nafasi zao lakini sio kila mahali.
  2. Ted2012

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Kazi ipo. Maana yake ni kwamba hata ule mpango wa kutambua taaluma nje ya mfumo rasmi unazikwa! RPL=Recognition of Prior Learning
  3. Ted2012

    Waziri Ndalichako: Baadhi ya vyuo vikuu kufutwa

    Kama Makerere imefungwa sembuse UDSM
  4. Ted2012

    Sheikh Khalifa aijibu JamiiForums, asema UKWELI sio UCHOCHEZI

    Ni wazi data zake Za Waenda chuo kikuu zinaendana na upewaji madaraka. Anayetoa madaraka leo hahusiki na waliokosa admission. Ni wazi kuna Positive correlation Kwa wasomi na madaraka. Wasaidiwe jamaa msiwaonee. Msikiti ni muhimu pia bali wangeombewa chuo au taasisi fulani. Misikiti mbona mingi...
  5. Ted2012

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Serikali haikuleta tetemeko. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Lengo ni kuendeleza miundombinu ili watu wa bkb wasiwe collateral damage
  6. Ted2012

    Maswali gani ungependa aulizwe Rais Magufuli kwenye mahojiano ya Ijumaa?

    Mwaka umeisha je una mpango wa kubadili baraza la mawaziri?
  7. Ted2012

    Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Ni wazi Naibu spika Kwa kumuwekea kifua waziri mkuu asijibu swali: kwanza, kamuaibisha PM. PM ana akili, mdomo na hana kilema cha kushindwa kujibu. Pili: kaongeza udadisi wa suala hilo. Tatu: itamlazimu Mwenyekiti wa Chama Kesho atoe maelezo saa nne usiku kitu ambacho hakikuwa lazima. Rushwa si...
  8. Ted2012

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa DCI, Diwani Athuman

    Hivi neno "uteuzi" linadumu Kwa muda gani? Nijuavyo mimi- Mtu akiapishwa uteuzi au uteule unaisha. Hivyo, mtu anapofukuzwa kazi au anaposimamishwa kazi yapaswa iwe, rais amemsimamisha kazi au kamfukuza kazi fulani. Walikuwa wateule kabla ya kuapishwa au kuanza kazi.
  9. Ted2012

    Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

    Hivi wizara ya mifugo ipo? Naona Kama imekufa hivi.
  10. Ted2012

    ‘’Mpemba’’ amponza DCI, Diwani Athumani

    Usiwe unaandika mambo unayojua nusunusu. You can keep that to yourself or ur husband or wife
  11. Ted2012

    Mikataba 21 na nchi ya morocco inatekelezeka?, ilipitiwa vizuri?

    La maana ni ahadi zake.
  12. Ted2012

    Ninalipinga ombi la Rais kuhusu ujenzi wa msikiti

    Iko sahihi ndugu yangu. Mnaweza kupangiwa mpaka muda wa swala.
  13. Ted2012

    SAUT main campus, mambo haya yanakera acheni!

    Haha wataka ukae hostel Za nje ya chuo wakati umeenda SAUT na laki 2. Mkisikia chuo cha kanisa mwajua elimu bure. Nenda UD na hiyo mahela.
  14. Ted2012

    Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

    Mgonjwa mwingine asiyejijua. Ukatoliki ni hiari kuufuata. Tatizo ni mtu anapoamua kuwa mtawa ili apone njaa hapo. Hakuna mitaji katika dini Za kweli.
  15. Ted2012

    Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

    Who cares. Vichaa ndio huwa wanajibatiza
  16. Ted2012

    Kilio kwa Watanzania Baada ya Bodi ya Mkopo kutoa Ufadhili kwa wanafunzi wachache. Serikali itusikie

    Hivi una IQ wewe? Unavyo argue ni dalili kwamba kama ipo inapotea. Wewe toa hoja. Wengine watahukumu kama una IQ ama la. Hoja ipo bali umeitoa kama kejeli wakati wenzio wanaumia. Maskini hadharauliwi bali anasaidiwa. Anyway: watu waliambiwa wakapuuzia. We haven't seen nothing yet!!!
Back
Top Bottom