Search results

  1. N

    Mkakati wa kuihujumu CHADEMA Kanda ya Ziwa huu hapa.

    Ni vizuri wananchi wakawajua wasaliti wAo mapema huwezi kuhama chama huku unalaumu wakati ni jukumu lako kuijenga nakuimarisha chama hapa lazima utabiri utimie tu CCM miguuu juuu yaan nina hasira na mambo ya kijani kijani
  2. N

    Mkakati wa kuihujumu CHADEMA Kanda ya Ziwa huu hapa.

    kaka ndugu yangu wewe ni mzalendo yaani hebu tupe mawe chaap Magamba wamebaki na hiyo style. please hebu fanya bidii kutujuza. this the most interesting story. Hata hivo Kanda ya Ziwa yoote ipo upande wa CHADEMA ila naamini kuhujumiwa wanaweza mtafuna m2 awe huyo nape na wengine
  3. N

    Mbunge wa Longido kustaafu ubunge 2015

    aisee kama ni kuchangia mada ndugu yangu unafaa na unaonyesha jinsi gani umekerwa sana. Lini wananchi wapenzi wa mundarara wataacha kufukua udongo kwa kutumia kucha zao kama kware hapo nje ya mgodi? Wakati wawekezaji hapo wanapakuwa siagi MUNGU aliowawekea wananchi haao? Nisaidieni hii kitu...
  4. N

    Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    Huyo ametumwa na magamba hana lolote. Tumeshawazoea nyinyi hamna jipya. Mtaji umewaishia wilaya zote za wafugaji wamegutuka walikuwa wakifikiri kuwa siasa ni mila sasa wameweza kutenganisha. Magamba mtakwisha kushney.
  5. N

    Kashfa ya ajira TANAPA

    tunashindwa kuelewa nini maan ya elimu watu tunasoma vyuo tofauti na wakt wa interview wanapita watu wa chache wanaitaji exprnc sis tunaosom mweka college tunapewa elimu ya kutosha na field nyin mbona hatupati ajira lini tutapat exprnc bila kupata tok kwenu
  6. N

    Askari polisi wanne mbaroni kwa tuhuma za ujambazi

    acha umbumbu ni alama ya ushindi. nyangulani wewe
  7. N

    Baba Mzazi wa Mhe. Tundu Antipas Lissu Mughwai afariki dunia jioni ya leo

    Pole Kamanda lissu tumeguswa huo ni msiba wa kitaifa
  8. N

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Huyu James Olemillya Wilaya ya Longido kurudishwa tena Longido wakati alistaafu hii ndo mwisho wa CCM katika jamii ya wafugaji longido. Naona anakuja kuizika chama. Kweli nimeamini ccm haipo tena maana ccm imekuwa ikiota ndoto za kimweri kwamba wafugaji bado wapo ccm huku Lekule Akijitahidi kwa...
  9. N

    Mkapa: tume tangazeni matokeo CCM imeshinda muuwaache waende mahakamani

    Hii ni hatari kama kionozi kama huyo anasema hivyo bila kujali athari zitazo wapata wananchi. Mbona wasiseme hadharani wanajificha? Huyu babu ni bora engeenda kulea wajukuu. Aibu yake. Hapa Chuga si Igunga.
  10. N

    Mbowe atoboa siri

    Kamanda Mbowe nakuaminia. Njoo LONGIDO ndo kuna mtaji mkubwa wa CCM imekuwa ikisha kila mwaka kwa 84% huku wananchi wake wikiwa na kipato cha sh. 200-500 kwa siku. Ninajua si rahisi watu kuamini hili lakini ndivyo ilivyo vijana wa CDM tuliamua kufanya assessment tukagundua hili. Vijana, Akina...
  11. N

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Hivi wazee? ule umilele wa Nape na GAMBA lake limeishia wapi? maana alitamba kuwa CCM itaongoza milele. Any body with news. i mean jinsi walivyotoweka eneo la tukio bila kupenda.
  12. N

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ninawapongeza kwa kuwa masikini walikula kodi yao live. Namaanisha MAGAMBA walitumia hela kuwahonga mabalozi bila kujua ya kuwa ya wanawapa nguvu PEOPLES POWER. Hizo hela ni jasho la watanzania Tanzania imeamka kudadeki. Kuna mizozo ya kijamii...
  13. N

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Huyo ni wa kuchapwa fimbo sabini makalioni. CCM haina jipya kwenye jamii. Halafu ule mtaji wao wa ujinga wa wanavijiji sasa hali imewabadilikia
Back
Top Bottom