Search results

  1. F

    solar power business..

    Thanks much mkuu, Kwa ufupi ninaknowledge ya solar power kwa kiasi kinachofaa. Market survey nimefanya kwa level ya wateja wadogo,namaanisha vijijini na wilayani,kwa watu binafsi pia kwa serikali za wilayani,covering zahanatiz ,schools na mengineyo.so target ni wateja wadogo kwa kuanzia. Na...
  2. F

    solar power business..

    wanabodi, nimekuwa nikifikiria juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa, ku-install systems na kufanya maintenance ya solar power systems kwa muda sasa. naomba msaada wa kimawazo na taarifa juu ya upatikanaji wa vifaa,na taratibu za kisheria za kufuata pia kama kuna watu walio kwenye biashara...
  3. F

    ''...am about to give up my business,msaada tafadhali...!!!''

    mkuu IG, ushauri ni kwamba,kwa kila utachoona kinachukua hela toka mfukoni mwako,na hakiizungushi iyo hela kwa maana ya kuiongeza,achana nacho mapema.uza ,think of the other positive idea inayorelate na mazingira yako usonge mbele.
  4. F

    machumba/mke

    naamini sijakosea kwa kuweka hii taarifa kwenye eneo ili,vinginevyo kama kuna sheria imevunjwa nijulishwe,mimi nimeamua nimtafute anayenifaa hapa mkuu
  5. F

    machumba/mke

    Serious
  6. F

    machumba/mke

    salaam, nahitaji mchumba/mke anayejiheshimu/muaminifu mpenda maendeleo. we can opt for ndoa ya serikali if islam mmi ni mkristo safi, 30 years,umri wake uzingatie hili frangerry1@gmail.com
  7. F

    William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

    salaam, kama kutakuwa na ukweli kwenye hili,ukizingatia exposure anayoonekana kuwa nayo kimataifa,may be ataweza kutusaidia kwenye mijadala ya bunge hilo kwa upana zaidi .
Back
Top Bottom