Search results

  1. kijenge

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Sio mpka uibiwe ndio useme alioibiwa ni jamaa yangu wa karibu amefungua sehemu ya kurekodi hajamaliza hata wiki wamempora,na Amelipa hela ya sungusungu.Walivunja kwake na kwa jirani yake.
  2. kijenge

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Serikali ya mtaa Kijenge kusini inayoundwa na CCM imeanzisha sungu sungu na kuchukua hela ya ulinzi, Matokeo yake maduka manne yamevunjwa na watu wanakabwa na kuporwa simu na hela Wakati wa uongozi wa CHADEMA hapakuwa na sungu sungu na hakuna mtu aliye wahi ibiwa. Tunaomba mkuu wa Wilaya aje...
  3. kijenge

    Diwani Kata ya Kikombo na mwenyekiti wa CHADEMA Dodoma, Yona Kusaja ajivua vyeo vyote na kujiunga CCM

    Nchi imekuwa ya kipuuzi kila siku upuuzi tuu maendeleo ni ndoto nchi itakuwa mauchaguzi tuu.
  4. kijenge

    Ile sikendo ya kutapeli nyumba ya mjane mama Ana kahangi imedhihirika baada kuitwa kwa mkuu wa mkoa

    Maro anazeeka vibaya anamfuata bajuta huyu bajuta ni jambazi wa magari kwenye pembejeo ndio usiseme serikali imemsahau ikimshutia anamfilisi hadi ndala. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Inaelekea huyu anayetoa hizi habari anawafahamu kuliko wewe.Hivi vielelezo anavyotoa siajabu anapata kwao bila wao kujua na anakula nao anashinda nao watapata tabu sana.Kikulacha ki nguoni mwako.Mnapo comment ndio mnazidisha.
  6. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Mkuu umeongea sanaa mzee kachoka mbaya,unajua kuna mtu akijifanya anakutetea kumbe anataka mambo yako yawekwe azarani.
  7. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Huu mjadala malizeni mtoa maada na wajibu mada majuana vizuri sanaa kaeni chini muyamalize.
  8. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Mi sioni kama kuna kurushana kuna vyama vya wachimbaji kuna Tamida kuna mahakama bado mtu anakaa kunung'uninga nasehemu za kupata haki yako ipo kuna kitu nyuma ya pazia.
  9. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Kama wamerushwa madini yao kwanini hawakwenda mahakamani?na wakaonesha mrijesho wao wa mapato wa wizara ya madini?ili weweze pata haki haki yao?hawa wanaogomvi zaidi ya huu kurushana.
  10. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Hawa wameingia kitapeli sio wawekezaji.
  11. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    LENGIO tuliza mpira kidogo inaonekana unajua mengi ya hawa wakenya sasa achai vyombo vya ulinzi na usalama ufanye kazi yao.
  12. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Hakuna mtu anatumwa JF uchunguzi ufanyike lisemwalo lipo,hakuna kinacho semwa kiwe uongo kabisa kutukuwa na kitu aidha kurushana.
  13. kijenge

    Mkenya anamiliki migodi Tanzanite leseni 4 na maombi 7

    Msio kuwa na akili ndio mnachekelea mali zetu zikiibiwa.Tuwe kama wakenya kwenye rasilimali zao ni kama nyuki hawakubali
  14. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Cuf wananafasi moja Chadema 2 Ccm 6
  15. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Cuf wananafasi moja.
  16. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Kuna haja gani ya kupeleka watu kibao wakati kwenye chama mshapitisha majina mnayo yataka. ccm majina yao 6 wanayo ila wanaogopa lawama ya baadhi wanachama kuwakata majina yao wanataka wakafie mbele.
  17. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Sio mtego Tanzania huwa tunapeleka vilaza sana brother wacha tupeleke majembe.
  18. kijenge

    Je, Masha na Wenje wamepita bila kupingwa EALA?

    Usipasue kichwa kuwajibu hao vilaza,kwanza kabisa hakuna wabunge bora kama masha na wenje kutoka Tanzania ccm wamezoa kupeleka vilaza wanaokwenda buruzwa na wakenya na waganda.
  19. kijenge

    Makamba funga dampo la maji chai Arusha Taswira mbaya kwa mji wa Arusha.

    Unapoingia Arusha kama unatokea moshi au uwanja wa ndege KIA ukifika maeneo ya maji ya chai,unakaribishwa na dampo lilopo kwenye barabara kuu ya moshi Arusha badala ya kibao cha karibu Arusha.Dampo hili inasadikika ni mradi binafsi wa mkurugenzi.Umekuwa unalalamikiwa na wakazi wa maji ya chai na...
  20. kijenge

    Hivi ina maana Rais huwa hawasiliani na Mawaziri wake?

    Angesema makonda raisi angesapoti.
Back
Top Bottom