Search results

  1. K

    Chadema files appeal notice after Lema ouster

    Hivi mpaka leo hujui tofauti kati ya mtu na chama chenye katiba?Yeye alisema na chama kimesema.Congratulation chadema
  2. K

    Jaji amlazimisha Tundu Lissu kuingia kizimbani

    nawashauri magamba kutambua nguvu ya uma ni mbaya.Raia mmoja mwenye hasira iliyojikusanya ni sawa na askari 1000.Wanapopambana na wapinzani wanatuongezea hasira.Watakuja juta
  3. K

    Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

    Madaktari hawapimiki kwa kipimo kidogo namna hii.Chamsingi gov wanayokazi.Kama mkuu anavurunda namna hiyo.Kwenye hili madaktari ndio wenye mpini na mwananchi ana makali.Wananchi waliokuwa wanatetewa waweza kupigwa chini nakutafuta haki yao tu.
  4. K

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    Wananchi waliounga mkono wako wapi?Tulisimama wenyewe,tutasimama wenyewe endeleeni kutawaliwa kibabe.Hii ni onyo kwa mawaziri wote na makatibu wote watakao simamia wizara ya afya........Lazima wawe wenye ufanisi na wazalendo....
  5. K

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    Ndugu yangu hapo juu umeleta stori ndefu sana,tafuta nyaraka madai ya madaktari ni yaleyale, isipokua utekelezaji wake ndio ni wa mafungu.Sisi tuko chini ya chama.tunaongozwa na katiba na madai hayo yalitokana na vikao tulivyo kaa ambapo kwa maamuzi ya kidemograsia madaktari waliamua...
  6. K

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    Huwezi kugoma forever,strategically,Serikali ilishazidiwa ujanja.Ndio maana Jk akaahirisha kuongelesha vikongwe na kuwaita madaktari.JK ndie aliyetafuta hii suluhu.Actually kwa upande wetu tumepata sehemu ya kupumulia.And i can tell you mgomo umehairishwa na mbeleni bado hauepukiki,hasa idadi ya...
  7. K

    Bajaji zenye tanki la maji safi nyuma

    Wakuu hebu nijuzeni ,sipati picha kuhusu hizo bajaji.hilo tank la maji safi hao jamaa wameweka kuuza maji au inakuaje? how many liters it can contain.Na details nyingine kama zipo.
Back
Top Bottom