Search results

  1. TZ biashara

    1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

    Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa ipo Dar na bei ni Tshs 5.5 milion.Mtanisamehe kwakuwa gari hii sio yangu ila namsaidia ndugu yangu kumtangazia kwa hiyo maelezo hajanipa mengi ila mtampata katika namba hizi kwa yule mwenye mahitaji nayo.0713182182 au 0684000760 atawapeni maelezo mengi zaidi na...
  2. TZ biashara

    SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

    SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata...
  3. TZ biashara

    SHAMBA LINAUZWA (Mkuranga)

    SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni zuri na kuna rutba nzuri sana kwa kupandisha mbaazi,matikiti,mihogo,migomba ya ndizi na vitu vingi hata...
  4. TZ biashara

    JIKO KUBWA LA BIASHARA (used) FOR SALE

    Nauza jiko kwa ajili ya kufanyia biashara ya bakery.Jiko hili lilitumika Uingereza na lipo katika hali nzuri kabisa na litaendelea kufanya kazi kwa miaka mingi tu.Vitu vyao hivi kiukweli ni madhubuti sana na sio feki unanunua na kukitumia kwa kuzalisha biashara yako kwa muda mrefu bila ya...
  5. TZ biashara

    ACER ASPIRE LAPTOP FOR SALE (used)..160 GB,Intel Core 2 Duo,2 GHz 1GB

    Nauza Laptop ACER na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo na inakuja na Battery mpya.Bei ni Tsh 430,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii 0766915299. ACER LAPTOP Acer Aspire 5720WLMi 15.4" (160 GB, Intel Core 2 Duo, 2...
  6. TZ biashara

    DELL INSPIRON LAPTOP (used) FOR SALE..(250 GB,Intel Pentium,2.4 GHz,3 GB)

    Nauza Laptop DELL na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo.Bei ni Tsh 480,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii 0766915299. Dell Inspiron 1545 15.6" (250 GB, Intel Pentium, 2.4 GHz, 3 GB) Laptop Detailed item...
  7. TZ biashara

    Dell laptop fro sale (used)

    Nauza Laptop DELL na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo.Bei ni Tsh 480,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii 0766915299. Dell Inspiron 1545 15.6" (250 GB, Intel Pentium, 2.4 GHz, 3 GB) Laptop Detailed item...
  8. TZ biashara

    DELL LAPTOP (Used)

    Nauza Laptop DELL na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo.Bei ni Tsh 520,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii 0766915299. Dell Inspiron 1545 15.6" (250 GB, Intel Pentium, 2.4 GHz, 3 GB) Laptop Detailed item...
  9. TZ biashara

    Jiko la gesi kwa biashara ya bakery au hoteli

    JIKO LA GESI KWA BIASHARA YA BAKERY AU HOTELI (Restaurant) n.k Jiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi yake hutumia Gesi.Lipo Ilala katika...
  10. TZ biashara

    MASHINE YA KUKANDIA UNGA KWA KIWANDANI BAKERY (Used)

    Hii ni heavy duty mixer kwa ajili ya Bakery kiwandani.Imetumika Uingereza lakini ipo katika hali nzuri sana.Kwa anaehitaji ipo Dar na bei ni milioni 3.5.Hii ni kiungo muhimu katika kiwanda kwa ajili ya kurahisisha kazi ya ukandaji unga.Inauwezo wa kukanda kama sikosei kiroba kimoja kinaingia...
  11. TZ biashara

    MASHINE YA BAKERY KIWANDANI YA KUKATIA MIKATE (Used)

    Mashine heavy duty kwa ajili ya kukatia mikate kiwandani.Picha iliyokuwepo siyo inayouzwa ila imefanana kiasi na ipo katika hali nzuri sana.Sijaweza kuipiga picha hivo mtaniwia radhi lakini ipo Dar na unauwezo kwenda kuiona.Bei ni milioni 1.5 na kwa mahitaji naomba upige namba hii 0773027777
  12. TZ biashara

    JIKO KUBWA LA KIWANDANI KWA AJILI YA KUPIKIA MIKATE (Used)

    Jiko linauzwa la kupikia mikate ni zuri sana kwa biashara na inauwezo wa kupika mkate kwa dakika kumi tu kwa kila deki.Jiko hili lina deki 4 ambalo unauwezo wakutumia deki moja,mbili ama zote kwa wakati mmoja ikiwa unayo order kubwa.Linatumia umeme na lipo katika hali nzuri sana.Lilitumika...
  13. TZ biashara

    U.s.a .. Girl age 15 raped in a class

    Lawsuit says girl was raped in class 0 Court documents allege a mentally challenged 15-year-old girl was gang-raped under her desk during class in Elmont, N.Y., feet away from her teachers. The victim's mother said the girl reported the incident the next day at her school, Martin De...
  14. TZ biashara

    MIXER KUBWA YA KUKANDIA UNGA (3 phase)

    MIXER KUBWA YA KUKANDIA UNGA (3 phase) Mixer iliyotumika Uingereza kubwa kiasi labda kutosheleza kiroba cha unga inauzwa milioni 3.5.Ipo dukani Ilala na kwa maelezo zaidi au kuiona tafadhali piga namba hizi...0773027777 au 0717810318
  15. TZ biashara

    JVC PROFESSIONAL VIDEO CAMERA GY-DV5000 (inafaa kwa movie au tv media studio ama kwa sherehe )

    JVC PROFESSIONAL VIDEO CAMERA GY-DV5000 (inafaa kwa movie au tv media studio ama kwa sherehe ) Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
  16. TZ biashara

    PANASONIC LUMIX CAMERA F2100 (Used) 14.1MP

    PANASONIC LUMIX CAMERA F2100 (Used) 14.1MP Hii ni Panasonic dmc-fz100 14.1MP ni moja ya Camera zilizo sifika kwa ubora na uzuri wa picha.Bei yake ni Tshs 850,000.Imetumika lakini ipo katika hali nzui kabisa na ilitumika Uingereza na sasa ipo Dar.Kwa yeyote mwenye kuhitaji apige namba 0766915299...
  17. TZ biashara

    FUJIFILM FINEPIX S1500 10.0MP DIGITAL CAMERA-Black

    FUJIFILM FINEPIX S1500 10.0MP DIGITAL CAMERA-Black Nauza hii camera ya Fujifilm ambayo imetumika Uingereza na ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote.In 10.0MP na inakuja na charger pamoja na Battery mpya 4 za kuchaji pamoja na memory card ya 4GB.Na camera hii ina optical zoom 12x.Bei yake...
  18. TZ biashara

    JIKO LA GESI KWA BIASHARA YA BAKERY AU HOTELI (Restaurant) n.k

    JIKO LA GESI KWA BIASHARA YA BAKERY AU HOTELI (Restaurant) n.kJiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi yake hutumia Gesi.Lipo Ilala katika duka...
  19. TZ biashara

    POFESSIONAL SONY CAMERA A200 + SIGMA LENS + COMPACT FLASH MEMORY CARD 4GB (Used)

    POFESSIONAL SONY CAMERA A200 + SIGMA LENS + COMPACT FLASH MEMORY CARD 4GB (Used)Hii ni camera moja kali sana utafurahi kwa matumizi yake.Picha zake ni nzuri sana na imewekwa lens ya sigma ambayo kali sana.Imetumika kiasi lakini ipo katika hali nzuri kabisa wala haina michubuko.Nauza Camera...
  20. TZ biashara

    TOSHIBA CAMILEO CAMCORDER S20 + 2GB MEMORY CARD-Pink

    Hii ni Camcoder na inauwezo wa kupiga picha 5.0MP.Imetumika lakini ipo kama mpya na haina tatizo.Ni kazuri sana hasa kwa kina dada.Inarekodi full HD 1080p na inatoa picha nzui sana.Inauzwa pamoja na memory card 2GB pamoja na charger yake na vitu vingine ambavo vipo katika picha.Bei ni Tshs...
Back
Top Bottom