Search results

  1. N

    Kufeli kwa wanafunzi Law School tatizo ni wanafunzi wengi ni vilaza wamezoea kutoa hongo na kununua mitihani

    Nyie wanasheria someni vzr acheni kulalamika. Law School wako vzr sana. Sisi tuliopia pale tunajua umahiri wa wahadhiri wa pale Law School. tatizo wanafunzi wakitoka vyuoni wanajiona wamemaliza kila kitu. someni tuendelee kupata wanasheria mahiri.
  2. N

    Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Jamani Pasco, huyo si mtu mzima ana maamuzi yake mwenyewe, hata vitabu vya dini vinaeleza ya kwamba kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake. Haalafu huyo ni mtu mzima, inawezekana kweli hajalelewa vzr lakini huwezi kumuadhibu mtt kutokana na matendo ya mzazi wa ya mzazi wake. kila mtu...
  3. N

    Kesi ya Mdee na wenzake 18 yaitia aibu CHADEMA

    Asante sana kwa maoni yako maridhawa.
  4. N

    Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Hiyo ni sahihi kabisa . Kama wewe ulikuwa ni Mwl. kwa mfano baadaye ukateuliwa kuwa DED na ukawa unapokea mshahara wa DED siku unapoacha nafasi ya DED kwa sababu yoyote ile na muda wako wa kustaafu bado haujaisha unatakiwa kurudi kupokea mshaahra wako wa zamani. yaani haina maana nchi inayo...
  5. N

    Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

    Jambo unalozungumzia halina mahusiano kabisa, kwa uelewa wako wewe unafikiri kuna mbunge yeyote aliyerudi kundini kwa hiari yake mwenyewe.. kwanza wote waliahidiwa madaraka (rushwa). na hivyo haikuwa sahihi. hata hivyo tunawatakia kila la heri
  6. N

    Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

    Aihusika sana kuhakikisha wabunge wetu ambao wamechaguliwa kihalali na kikatiba wananunuliwa na baadaye kurudishwa bungeni kinyemela. huo ndio utaratibu wa haki na demokrasia anautaka Polepole. alionekana kwenye baadhi ya maeneo usiku wa manane na wabunge wa upinzani akila nao deal la kuunga...
  7. N

    Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

    Huyu shahidi kwanza ametoa ushahidi wake kwa kustukizwa , yaani hakuwa ameandaliwa kabla baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuendelea na mashahidi kwenye kesi ndogo, ni maoni ya watu wengi kwamba maelezo anayotoa yana ukweli wa kiasi kikubwa.
  8. N

    PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Mbona mwandiko wa mabango yote kama wa mtu mmoja.
  9. N

    Prof j.k kikwete kesho atakuwa moshi.

    Sio Moshi ni Arusha. Askofu MASANGWA WA Dayosisi ya Kaskazini kati - Arusha.Huyu ni Askofu mteule badala ya Laizer aliyefariki mwaka juzi.
  10. N

    Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Mbona wengi ni Wahaya?
  11. N

    Sina Mgogoro na CHADEMA

    Tell it to the bird
  12. N

    Wanachama wa CHADEMA wafunga ofisi za CCM kata ya Bashnet Mbulu

    Nani kakuambia Bashnet ipo Mbulu
  13. N

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    ole medeye wa ARUMERU MAGHARIBU itabidi naye atafute kazi ya kufanya bila kumsahau Augustine lyatonga Mrema, Job Ndugai wa Kongwa na Hamadi Rashidi Hamadi,
  14. N

    CCM taabani Arusha; Mangula aja kuokoa jahazi

    Mary Chatanda hawezi kuondoka kwani yeye ni mbunge wa viti maalum Arusha kawani akiondoka kura zitapungua kwenye baraza la madiwani. chezea ccm wewe. Punda afe lakini mzigo wa bwana ufike.
  15. N

    Wajumbe baraza kuu CHADEMA watinga kwa msajili wa vyama vya siasa na CAG

    Mbona sioni mgogoro wowote hapa, poor you.
  16. N

    Aibu kwa baadhi vyombo vya habari wa TANZANIA

    Mbona hatujaona pointi hapa.
  17. N

    mwanasheria Lucas Sinkala Mwenda ameteuliwa kugombea Kalenga -CHADEMA

    Kwa ushauri msimsahau kumshirikisha Nassari kwenye kampeni zenu
  18. N

    Nani kati ya hawa kunyakua tunzo ya Mbunge Bora wa awamu ya nne!?

    Wazo lako ni zuri lakini jinsi ulivyopata hayo majina ndio inatia shaka sana. ungetuambia metodology uliyotumia katika hayo majina ndio tuweze kupiga kura. jambo la pili ni kwamba kwa nini utumie simu yako ya mkononi kwa ajili ya kupiga kura. ungeweka hapa hapa jamvini moja kwa moja ili tujue...
Back
Top Bottom