Search results

  1. E

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    msiwalaumu polisi wetu, wamefundishwa kutumia nguvu zaidi kuliko akili...
  2. E

    Mbunge Serukamba atoa maoni kuhusu bomu la Arusha

    DUH, I pity his family...
  3. E

    Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

    Rest In Peace Judith, we shall meet in that beautiful land where there will be no more sorrows, no pains and no parting!!!!!!
  4. E

    Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

    Kinachotucost vijana wengi wa CHADEMA hatuna tolerance! Na siku zote emotions hazijengi bali zinabomoa! Mamuya wewe probably ni kiongozi au ni kiongozi mtarajiwa, JF sio mahali pa kuleta shutuma nzito kiasi hicho juu ya mtu, tena not a mere member but Kiongozi wa ngazi ya juu ya Chama, Naibu...
  5. E

    Ephraim Kibonde asema kutotaja walioficha hela ni ujinga

    .... That was serious indeed...msameheni bure kibonde,inawezekana ana payslips 2 moja clouds ingine ccm. Ila sio kitu cha kusema kny media kuwa Zitto mpumbavu, over vitu ambavyo mwenyewe alishavitolea explanations. Alishasema, ana majina 13 ila walioficha ni kama 200+ kidogo, sasa akiwataja hao...
  6. E

    Mhando kukaangwa kabla ya ripoti ya Ngwilizi

    Kwa hiyo hata kama hana makosa inabidi aondoke ili ampishe Waziri?
  7. E

    Mhando kukaangwa kabla ya ripoti ya Ngwilizi

    Imeundwa Tume Huru ambayo haifungamani na upande wowote
  8. E

    Mhando kukaangwa kabla ya ripoti ya Ngwilizi

    Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO inakutana leo muda huu ili kumuondoa Mkurugenzi Mtendaji Injinia William Mhando licha ya kwamba tume huru ya kumchunguza imemkuta hana makosa. Lengo kuu ni ku pre empty report ya Ngwilizi. Mambo mbalimbali ambayo kamati ya Ngwilizi ilichunguza ni kama ifuatavyo...
  9. E

    Bombshell to Zitto Kabwe? John Mashaka amshambulia Zitto dhidi ya Prof. Muhongo

    Before discussing what has been brought before us, it's best if we read the advert to the Public made by the Ministry of Energy and Minerals...There then we can be in a position to discuss as to what Zitto Kabwe said versus different versions of the Minister's statements. UFAFANUZI...
  10. E

    CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

    Fuatilia mijadala yake Bungeni, fuatilia kazi zake, fuatilia jimbo lake halafu ukimaliza rudi hapa utuambie tena ulichosema.
  11. E

    CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

    Mkuu utakuwa hujanielewa. Great minds discuss issues and ideas na sio watu.Humu ndani tuna tabia ya kudiscuss watu na sio issue za muhimu. Kwanini kujadili C.V ya Mh. Vincent Nyerere? Majukumu yake si anayatekeleza kuliko hao Maprofessa? That is my point, kama sisi ni Thinkers kweli, tudiscuss...
  12. E

    Kamati ya Ngwilizi yawatia hatiani Prof. Muhongo na Eliakim Maswi, yawasafisha Zitto na wenzake!

    some people wanna be told what they want to hear...if u tell them to the contrary it becomes an issue...Duh...biasness in its fullest...
  13. E

    Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia"

    Mimi kuna kitu sikielewi, nguvu za kumpinga Zitto in running for Presidency zinatumika kubwa sana kuliko kawaida. Kuna vitu Zitto alistipulate ktk ambition yake kama nakumbuka vzr, among others alisema, "Endapo Chama chake (CHADEMA) kitampa ridhaa ya yeye kupeperusha Bendera hiyo". Nikienda...
  14. E

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    cheki unavyojibu kwa jazba, shushia na maji ya kunywa kwanza halafu rudi mkuu. Ni hoja tu sio vita.
  15. E

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    Unakumbuka issue ya Dowans Zitto Kabwe aliongea nini na mkamuita fisadi na mla rushwa? Kama haukumbuki katafute majibu, ulinganishe na what is transpiring now, halafu uje tuongee.
  16. E

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    He needs a break into explaining what people been thinking kuwa ndo alichomaanisha au? why don't you discuss the substance of what amekileta kwetu? Stop attacking him, u are the 1 to be given a break. Bifu na Waziri linakuja kwa sababu gani haswa? Umesoma vizuri alichoelezea Zitto au una attack...
  17. E

    Zitto: Watanidharau, watanicheka, watapambana lakini nitashinda!

    Let's discuss what has been brought before us, na sio kudiscuss mtu. Jamaa kaleta hoja yake nzito kweli kweli, tuisome na kuichambua. Tuache kumdiscuss mleta mada. Tunapoteza maana halisi ya forum yenyewe. Ina maana yeye sasa hivi haruhusiwi kuongea chochote kwa ajili alishatangaza nia?poor...
  18. E

    Kilewo Aivunja ngome ya Profesa Jumanne Maghebe Maeneo ya Usangi Mwanga Kilimanjaro

    Kimbiza sana kamanda, mpaka kieleweke, Big up Kamanda
  19. E

    How multinationals dictate oil, gas rules

    It is true that we as a country are not well prepared for the oil and gas issues currently, let us not be desperate, desperateness kills. On the other hand, there has to be a debate concerning oil and gas issues, whereby all the stakeholders should debate and come with a clear solution...
Back
Top Bottom