Mara nyingi matangazo kwenye media ni njia ya kuvifunga midomo vyombo vya habari.Makampuni au serikali nyingi zenye maovu hutumia matangazo kama nyenzo ya kuficha uozo.So Barrick wanaweza wakawa wanatumia njia hiyo.Though tunahitaji kujiridhisha katika hili.
Kinacholeta ukakasi zaidi ni kwamba,kwa sasa kuna Shirikisho la Filamu linalounganisha wasanii wote na kutambuliwa kisheria lakini hawa supastaaz wamejitenga na kuanzisha kitu kinachoitwa Bongo Movie Club na kinadhaminiwa na Steps haohao.Ni ujinga walionao wasanii wetu.Wanakubali kugawanywa na...
Ni upuuzi tu huu.How come nyoka awakilishe tiba?Ni nani hasa anayehusika na kubuni vitu vya kukaa kwenye noti zetu?Kwa nini jukumu hilo lichukuliwe kama la watu fulani tu wanaoamua kila kitu?Machapisho ya noti mpya ni suala la kitaifa ndiyo maana hata bendera tunajua uwakilishi wa rangi...
Shitambala hana jipya,amegombea Ubunge three times Mbeya Mjini na awamu zote amaekuwa akiuza nafasi hiyo kwa CCM.Amekuwa akipkea mamilioni kutoka CCM ili kukisalititi CDM.Kwa ujumla hakuna hasara ya kumkosa huyo mamluki hapa Mbeya.Moto umewaka na katu hauzimwi na maluweluwe haya ya...
Kinachokera wanakwaruzana na kutukanana hovyo lakini bado wako humohumo ndani ya dubwasha lao lililooza. Vijana kama hawa hawakutakiwa kuwa humo.
Inakera na kuudhi.
Hapa Bongo ilikuwa Idhaa ya Kiswahili ya Uingereza (BBC) iwe na makao yake makuu hapa ktk ukanda wa EA lakini serikali ikaktaa kwa kile kilichoelezwa kwamba ingemulikwa sana na uozo wake kuwekwa hadharani.
Huyu dogo nyimbo zake huwa hazipigwi Clouds FM jamaa wanambania kwa kuwa hayuko chini yao lakini Mungu kamuona na kazi zake ziko juu sana hata umbanie vipi kitaa atapendwa na atashine
Anayetajwa sana kuua muziki ni jamaa mmoja anaitwa Ruge Mutahaba ambaye ni Meneja wa Kituo hicho.Amekuwa akiandaa matamasha mengi na kuwalipa wasanii fedha za kpuuzi na wanapokataa nyimbo zao zinatupwa kapuni.Aidha,ameanzisha makampuni uchwara mengi ambayo yameteka tasnia nzima ya Bongo Flava...
Shibuda afukuzwe chamani haraka sana iwezekanavyo.Kwa jinsi alivyochangia bungeni nitashangaa kama ataendelea kuwepo.Bado ni mwana CCM hai ila alikuja CDM kuvuruga tu.Shibuda must Go,Aoneshwe mlango haraka sana,hatufai katika mapambano ya ukombozi wa nchi yetu
Nilipoona hiyo habari kwenye hilo Gazeti niliona kinyaa sana.Yaani Tz Daima linashindwa kuandika habari kuhusu ripoti ya uchaguzi ya EU kwa kuipa uzito badala yake wahariri wake wanaona kutishiwa kwa mlinzi wa Rostam ni habari.Kwa kweli siamini kama Ngurumo yuko kwenye media hii vinginevyo kuna...
Kwa sasa mtu yeyote anayeonekana kuhatarisha move ya CDM lazima apigwe chini na afukuzwe chamani mara moja.Tunataja chama kitakachotuongoza kwenye nguvu ya umma ya kumaliza matatizo yetu.CDM wana dira na ni kimbilio la wanyonge.Tunajua wapinzani wote kwa sasa wamefunga ndoa na CCM so CDM ndiyo...
To me huyu mama si tu ni mtu asiyefaa kuliongoza bunge letu bali pia ametumwa kusafisha njia ya mafisadi kupitia kuwazuia CDM katika kila kitu bungeni.Bunge limekuwa kama uchafu halina matumaini tena,limepoteza dira.
CCM leo watalala usingizi mnono,Shibuda ameonesha wazi ama kapewa fedha chafu acahfue CDM na kwa kweli kafanya.Kilichojitokeza leo bungeni ni sawa na kusema Shibuda hayuko CDM. Amewaponda sana vijana huku akisema kwamba, si lolote watulie wawe na heshima kwani wanaendeshwa na hisia tu. Pia...
Shibuda ameanza kwa kusema anampongeza swahiba wake mkubwa Dkt.JK baadaye akasema anawapongeza wana CCM kwa kumpa kura.Aliunga na kushuka mashairi kwamba,vijana hawana adabu, wanajifanya wanajua na wanadharau wazee.Ameongeza kwamba, aliyoyaona ndani ya upinzani ni kwamba, hawna dira, ni wavurugu...
Baada ya kikao cha Bunge kuahirishwa Katibu wa wabunge wa CDM John Mnyika aliomba wabunge wote wakutane.Nadhani suala la Shibuda litakuwa linajadiliwa.To me Shibuda ni wa kusimamishwa ubunge na kama ikiwezekana Kamati Kuu ya CDM imtimue mara moja.Kwa kilichojitokeza leo bungeni ni fedheha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.