Search results

  1. P

    kwa nini wazee tu??

    Serikali yetu hufanya kosa kubwa sana inapo ruhusu Wazee wa miaka 60 na zaidi,kuajiriwa kwenye kazi za usafishaji wa barabara na Madampo ya Uchafu.Pamoja na hilo lakini bado mishahara yao ni midogo sana.Wengine hulipwa hadi 35,000/= kwa mwezi.Wengine hukosa chakula nahata kuamua kutafuta mabaki...
  2. P

    Jini ataka 'Hati ya Muungano'!

    Bonge la soo ugangani" Ishu ilikua hivi: Jamaa alipandisha jini kwa mganga: Mganga: Nini unataka tukupe utoke kichwani? Jini: Nataka chano cha Halua, Kuku mwekundu na Ng'ombe, Mganga: Sawa utapata hakuna chengine? Jini: NATAKA HATI YA MUUNGANO. Mganga: Heh! We jini kweli au Maalim Seif sharifu...
  3. P

    Nafundisha muziki kwa nadharia na vitendo

    nipe elimu yako kimuziki{uliposomea} na uzoefu wako kimuziki...isije ikawa unajua primary music then ukaaza kubabaisha watu
  4. P

    Sera mbaya za Access Bank Tanzania zasababisha wafanyakazi kukimbia

    Mabepari wanatumiaa tatizo la ajira kuendelea kuexpoit maskin....ni shidaaa
  5. P

    Maamuzi ya mwanaume wa kweli haya hapa.

    si mpaka umgonge hyo mimba...kwani yeye hajitambui ndo ashike mimba yako?? nyo*****o
  6. P

    Nimeitwa kwenye Interview CRDB

    we unaulizi mshahara kabla hujapata kazi??? are u serious??????
  7. P

    USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    ---Asnte mkuu kwa hii useful advice...binafsi sitakua huru kuwa artificial father as if baba halisi is dead, but also sitakua na amani akifanya abaortion japo sijamshauri afanye abortion... For more than 2 years nimekua karibu na huyu dada na nimekua namshauri mambo mengi ya msingi that's why...
  8. P

    USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    mkuu sijamshauri atoe mimba ila yeye amenipa condition nikubali akiulizwa baba wa mtoto aseme ni mimi, otherwise hayupo tayari kumtambulisha aliempa mimba, so ataitoa
  9. P

    USHAURI PLEASE:NINUSURU UHAI AU NIMWACHE ATOE MIMBa

    Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened siku hiyo ameenda club akiwa na mvulana ambae alishawahi kumtongoza (ila hakuwahi kumkubali)...
  10. P

    HUYU MZEE ANAMSHANGAA MKUU BOFLO HAPo

    MziziMkavu vs Boflo
  11. P

    We muzee, unamdanganya nini mama wa watu...

    anamdanganya NYERERE hajafa...na wakichagua CDM nchi itakua na vita
  12. P

    is it appropriate?

    name has nothing to do with behaviour. it will be the sense of immaturity (nonsense) to treat someone negative just because they have the same name as an ex..
  13. P

    The opposite is true....

    Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa. Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto. Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri. Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini. Usiolewe sababu wazazi wanataka kumuona mkwe na...
Back
Top Bottom