Search results

  1. Z

    Nahitaji watoto wa nguruwe

    Michelin 0767502540
  2. Z

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Niunganisheni tafadhali 0767502540
  3. Z

    Maulid Kitenge hujui kutangaza mpira

    Kweli?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  4. Z

    Meli ya MV Skagit yazama

    Abiria watu wazima 250, na watoto 31, mungu saidia.....
  5. Z

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    James mbatia ni ccm damu, hamjui hilo?
  6. Z

    Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hivi Jk na chama chake hawajala hizi pesa za mafisadi? kwani ccm inajiendeshaje, c kupitia huo ufisadi tu jamani? ukiteuliwa lazima uipelekee ccm fadhila huo ndio mkataba...
  7. Z

    Mawaziri watakiwa kurudi Dar na Kurejesha magari Wizarani

    Hivi kama unamiliki vijisenti vya bilions na unaishi Dar hata ukiambiwa usitoke nje ya iko wapi tabu? Ingekuwa dom sawa, lakini jiji la maraha.....
  8. Z

    mtoto aliepata mshtuko

    mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow sana kimawasiliano, na hana balance hajatembea bado, ila anapenda sana kucheza kwa kurusha miguu na...
  9. Z

    mtoto wangu alipata shida wakati wa kuzaliwa

    sikumbuki vizuri, ni kama sikosei ni 4kg hivi ulikuwa mzuri tu...
  10. Z

    mtoto wangu alipata shida wakati wa kuzaliwa

    mwanangu alizaliwa kwa kuchelewa kabla ya mama kufanyiwa operetion na baadae aliishiwa nguvu kiasi cha kulishwa kwa kumkamulia maziwa ya mama. maendeleo yake kwa sasa, miaka2 inaonekana ni slow sana kimawasiliano, na hana balance hajatembea bado, ila anapenda sana kucheza kwa kurusha miguu na...
  11. Z

    CHADEMA yaishukia Ikulu...!

    jamani hizo pessa ni kwa ajili ya hongo za uchaguzi 2015, jk anazijua vyema kwanini awawajibishe?
  12. Z

    Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    mtoa mada hajui kwamba bado kuna maovu mengi ya maige ambayo hayajatolewa hewani.... kuna mengi tu.. habari ya ujangili wa tembo bado haijazungumziwa, watumishi kuhamishwa mara nyingi kama dili mfano bwana rwelamila, ngowi, madanya..... huyo rwela katoka mpanda hadi mwanza, ndani ya miezi...
  13. Z

    Mtoto kuota meno mapema

    ndugu wana jf vp kama mtoto ameota meno kwa wingi molars na premolars ndani ya mwaka hadi wa pili kasoro je ni abnormal condition??
  14. Z

    Ni umri gani mtoto anapaswa kutembea?

    Asalaam ndgu wanajamvi, nina mwanangu sasa anaelekea kufikisha miaka miwili lakini hajaanza kutambaa wala kutembea, lakini yuko active sana miguuni na mikononi... kulikoni jamani?
  15. Z

    Serikali yenye watu vipofu wakati mabank yanakufa.

    mabenki kama nbc, nmb na crdb zilizidisha dharau kwa wateja...... big up mpesa... pia
  16. Z

    Hukumu dhidi ya Lema ni pigo kwa CCM

    Nchi hii hatuana mahakama wala polisi,
Back
Top Bottom