Search results

  1. DALLAI LAMA

    DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
  2. DALLAI LAMA

    Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

    Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu. Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha. Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo nilishtuka Mh Ndumbaro hajui, narudia...
  3. DALLAI LAMA

    Nimjuavyo mshambuliaji wa Yanga 'Seiduu'

    Wasalaam Kwa miaka takriban minne sijaonekana humu jf,nimerudi Tena Kwa kasi Kichwa Cha habari kinajieleza. Mwaka 2004 Kuna michuano iliyokuwa inaandaliwa na Kituo Cha yosso Cha Rollingston ya Arusha iliyomwibua Erasto Nyoni na wengine. Moja ya timu shiriki no timu ya vijana wa Burundi...
  4. DALLAI LAMA

    Landcruiser hartop ya utalii iliyokatwa tayari yahitajika

    Wadau Nina jamaa yangu anahitaji cruiser coil ambayo ipo tayari kupakia wageni,yaani I we imeshakatwa na iwe fupi. Kuna mil 30 fasta. Hebu niPM
  5. DALLAI LAMA

    CHADEMA ongezeni Peter Kibatala na John Mallya tusipigwe bao EAC

    Wanaukumbi, Kama shida ni uchache wa wagombea wa CHADEMA, kwa kuwa sioni ushindani wa wabunge walioteuliwa napendekeza majina tajwa hapo juu yaongezwe. Ni maoni tu N.B Wabunge wa ccm wameweka itikadi mbele kuliko utaifa...ndani yao sikutegemea wamchague Kimbisa wamuache Macha aliyejieleza...
  6. DALLAI LAMA

    Lowassa alisema historia itamuhukumu Kikwete, yanatimia

    Habari za mida wakuu Inajulikana yaliyotokea Dodoma dhidi ya Edward Lowassa kubaniwa vilivyo na jamaa zake wa zamani Inajulikana pia vigisufigisu alizofanyiwa Lowassa alipoingia Chadema mpaka matokeo yanatangazwa. Alipoulizwa juu ya 'jamaa yake' kumfanyia yote hayo alisema maneno machache...
  7. DALLAI LAMA

    Kwa kauli ya Magufuli leo dhidi ya Makonda,naihitaji sauti ya Lema na Lissu

    Wanaukumbi Rejea kauli ya Rais Magufuli akimtaka Bashite kufanya kazi, binafsi imenifedhehesha sana. Ili angalau niipende tena Tanzania nahitaji Press Conference ya Mbunge WA Arusha Mjini Godbless Lema pamoja na Rais wa Tanganyika Law Society Tundu Anthipas Mughway Lissu,juu ya Bashite...
  8. DALLAI LAMA

    Ni kampuni gani hii iliyotoa faragha za Steve na Mama Wema?

    Habari wandugu Hili naona lina kero ndani yake. Kulingana na sheria,desturi zetu, in kosa kubwa kuingilia faragha za watu wawili,na Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo sio kwa visababu vidogo vidogo. Ningetamani niifahamu kampuni ya mawasiliano iliyodukua taarifa za sauti za wawili hao ili...
  9. DALLAI LAMA

    Makonda ipo siku utamtafuta Warioba na Malechela kama wazee wakuombee msamaha kwa uliowachafua

    Wanaukumbi Namkumbusha Paul Makonda ajitafakari mbeleni, ajiulize alipo Magesa Mulongo. Siku zote kuna kupanda ngazi na kushuka, matatizo huanza na Legasy mbaya ulioacha hasa kwa kuuweka utofauti na watu fulani wakati ukiwa na mamlaka Angalia Mbowe na wengineo watakufungulia kesi za kutosha...
  10. DALLAI LAMA

    Hili la Naibu Waziri wa Mambo ya Nje kujiandalia ubunge kwa Resources za Serikali halijaonekana?

    Wadau TBC muda huu inarusha kipindi maalum cha Naibu waziri Suzan Kolimba, huku akitumia gari la serikali ktk zoezi Lenye tafsiri ya kujiandaa na ubunge kule Ludewa TBC inapata nini hapo? Kuna Malipo? kama hakuna mbona hatuoni za wenye harakati wengine? Mbona Naibu waziri hamwagi misaada...
  11. DALLAI LAMA

    Ngumu lakini hakuna namna: Rais Magufuli mteue Mwigulu wizara ya fedha

    Amani iwe kwenu.. Hata kama nitakuwa upande wa pili wa shilingi ila huyu bwana wa Iramba ana mazuri yake pia. Kwa tulipofika naomba Rais John Pombe Magufuli amteue Mwigulu awe waziri wa fedha. Sababu; 1. Akiwa naibu serikali iliyopita alimfunika kabisa Saada Mkuya na kuleta matokeo chanya. 2...
  12. DALLAI LAMA

    Hamfrey Polepole umelisahau hili?..Umekurupuka.

    Wadau Nachukua fursa hii kumkumbusha katibu wa Itikadi na Uenezi haya machache kuifuta kabisa hoja yake ya Upinzani kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya serikali 1. Amesahau kuwa wapinzani hawana pa kusemea baada ya mikutano ya hadhara kufutwa.. je wananchi wanawasikia wapi? 2. Polepole hajui...
  13. DALLAI LAMA

    Edward Lowassa fungua moyo, tuombee

    Wadau Najitokeza kuzungumza machache na mshindani wa Urais 2015 Edward Lowassa. Mh inawezekana matokeo ya urais yamekukwaza sana.. Edward yawezekana matusi uliyotukanwa kwa hakika umemuachia mungu.. Baba Fred yawezekana unafunga na kuomba ili mungu akupe moyo mwepesi, uzidishiwe hekima ,mungu...
  14. DALLAI LAMA

    Suala la Lema, LHRC na wengineo mtaumbuliwa na Amnest International

    Wanaukumbi Lengo la Mada hii ni kuulizia walipo Legal and Human Right Centre kutoa hata neno moja lisemalo 'sio tu haki itendeke.. ionekane ikitendeka.' Itakuwa sio kuingilia mhimili ule hapana.. ama mnawasubiri Amnesty International waseme, ama Human Right Watch watoe maneno haya juu ya...
  15. DALLAI LAMA

    Gambo sitisha kwa muda zoezi la ugawaji pikipiki, umepigwa chenga ya mwili

    Wanaukumbi Jambo sana.. Nakutumia salaam Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wangu wa Arusha. Nichukue fursa hii kushauri machache hata kama mie ni Mpinzani wote tunaweza kuwa na nia njema katika kuwasaidia vijana hasa wasio na mitaji Mh ulitoa agizo kwa watendaji wa kata na mitaa kupita ktk vituo vya...
  16. DALLAI LAMA

    Yupo Wapi Lizaboni?

    Wanaukumbi Baada tu ya Serikali mpya ya awamu ya 5 kuanza kazi.. makada wao walikuwa humu wakiimba vibwagizo vya Majipu na watumishi hewa. Wapo wapi Sikh hizi hao jamaa wakiongozwa na Lizaboni..jingalao na Simuyu Yetu?
  17. DALLAI LAMA

    Lema Kahamishia Mapambano Bungeni,Tofauti na Bunge Lililopita

    Wanaukumbi. Umaarufu WA Mbunge WA Arusha Mjini ulijijenga zaidi ktk maandamano ya kumpinga meya aliyepatikana kwa njia zisizo halali katika awamu iliyopita. Aliongoza maandamano,akawa anakamatwa na polisi hapa Arusha Mara kwa Mara mpaka jina lake likawa kuubwa nje ya bunge. Arusha wanashangaa...
  18. DALLAI LAMA

    Lema kahamishia mapambano Bungeni, Tofauti na Bunge Lililopita

    Wanaukumbi. Umaarufu wa Mbunge wa Arusha Mjini ulijijenga zaidi ktk maandamano ya kumpinga meya aliyepatikana kwa njia zisizo halali katika awamu iliyopita. Aliongoza maandamano,akawa anakamatwa na polisi hapa Arusha Mara kwa Mara mpaka jina lake likawa kuubwa nje ya bunge. Arusha wanashangaa...
  19. DALLAI LAMA

    Magufuli karibu chuo cha Mandela arusha,pitia Mandela road.

    Barabara ya kuelekea ktk chuo hiki toka mjini arusha ipo taabani. Zamani iliitwa Old Moshi Road,siku hizi inaitwa Mandela Road isiyo na hadhi kwanini changarawe,imeharibika licha ya kudaiwa kutengewa fungu la kuweka lami mpaka sasa Tanroad hawana majibu. Rais angefanya ziara ya kushtukiza ili...
  20. DALLAI LAMA

    Wafanyakazi Star tv, tafuteni kazi sasa

    Wadau Ni muda muafaka kwa akina Wambura Mtani na akina Marcus kutoka Sahara media kwani huko 'hakulipi' Sasa wamepata fursa ya kusafiri safiri mikoani kuangalia ajira nyingine kwani miezi 3 walofungiwa na serikali ni nyingi,na kama kazi hailipi wamepata fursa sasa ya likizo ya lazima.
Back
Top Bottom