Search results

  1. DALLAI LAMA

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Umemsahau Dr Khumalo Grant Kekana
  2. DALLAI LAMA

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Idris gana Gueye Sunday Oliseh Bonar Sarr TikoTiko William Fanbulehr Pape matar Sarr Rigobert Song Mbuyi Jean Marii Ibrahim Sangare Nicholaus Haller Rodjers Matto Che fondoh Malone.
  3. DALLAI LAMA

    Mambo 10 niliyoyaona Leo Singida Vs Simba

    Nalia na Ngenya
  4. DALLAI LAMA

    DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Hiyo 4 wheel inazuia gari kurudi nyuma ikifeli break? Lile mwamba inastahili kuchongwa
  5. DALLAI LAMA

    DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Soma dokezo vizuri..nimeizungumzia sharp kona barabara yenye perving wakti unapanda iongezwe mita hata mbili,gari mara nyingi haimalizi hugota ktk mwamba.
  6. DALLAI LAMA

    DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Ahsante mode kuweka dokezo..ila NCAA wanajitahidi sana kutengeneza barabara zao..Tatizo ni pale ktk kona,very narrow halafu sharp
  7. DALLAI LAMA

    DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
  8. DALLAI LAMA

    Mtoano katika Kombe la Shirikisho ni mgumu kuliko Champions, Yanga wajipange

    Jana uliwaambia,Club Africain sio masihara
  9. DALLAI LAMA

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    R.I.P Lyatonga..tulipigwa bomu tukiwa na Lema Mwaka 2005 Pale Friends Corner Arusha Nikampa maji ya Kunawia Uso,Sijapost kitu kupitia ID hii nadhani toka 2017.Kwa heshima yake Nimejitokeza
  10. DALLAI LAMA

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Hivi huyu Aligaesha Aminiel wa Muhimbili yeye hapangiwagi majukumu mengine? Namsikia happy toka mwaka 2006,au hospitali ni yakwake?
  11. DALLAI LAMA

    Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

    Wanamichezo, asalaam Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika Kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi Tuna Diplomasia mpaka ya michezo, kitendo cha Banda kuropoka ovyo tukirejelea mechi ya Kaiser Chiefs akiwapa mbinu...
  12. DALLAI LAMA

    RS Berkane yapigwa faini kwa vurugu Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC

    Ahsante njaakalihatari ..Simba ni shida
  13. DALLAI LAMA

    Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

    Pamoja na kufanya sub timu nzima ...duuh,wachezaji wa mkopo
  14. DALLAI LAMA

    Wachambuzi walalamika Kudhalilishwa na Simba. Wasema wataigomea Club ya Simba

    Golikipa mpya wa Yanga ni Mzee,Djuma mechi moja gereji kama gari la mkaa
  15. DALLAI LAMA

    Hongereni Yanga kwa usajili mzuri 2021/2022

    Huyu golikipa wa Uto toka mali ni mzee,Yanga wamepigwa..hakuna miaka 25 pale...Ya Saido kuwa majeruhi mara kwa mara yatajirudia kwa Djuma
  16. DALLAI LAMA

    Value ya Mchezaji Husika Kisoka

    Tshabalala aende anapoona kunamfaa..analeta uswahili ndani ya Club kubwa.
  17. DALLAI LAMA

    Wachambuzi kwanini mnataka sana Mohammed Hussein abaki Simba? Meneja wake ndiye atakayemponza kwa uswahili wake

    Simba iachane na Tshabalala,,ameshine kwa kuwa yupo simba.. Acheni Aondokeeeee
  18. DALLAI LAMA

    Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Aondoke tu,yeye na Manager wamenukera. Haya masuala yangeongelewa taratibu bila kushirikisha nzi
  19. DALLAI LAMA

    Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

    Mimi natamani ili iwe funzo kwake yeye,kwani ana manager mbabaishaji..aondoke tu tunae Gadiel Michael Approach yake kupitia manager imekera wanasimba wengi
Back
Top Bottom