Search results

  1. LEARNED BROTHER

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN Leo ndio kesho tuliyoingoja jana Baba J
  2. LEARNED BROTHER

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN asante kwa mwendelezo. Eid Mubarack
  3. LEARNED BROTHER

    Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    By then anazungumza haya Waziri wa Mazingira alikuwa Bw. January Yusuph Makamba.. "Dugu moyaaaa"
  4. LEARNED BROTHER

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Asante. Umegusia sehemu ya kile nilichotaka kugusia. Mercy ataendelea kuwa na muunganiko na Dokta siku zote za maisha yake kwa sababu tayari kuna kiumbe kinachowaunganisha. Hata kama hawatakuwa pamoja iwe kimawasiliano au kimahusiano, daima watabaki kuwa Wazazi wenza. Ingekuwa vyema, endapo...
  5. LEARNED BROTHER

    Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Inasikitisha sana kuona jambo hili ni kama linafanyiwa mzaha licha ya kutawaliwa na malalamiko mengi toka kwa wananchi. Kauli zimekuwa nyingi kuliko uhalisia wa vitendo, so sad
  6. LEARNED BROTHER

    Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    [emoji28][emoji28] naikumbuka iyo
  7. LEARNED BROTHER

    VODACOM wamesema, dakika zilizobaki zinapaswa kutumika usiku kuanzia 5.59 mpaka 11.59 Alfajiri

    Hii pia majuzi imemtokea jamaa yangu wa kijiweni. Yeye amezoea kujiunga kifurushi hicho kwa 30k kila mwezi ambapo hupata Gb 10 na muda wa maongezi. Cha kushangaza, alipojiunga na kupiga simu akaambiwa hana salio. Baada ya kujiridhisha akakutana na hali hiyo, kwamba muda wa maongezi aliojiunga...
  8. LEARNED BROTHER

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Asante sana.. binafsi nitasubiri kwa hamu kusoma toka kwako....
  9. LEARNED BROTHER

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Poleni sana. Mungu akawe mfariji wenu ktk kipindi chote cha majonzi. Pole sana mkuu
  10. LEARNED BROTHER

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Story tamu kinoma. Nimewahi siti
  11. LEARNED BROTHER

    Hata kama umeoa au kuolewa ila kuna yule mpenzi ambaye huwezi msahau

    ni "Soul tie" Binafsi kuna baadhi ya nyakati huwa na-experience jambo hilo. Kunae ex wangu mmoja tuliachana yapata miaka mitatu iliyopita, lkn sometimes namkumbuka japo si kwa kiwango cha kuathiri mahusiano niliyonayo.
  12. LEARNED BROTHER

    Ushauri: Nimemuacha mume wangu yeye hataki kumuacha mkewe

    "Mwanamke mpumbavu ataivunja Ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe"
  13. LEARNED BROTHER

    Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    [emoji1787][emoji23][emoji28] nimecheka kama mazuri
Back
Top Bottom