Search results

  1. S

    Wazo la Robo Mwaka : Serikali ya CCM Inapokosa Uhalali wa Kuongoza - 1

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka! Majuzi, tarehe 31 Machi 2013 ilikuwa siku ya mwisho kwa kumaliza robo ya kwanza wa mwaka 2013. Miezi mitatu imekatika huku wananchi wakizidi kukosa matumaini. Ni dhahiri kwa kuangalia matukio ya miezi hii mitatu tu, utaona kuwa CCM na serikali yake wamepoteza...
  2. S

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenukuliwa akikanusha kutanganza kuwa Dkt. Slaa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015. Alifafanua kuwa, alichokisema katika Mkutano wa hadhara Karatu mwishoni mwa wiki ni kuwa; 1. CHADEMA haina Mgogoro bali ni mitazamo...
  3. S

    Nani Ana Hukumu Za Mashauri Haya?

    Wakuu, Naomba kama kuna mwenye nakala ya hukumu za mashauri yafuatayo; 1. Shauri la Uchaguzi Igunga 2. Shauri la Uchaguzi Sumbawanga Mjini 3. Shauri baina ya Serikali na Walimu (hili la mgomo wa juzi) 4. Shauri baina ya Serikali na TUCTA (Mgomo wa 2008 nadhani) 5. Shauri baina ya serikali na...
  4. S

    TUNTEMEKE, Mbaya wako CHADEMA ni nani?

    Ndugu yangu TUNTEMEKE, Sijaangalia historia huko nyuma kuangalia kama kuna mtu aliwahi kuanzisha mjadala unaokuhusu, lakini napenda kuchukua fursa hii kuanzisha mada mahsusi dhidi yako. Tangu nijiunge na rasmi JF (ingawa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa forum hii tangu enzi za Jambo)...
  5. S

    Career opportunities

    Wakuu, Fursa Nyingine za Kazi.Tutumie Jukwaa Hili kuendelea kupashana habari kama hizi nzuri nzuri. Nawasilisha
  6. S

    Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    UTANGULIZI Wote tulisikia kwenye vyombo mbalimbali vya habari juu ya uwepo wa mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwaniulioitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukiwa na maudhui ya Kutoa Msimamo Wake Juu ya Masuala Yanayogusa Mustakabali wa Taifa hususan katika maeneo makubwa matatu: (a)...
  7. S

    Woga wa Vuguvugu La Mabadiliko? Mkutano wa CHADEMA Mto Wa Mbu Wazuiwa

    Katika kile kinachoonekana kutishwa na mwitikio wa wananchi wa Mto wa Mbu, viongoji vyake na maeneo ya jirani kwa mkutano mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanyike siku ya Jumamosi, 02/06/2012, serikali kupitia jeshi la polisi Wilaya ya Monduli imezuia Mkutano huo. Taarifa ya uongozi wa CHADEMA Mto...
  8. S

    Vuguvugu la Mabadiliko: CHADEMA kuwasha moto Monduli

    Katika kuendelea kueneza elimu ya Uraia, kuimarisha Chama na kueneza dhana ya Vuguvugu la Mabadiliko(M4C), na kuzindua Ofisi ya Chama Kata, viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wikiendi hii watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Mji Mdogo wa Mto wa Mbu ulipo...
  9. S

    Imebainika; CCM Haikupendwa Tangu 1977

    Wakati naanza kidato cha kwanza enzi zile za Chama Kimoja, mojawapo ya masharti ya shule yalikuwa kuwa mwanachama wa UVCC. Mimi nilikuwa miongozi mwa wanafunzi wachache walipinga na kukataa mchango ule wa Shilingi mia.Nashukuru nilifanikiwa kuwasilisha hisia zangu. Leo imeendelea kubainika tena...
  10. S

    Mh Ghasia : Tunaomba Utekeleze Ahadi zako na Pia Ilani Ya CCM

    Jana (08/05/2012) katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV, mtangazaji Renatus Mubabuzi aliripoti juu ya kuharibika kwa mkokoteni uliokuwa unatumiwa na wananchi wa Kiromba/Nanyamba, Wilaya na Jimbo la Mtwara Vijijini kwa ajili ya kuwabebea wagonjwa na kuwapeleka katika vituo...
  11. S

    Hello

    Wana Bodi, Naomba nichukue fursa hii kujitambulisha kwenu. Naomba mnilee, mnisaidie na mnikuze katika maadili ya forum. SEBM
  12. S

    Mh Mnyika, Tunakuomba Ukarabati Barabara; NSSF Wameharibu zilizopo Ubungo

    Mh Mbunge, Sisi wapiga kura wako wa Ubungo, hasa maeneo ya Plaza na Ubungo NHC, tunakuletea kilio chetu cha ubovu usiomithilika wa barabara za mitaani. Ni kwamba, Shirika la Hifadhi ya Jamii(NSSF) Mkoani wa Kinondoni, wamekuwa kltika zoezi la kuweka mfumo mpya wa maji taka na hivyo kulazimika...
  13. S

    Mwigulu Nchemba: Umeihujumu CCM Arumeru?

    Kaka yangu Mwigulu, Awali ya yote nikupe pole kwa kupoteza Jimbo la Arumeru Mashariki kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kaka, Utakumbuka tangu mchakato wa Kura za Maoni, kulikuwepo tetesi ndani ya CCM kwamba wewe, Nape na wanachama wengine hamkuwa mnamuunga mkono Sioi.Ulikaririwa...
Back
Top Bottom