Search results

  1. zimwimtu

    Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Hebu ngoja kwanza... sisi wanainch tuitoe ccm kushirikiana na chadema alaf madarakani akae nani? CHADEMA? kweli bado unadhani chadema bado wanafaa kupewa inch hii??? CCM tumeichoka, lakin ni bora ccm kuliko chadema. Tutafanya hivyo siku kikitokea chama makini kuongoza serikali lakin sio chadema.
  2. zimwimtu

    Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

    huyu ana undugu na hussein mwiny ama?
  3. zimwimtu

    Uchaguzi 2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    ha ha ha.. keep up the dream boy.
  4. zimwimtu

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    ha ha ha ha... bavicha mna matatizo sana. Anaandika mmoja alaf mnaanza kukomenti wenyewe.. Ni kweli hatujapanda madaraja, ni kweli mishahara haijapanda, lakini pesa ambayo tungeongezewa tunaona inavyotumika kwa mambo ya msingi kabisa kwa maendeleo endelevu ya inch yetu. Nyie endeleeni...
  5. zimwimtu

    Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

    hakuna kesi ya kujibu.. hata wanasheria wa serikali wanajua hilo. hizo ni kash kash tu kuwanyamazisha wanaokuwa na mawazo mbadala dhidi ya yule aliyewateua. ataachiwa huru tu.
  6. zimwimtu

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    yote yale yale.. yaan ccm=cdm=ccm=cdm.... ndo tunasubiri mje kutwambia tuwachague ninyi badala ya ccm. tutawauliza kwa nini ninyi na sio ccm, hamtakuwa na la kusema sababu wote ni wale wale.
  7. zimwimtu

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    naam! hilo ndo neno la msingi. ili kina sie tusiopenda nepotism tupate pa kukimbilia. sasa huku na kule mambo yale yale, twende wapi? mnaboa sana
  8. zimwimtu

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    dada yek lissu aliitwa christina lissu, na ni kweli alikuwaga mbunge viti maalum. hilo usibishe
  9. zimwimtu

    Dada yake Joshua Nassari avuliwa udiwani, Wabunge 7 wapendekezwa kuvuliwa nyadhifa za kwenye chama

    sawa.. sisi tunaacha kufuatilia mambo yenu. na ninyi msije kutuomba kura. ha ha ha ha..... yaani ka umepanic vile
  10. zimwimtu

    Rais Magufuli atoa Bilioni 31 kupeleka umeme vijiji vyote Ruvuma

    tunashukuru kwa taarifa. ni jambo zuri kafanya. tunampongeza kwa kutimiza wajibu wake wa kukusanya kodi na kufanya maendeleo.
  11. zimwimtu

    Rais Magufuli: Ndege ya Serikali iliyokabidhiwa kwa ATCL ilikuwa ichorwe Twiga kwa Tzs mil 200, nilivyoingilia ikachorwa kwa Tzs mil 5

    ikifutika rangi tutachora tena, ikifutika tutachora tena na tena.. mpaka ifike mara 40 ndo tutakuwa tumefikia gharama ya kuchora kwa mara moja ambayo wale jamaa walitaka tukachoree kule nje. Pengine kufikia kuchora mara 40 itakuwa ni miaka 40. sio mbaya
  12. zimwimtu

    Tetesi: John D Pallangyo kupita bila ya kupingwa kwenye jimbo la Arumeru Mashariki.

    akipita bila kupingwa hakuna pesa itatumika. hakutakuwa na uchaguzi. wanamtangaza wanamwapisha maisha yanaendelea. Au unadhani kule temeke kuna hela ilitumika?
  13. zimwimtu

    Je, ujio wa ACT-Wazalendo mpya ndio mwisho wa umaarufu wa CHADEMA?

    hata slaa alipendwa sana kuliko hata huyo Lissu. yupo wapi saiz???? siasa za bongo achana nazo. utaumiza kichwa tu, fikiria mambo ya kukuletea maendeleo binafsi.
  14. zimwimtu

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

    dr shein anatokea pemba ndugu.. get your facts right Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. zimwimtu

    Kisheria muswada huwa haupingwi mahakamani

    Mleta mada amaewekeka vifungu vya kisheria kusapoti hoja yake... hebu weka na wewe vifungu kusapoti hoja yako.
  16. zimwimtu

    Kisheria muswada huwa haupingwi mahakamani

    NI KWELI inapingwa sheria ambayo ishatiwa saini na rais, lakin kupinga muswada sio sawa kwa sababu haijawa sheria. Bado kuna room ya kutengua vifungu vinavyojadiliwa huko bungeni. kama wakiupitisha kama ulivo, na rais akatia saini yake kwamba ni sheria, hapo ndo tunaenda mahakamani sasa kupinga...
  17. zimwimtu

    Tanzania yakusanya trilion 7.37 ndani ya miezi 5, yaongoza kwa kasi ya Uchumi SADC na EAC

    YOU HAVE MADE A GOOD POINT, TENA BILA KUMTUKANA MTU. AHSANTE SANA
  18. zimwimtu

    Ni wakati sasa Tanzania kushikana kikamilifu na Rais wetu

    lisu, azory, wamefikwa na masaibu zaidi ya mwaka sasa. walipiga kimya. huyo mawazo ndo kabisaaa.. miaka imepita, hawakuwahi kuinua kinywa chao kutoa matamko. Makonda juzi katangaza kuwashughulikia mashonga ndo wanatoa matamko. Mwenye akili keshajua, Ushoga hapa ndo ajenda,. Hayo mengine...
  19. zimwimtu

    Kipi kitatokea endapo Tanzania itawekewa vikwazo vya kiuchumi?

    ndugu mbona la ushoga hulisemi?? amablo ndio limewatoa mafichoni
Back
Top Bottom