Search results

  1. C

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    si tuwaache jamani nani asiyefanya mambo haya
  2. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    tusimhukumu kanumba huyu binti ni muongo sana hata polisi aliwadanganya umri anasema ana miaka 18 ili aonekane ni mkubwa kisheria!inawezekana kabisa alimdanganya hata umri kanumba,ikiwa alikuwa anaendesha na gari na leseni anayo alikwezaje kuipata hii leseni kama hakudanganya umri,yaani ana...
  3. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    mhh mbona sielewi jamani!au walikuwa wanaigiza hapa?
  4. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    kwanza huyu baba wa lulu naye awe na hekima ni baba gani anashindwa kumpeleka binti yake shule akapate elimu? Eti alitegeme kanumba ndio awe mwalimu wake wa kumfunza!!!kumfunza nini? Wewe umemtelekeza mtoto kajiamulia kujilea mwenyewe nahiyo ndio ajira na matunda aliyovuna ndio hayo. Pili...
  5. C

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    tuwe makini tunapoleta habari JF! nini unachotueleza hapa yote tunayasoma ktk magazeti hata clouds walimuweka hewani Msipi na isitoshe Shibuda alishasoma barua ya baba yake kanumba.
  6. C

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Rip kanumba, gone too soon, you were doing very good
  7. C

    Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

    Pia inawezekana hakupendi,kama anakupenda hana sababu ya kuwa mchoyo. Hiyo period ni sababu ya kukukatisha tamaa uchoke kumfuatilia.
  8. C

    Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

    Mie nafikiri bado hajaamua kama anataka kuwa na wewe au bado anaangalia kwengine.period kila siku ndio kisingizio!!
  9. C

    Tips-jinsi ya kusafisha uke

    Sidhani kama ni sahihi kutumia matunda kama ndimu au limao kujisafisha uke kwani yale matunda ni makali mno na yanaweza kusababisha michubuko sehemu za ukeni.
Back
Top Bottom