Search results

  1. B

    HESLB, ZEEA zasaini Makubaliano kuwezesha wanufaika mikopo Kujiajiri

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) zimesaini hati ya makubaliano yenye lengo la kutafuta fursa za ajira kwa wanufaika na mikopo ya elimu ya juu ili kuwawezesha kurejesha. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika...
  2. B

    Nahitaji mkopo sh 1.5 million

    Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
  3. B

    Maumivu kwenye kifua upande wa kushoto

    Hii hali imenianza Jana sasa sijui ntakua na shida gani, nikikaa na nikilala ndo nasikia hayo maumivu. Mnisaidie nateseka sana!
  4. B

    Nawezaje kuagiza pikipiki toka China?

    Naombeni maujanja ya kuagiza pikipiki toka china. Huko naina ni bei nafuu zaidi kuliko kununua hapa bongo. Thanks Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  5. B

    Nimepoteza muda kusoma Shahada

    Kusema ukweli nimepoteza muda wangu na pesa zangu kwenda shule maana mpaka leo hii sijaona mafanikio yoyote yale kupitia kwenye elimu Nadhani hata Serikali imepoteza pesa zake kunisomesha maana mpaka leo zaidi ya miaka kumi sijalipa hayo mahela ya HESLB...... to he'll
  6. B

    Toka nimalize Degree yangu mwaka 2011 mpaka leo sina ajira

    Mimi nilimaliza degree yangu mwaka 2011 lakini mpaka leo sijapata ajira. So what can I do?
  7. B

    Nimepigwa faini sh 50,000/- hapa barrier ya usagara kwa kukojoa hovyo. Hii ni sawa au sio sawa?

    Naandika kwa masikitiko makubwa Sana hii inenitokea Jana usiku hapa usagara je ni sawa?? Na Kama sio sawa je nianzie wap kudai haki yangu...ushaidi huu hapa Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
  8. B

    Naomba kujua Namna ya kuondoa kutu kwenye tenki la pikipiki

    Msaada kuhusu Kutoa kutu kwenye tenki la pikipiki je nitumie njia gani au Kuna dawa spesho .. . Msaada wandugu
  9. B

    Kusoma kisha kukosa ajira ni kupoteza muda?

    Nimekaa chini nikajiuliza sana hivi ukisoma halafu ukokosa kazi je utakua umepoteza muda wako? Maana kama umetutumia miaka zaidi ya mitano kusoma tena kwa presha za walimu na malecturer halafu hamna chochote unachokipata kupitia hayo mavyeti, then unakuja kuwa machinga, thamani ya elimu yako...
  10. B

    Naomba msaada mtoto kuwa na tumbo kubwa

    Jamani nina shida mtoto wangu anatumbo kubwa kiasi kupita kawaida lakini nimejaribu kuchunguza nimeona sio wa kwangu tu hata watoto wa jirani. Je, ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini. Nawasilisha
  11. B

    Ukitaka kufuta upinzani fanya yafuatayo

    1. Boresha elimu na pia toa elimu bure bila michango kuanzia chekechekea mpaka chuo kikuu. 2. Fanyeni mabadiliko na kutafutaa masoko ya ndani na kimataifa kwa wakulima na wavuvi. 3. Toa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuuu kwa wakati na siyo kuwanyima mikopo au kuwapatia pungufu. 4. Boresha...
  12. B

    Ifahamu nguvu ya kutokata tamaa kupitia Thomas Edison, mvumbuzi wa balbu za umeme

    Mvumbuzi mkubwa kuliko wote katika historia ya ulimwengu. Ubora wa maisha ya binadamu wa sasa una deni kubwa na kazi ya Edison. Elimu yake ya darasani ilikuwa ndogo, lakini aliweza kujipatia haki miliki (patents) 1,093 za vumbuzi kubwa mbalimbali huko Marekani, zikiwemo zile za balbu ya umeme...
  13. B

    Nani mkali kati ya Porus mfalme wa India na Alexander wa Ugiriki?

    Habari wakuu bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Natumaini wote tumeshasikia mengi sana kuhusu alexander the great ila kuna mambo machache yananitatiza na tusaidiane kujuzana kuhusu mtawala huyu. ALEXANDER NI NANI Alexander III wa Macedonia alizaliwa 20/21 July 356 BC na...
  14. B

    Miaka 57 ya Umoja wa Nchi Huru Afrika: Je, kuna matumaini ya amani, diplomasia na demokrasia Afrika?

    Umoja wa nchi huru za Afrika ndio kimbilio na tegemeo la kutatua changamoto mbalimbali za Afrika ikiwemo vita, ukame, njaa, maradhi na viashilia vya uvunjifu wa amani na ustaraabu wa maisha ya waafrika, kiujumla siasa za kimajumui ni falsafa zenye mawazo ya kuitaka Afrika kuungana pamoja ili...
  15. B

    Mtazamo wa kibiashara na kiuchumi

    Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kupata maendeleo makubwa kiuchumi duniani pasipo kuweka Akiba.Jiulize Mwezi January umeisha, Je! umeweka Akiba kutokana na kipato ulichotengenezaMwezi January kweli? Au ndo imeishia kulipa madeni na kupunguza Changamoto tu. Katika maswala ya uchumi na maendeleo...
  16. B

    Shida za Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam: Dhamana ya uongozi isiwahukumu viongozi wa DARUSO

    Nimekopi kutoka kwa askofu. Sakata la kusimamishwa masomo kwa viongozi wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) limeugusa sana moyo wangu. Viongozi hao akiwemo Rais wa DARUSO wamesimamishwa masomo yao kwa sababu ya kusimamia na kuwakilisha masuala ya wanafunzi...
  17. B

    Mfahamu Dkt. Zakir Naik

    (MAZINGE WA INDIA) Dr. Zakir Naik Dr. Zakir Naik kwa wale watazamaji wa TV iitwayo Peace Tv inayo endesha vipindi vya dini sio sura ngeni kwa mtaalamu huyu. Dr. Naik ni mwanaharakati wa dini ya Kiislamu nchini India, aliejizolea umaarufu mkubwa sana kwa yeye kuzunguka nchi mbalimbali za bara...
  18. B

    Historia ya mji wa Tabora na upatikanaji wa jina la Tabora

    Tabora ni moja ya mkoa unaopatikana upande wa magharibi mwa nchi ya Tanzania. Ni miongoni mwa mkoa mkubwa nchini Tanzania. Ukiwa mkoani Tabora unaweza kufika kwenye wilaya zenye historia na vivitio vya utalii kama wilaya ya Sikonge, Uyui, Urambo, Nzega, Kaliua, Igunga Na Manispaa Ya Tabora...
  19. B

    Fahamu kuhusu hatimiliki ya shamba au kiwanja

    Salaam ➡ Hati miliki ni nini? Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa wa eneo, na ramani za upimaji za majirani. ➡ Hati miliki inapatikana vipi? Hati miliki inapatikana baada ya eneo husika kuandaliwa ramani ya...
  20. B

    Ijue nchi ya Madagascar

    Jamhuri ya Madagascar ni nchi ya visiwa (island country) vidogo na vikubwa vinavyopatikana katika bahari ya Hindi vikiwa na ukubwa wa square mita 228,900. Madagascar ni nchi ya kisiwa namba mbili kwa ukubwa duniani ikitanguliwa na Indonesia. Huku kisiwa cha Madagascar pekee kikishika namba nne...
Back
Top Bottom