Search results

  1. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Mimi nipo Kilindi-TANGA, natafuta mwalimu anayehitaji kuja huku aliyeko mikoa ya PWANI, MBEYA, IRINGA au RUVUMA. Nitumie PM. Karibu.
  2. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi elimu msingi. mimi nipo wilaya ya kilindi mkoani Tanga. napendelea kwa aliyeko mikoa ya Iringa, Mbeya, Pwani, na Ruvuma. aliye tayari anitaarifu kupitia hapa. PM kwangu au andika hapa chini.
  3. E

    Natafuta mume wa maisha tafadhali

    hapana wa 4 sio. Siko tayari kushare mume.
  4. E

    Natafuta mume wa maisha tafadhali

    Wadau, mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo Natafuta mwanaume wa kuwa naye ktk maisha awe na umri wa kuanzia miaka 26-40, awe anajitegemea kiuchumi(awe anajituma...
  5. E

    Hivi kwel hii ni haki?naulza ni haki?naishukuru tume ya sanse.

    mh! mbona sijaelewa sasa. pesa za sensa na TCU wapi na wapi? nijuzeni.
  6. E

    Kwanini Kikwete hatembelei mradi wa treni ya Mwakyembe Dar?

    watu bwn wanacho kiwaza ndicho wanacho kiongea bila kufikiria Jk atazindua nin kama ripot aliyopelekewa inasema mrad up
  7. E

    Picha:Mwanaharakati wa kutetea Haki za Wanawake na Watoto akutwa amekufa Hotelini

    Jaman sasa tumefika mwisho inatupasa tufumbuke macho tanzania imeuzwa hivyo tupige chin ccm na kuchagua chadema.
  8. E

    Picha halisi ya Miss Chit Chat 2012-2013

    hamna kitu hapo
  9. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kigoma hapana mkuu. nataka mikoa niliyoitaja.
  10. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    usimtishe wewe. kwani mchomoro, k'sera, masugulu kuzuri?
  11. E

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo halmashauri ya wilaya kilindi-Tanga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aliyeko mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUVUMA.
  12. E

    UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    Mh! haya na tuone sasa vita ya kuzuia wizi wa kura
  13. E

    Tunduru m4c

    Mh! Tunduru? Kwa nijuavyo hakuna sehemu ngumu kama Tunduru kwa mabadiliko ya kisiasa. CUF ndicho chama pekee cha upinzani chenye nguvu. CHADEMA wana diwani mmoja tu. Bwana Kazembe wa kata ya LIGUNGA. Lakini wana mtaji tayari, kwani ktk kata ile CHADEMA imeigalagaza CCM na CUF mihula...
  14. E

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    Mh! Vizuri lakini watawa OSCAR KAMBONA! Endeleeni tu na wivu wenu.
  15. E

    Kumewaka Songea: Leo CHADEMA kufanya maandamano kupinga mgao wa umeme.

    nasikitika natumia simu ningekupa bonge la LIKE.
  16. E

    Kumewaka Songea: Leo CHADEMA kufanya maandamano kupinga mgao wa umeme.

    Pamoja tutafika. Wapeni moto, msisahau 2015 kumng'oa Nchimbi. Na mwambieni MWAMBUNGU na mwenzio MAIKO KAMHANDA wale vijana waliowaua wanawasubiri, ipo siku bwana atalipa vivyo hivyo walivyofanya.
  17. E

    Vitoto vya kibongo kumbe vitamu

    We msomali? Kuna umuhimu wowote wa kutaja race? Then unakuja unatudhalilisha wanawake hapa? Umesoma kweli wewe? Nina mashaka na umri wako. Labla ni dogo unayebalehe. Acha kutudhalilisha wadada. Kama huyo mlikubaliana ndo umtangazie? Jitu zima ovyo!!
  18. E

    "For serious women who want to get marriage"

    NitakuPM wakati wa mchana.
Back
Top Bottom