Search results

  1. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    nikweli huyu jamaa mimi nimemkubali na nimwanadiplomasia wa ukweli radio za nje kama bbc,voice of america etc wanamtumia vizuri kuliko media zetu za hapa nyumbani
  2. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    kweli haya majina ya walio chaguliwa yanatia moyo na kama kweli hawa walichaguliwa wanaipenda inchi yao basi tunaomba watende haki MUNGU IBARIKI TANZANIA
  3. K

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    jamani mimi nashindwa kuelewa,iweje hukumu imetoka jana saa 4 asb,halafu baadhi ya viongozi wa ccm wanapo hojiwa wanasema wamejiandaa vyema kuchukua jimbo.je?wamejiandaa saa ngapi?au walijua matokeo muda mrefu na wakapata muda wa kujiandaa?
  4. K

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    poa mwana tuletee ila najiuliza ni kweli JOSHUA anakuwa na uhakika na anacho tabiri
  5. K

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    kuna rafiki yangu ni HAKIMU ARUSHA kaniambia kuwa jaji kituo chake cha kazi ni RUVUMA SONGEA na sio kweli kuwa anakimbia ARUSHA baada ya hukumu ya LEMA na kuwa anahofia maisha yake
  6. K

    hellow

    jamani kwanza nwashukuru sana JF kwa kunikubalia angalau na mimi niwe natoa mchango wangu naomba ushilikiano wenu
Back
Top Bottom