Search results

  1. DA HUSTLA

    Jinsi ya kupata remote jobs hasa ughaibuni

    Habari wakuu, Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia. Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani. Wenye experience na hii mtusaide kama kuna links za job advert na muongozo jinsi ya kupata.
  2. DA HUSTLA

    Kataa daladala: Ni usafiri wa ovyo na unadhalilisha sana

    Imagine uko na mtoto wako mmeshika bomba konda anakufokea ujipange vizuri abiria wengine waingie[emoji1787][emoji1787] This is embarrassment of the lifetime! Imagine dunga dunga ana mdunga mkeo au dadako au mama ako mbele yako, huna cha kufanya utia tia huruma kama kubwa jinga. Imagine umeoga...
  3. DA HUSTLA

    Kiranga Nakuita: What if uwepo wa Mungu haupo kwenye dimension ya logic bali dimension nyingine

    Sabato njema, Leo nimeamka na Kiranga na atheist wenzake wote. Kuna hii sentence huwa unaipenda " Mungu mwenye mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote " hayupo kwasababu kuwepo kwa ulimwengu unaoruhusu mabaya yatokee ni contradiction (inasemekana kuumba yeye) na inakosa logical consistency...
  4. DA HUSTLA

    Msanii Bando, nyimbo yake ya "Tuongee" ka copy nyimbo ya Joyner Lucas "Devils Work".

    Kichwa cha habari kinajieleza. Bando MC: Joyner Lucas: Anyways, naona sasa watu wanaanza kupata guts za kumchana Mungu live na ku query mambo ya dini publicly hasa huku third world countries ambapo idadi ya nyumba za ibada ni kubwa kuliko viwanda, miaka kadhaa ijayo hizi dini zitapata...
  5. DA HUSTLA

    Dizasta Vina: Hatia V, madhara halisi ya u feminist na kumkandamiza mwanaume

    Shout out to dogo dizasta vina kwa hit nyimbo kali sana, Sanaa flow etc. Hii hapa, sikiliza ngoma kali sana. Hakika u feminist ni janga
  6. DA HUSTLA

    Data zimepotea baada ya ku-flash simu, nazihitaji

    Habari za jioni wakali wa tech, Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password. Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja, Note: Ameshaanza kuitumia hiyo simu tena.
  7. DA HUSTLA

    Nimesahau password ya mysql kwenye macbook msaada tafadhali

    Habarini watu wa Mungu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni msaada nimehangaika kweli kweli mathsjery
  8. DA HUSTLA

    Msaada wa ku-run command prompt na mysql kwa macbook ya 2011

    Hello wataalamu wa IT, Nashindwa ku-run utilities/command prompt baada ya ku-install xampp kwa macbook pro 2011, msaada tafadhali. MK254 CHIEF MKWAWA Stefano Mtangoo et all.
  9. DA HUSTLA

    Foundation course ya OUT-kuna waliopa

    Habari za kazi watu wa Mungu, Hivi kuna ambaye amepata admission chuo (tofauti na OUT) kwa kutumia matokeo ya foundation ya open katika selection za mwaka huu? Sent using Jamii Forums mobile app N.B: Mode heading isomeke" kuna waliopata admission kwa matokeo ya Foundation ya OUT?".
  10. DA HUSTLA

    Kwa kujua coding/programming, unawezaje kutengeneza pesa?

    Watu wa Mungu nawasalimu kwa jina la jamhuri. Umekuwepo msemo eti ujijua programming vizuri utapiga sana pesa, lakini kila unayemuuliza unapigaje pesa hafunguki kabisa! Sasa wataalamu hebu leo mtutoe tongo tongo, ukiiva vizuri katika coding unawezaje kupiga pesa? Tusaidiane vijana wapate...
  11. DA HUSTLA

    NACTE -GPA Calculation for Higher learning Admission

    Hi bosses, Nimemaliza diploma ya clinical medicine 2011. Sasa na-plan kupiga shule this year, ila kuna kitu kinanitatiza with regards to GPA inayohitajika wakati wa admission. Ile paper ya NACTE (wizara ) ya NTA level 6 nina GPA ya 3.7, ila cumulative nina GPA ya 3.0 ,sasa wana consider ya...
  12. DA HUSTLA

    Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nina swali kuhusu hii Bsc in Data Management inayotolewa pale Open University of Tanzania. 1- Competency, unaweza kutoka ukiwa competent enough kwa nature ya shule ya distance learning to be specific pale OUT? 2- Baada ya ku-graduate, chances za...
  13. DA HUSTLA

    Nawezaje kupata fundi kwa ajili ya mradi wangu wa kutengeneza biomedical equipment?

    Habari watu wa Mungu, I have idea ya kutengeneza biomedical equipment /software ila kuanzia development yake mpaka ku-implement inatakiwa fungu kubwa, so nawezaje kupata fund whether kutoka makampuni ya software au biomedical, kuanzia kuandika seducing proposal mpaka kupata mdau. Thanks
  14. DA HUSTLA

    Msaada kuhusu driving licence

    Habari za weekend watu wa Mungu, Binafsi driving licence yangu ime expire December 2020, na ilikua na class ABD. Hivyo nataka kui renew, sasa swali la msingi ni kwamba iwapo nita renew mwezi huu na ikawa ABD hiyo hiyo ambayo ita expire baada ya miaka 5. Je labda mwezi wa tano au wa tisa(any...
  15. DA HUSTLA

    Hasara za meditation

    Za jumapili wapendwa Nimekua nikitaman kujifunza meditation for so long lakin kusoma vitabu bila Ku practice inakua haimake sense na bila mwalimu Ku practice inakua ngumu Sasa nimefuatilia wapi ntapata mwalimu kuna kanielekeza mikocheni -Tanzania meditation centre (wanafanya na yoga...
  16. DA HUSTLA

    KAMA MUNGU YUPO NI YUPI HASA ANAYEAMINIWA KWELI YUPO?

    Hivi karibuni kumekua na malumbano mbali mbali ya hoja kuhusu uwepo wa mungu,kuhusu either yupo au hayupo Wanaomanini wamekua wakisema kama hayupo ni kwa nini uhai upo na vyote viujazavyo ulimwengu,lazima kutakua na super designer ambaye wanaamini ni mungu. Wasioamini nao wanasema kutokujua...
  17. DA HUSTLA

    Nataka kusimamia biashara zangu. Ni kozi ipi bora kati ya BBA(Accounting) au BBA(Finance)?

    Wakuu poleni na majukumu. Binafsi mimi ni mjasiriamali na mwajiriwa pia. But nimepanga nisome open university kutokana na kubanwa na majukumu ya kimaisha. So nimekwama sijui ipi bora kati yao kwa maana ya kwamba nataka nipate skills za kusimamia biashara zangu tu na si kuajiriwa na pia sina...
  18. DA HUSTLA

    Msaada wenu tafadhali

    Jamani wadau naomba mnijuze kuhusu haya mambo mawili tafadhali,1.hivi nini maana ya proxy na nini matumizi yake.2.nina modem yangu ya vodafone nimei unlock tangu mwaka jana na ninatumia airtel chip,sasa hivi yapata wiki 2 nilikua na tatizo la kushindwa kuconnect(unable to connect),sasa hivi ina...
  19. DA HUSTLA

    Proxy

    Jaman naombeni mnijuze,hivi nin maana ya proxy,na ni nini matumizi yake??ni neno ninaloliona kila siku halafu silielewi kabisa,shukrani kwa msaada wenu.
  20. DA HUSTLA

    Bado nampenda sana

    Jaman wadau naomba mnisaidie kuhusu hili jambo,nlikua na mwanamke/mpenzi wangu nlikua nampenda sana kupita maelezo.Ikaja ikatokea akaanza kunibadilikia,visirani kila saa tukiwa na miadi haji bila sababu za msingi na wala hapokei simu baadae ukimuuliza anasema alikua tight alishindwa kuja vile...
Back
Top Bottom